Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

Status
Not open for further replies.
kwa vile umetaka tusitumie Jazba...ni vizuri na wewe ukawa katika hali ya kutofungamana na dini ya upande wowote......Sawa tuendelee.....

Kikawaida kaka yangu katika Uislam kila kitiu ni Ibada....Kula ni Ibada na mtu analipwa(Thawabu) kama atakula chumo lake la halali...akianza kusema Bismilahi Rahmani Rahiim....akila na kunywa kwa mkono wa kulia....na kesema Alhamdulillah baada ya kumaliza kula...

Kumuingilia mkeo katika Uislam pia ni Ibada...kama mtaoga mtatia udhu na mtaanza kupigana miti kwa kupiga Bismilahi..na inakua Vizuri kama utasoma dua hii....."Allahuma Jannibna Mina shaitwaani Wajannibnaa maarazaqtanaaa"....Mola wetu tunajilinda na shetani na pia tunamlinda na shetani mtoto wetu kama utatupa mtoto katika kungiliana kwetu huku....

Hata Kwenda chooni katika Uislam ni Ibada na Allah anatulipa thawabu kama tutaingia Chooni kwa mguu wa kushoto na kutoka kwa kwa mguu wa kulia....pia utalipwa zaidi kama utasoma Dua hii..."Allahuma Aundhu bika mina Khubuth wal-khabaaith" Ewe mola wangu mlezi nnajilinda kwako na Majini Makhabithi ya kiume yanayokaa chooni na majini ya Kike yanayokaa chooni" ukitoka chooni pia kuna dua yake...unaweza kusoma dua Ewe Mola wangu nakushuru kwa kuniondolea yale yaliokua yakinuudhi katika mwili wangu na kunibakishia yanayonifurahisha"....

Kiufupi Uislam ulivvyo ni mfumo mzima wa Maisha ya Bidadamu...Na nafikiri ndio maana walimwengu wanauogopa kufuatwa...

Tuje kwenye madaa kuu....X-mass ni siku kuu inayotoka na kuzaliwa na Mungu wa kikiristo...Yesu...kwetu sisi waislam Yesu si Mungu na wala si mtoto wa Mungu...kwa hio hatuwezi kushereheka kwa misingi hio.....historia pia inasema kua Yesu mwenyewe hakuzaliwa December...ni mambo yalio tengenezwa tu......

Tuje kwenye Pasaka.....Pasaka ni siku kuu ya miungu ya Kisanamu ya Uzazi na Tendo la ndoa ambalo wajanja waliibadilisha ikawa ni kufa na kufufuka kwa Yesu.....https://www.facebook.com/photo.php?...05998019.26164.1765009520&type=1......Wengine wanasema Pasaka ni sherehe inayotokana na wanaoabudia Jua...kwa sababu siku ya Easter Monday ndio siku ambayo Jua huchomoka kwenye uso wa dunia kutoka katikati ya Mashariki(Exactly East)....naifikiri tunaweza kuufanya utafiti huu kesho kutwa Jumaa tatu.....kwa hio Redio Imaan wako sahihi kukataza waislam kuabudia Miungu ya Kishirikina kama hii.....na mambo mengine ya Kipumbavu kama Valentine day....nk.

kumbe shetani ana nguvu kubwa hivi ys upotoshaji
 
Na wewe isituzingue bwana!!

Mi inachofuata pale ni mualiko wa kula na sio kuabudu. Kila tendo ni nia. Imani yake ya Pasaka au X.mas anayo mwenyewe mkristo. Hajaniambia niamini anachokiamini yeye.
 
Akhsante ndugu yangu.
 
Na wewe isituzingue bwana!!

Mi inachofuata pale ni mualiko wa kula na sio kuabudu. Kila tendo ni nia. Imani yake ya Pasaka au X.mas anayo mwenyewe mkristo. Hajaniambia niamini anachokiamini yeye.

Mwenye kujifananisha na watu basi nao ni katika wao.
 
Na Suti pia wasivae sababu watamuudhi Allah wao,wavae Kanzu na Pedo.

Assalam Alaykum

In the name of Allah the most gracious, most merciful.
All praise and thanks are due to
Allah, and peace and blessings be
upon His Messenger.

Habari mkuu.Kwanza kabisa naomba nikupe pole because inaonyesha wazi kabisa kwamba, hujui chochote kuhusu mavazi ya kiislam, let alone uislam wenyewe.Ngoja nikupe darsa kwa elimu yangu ndogo kabisa nliyojaaliwa na Allah.

Kanzu si vazi la kiislam,Kanzu ni vazi la asili la kiarabu.Kitendo cha waislam kupendelea kuvaa kanzu haimaanishi ndiyo vazi letu,tunapendelea kuvaa because it meets the requirements of Islam.Kuna waarabu wengi wakristo lakini wanavaa kanzu. Kusema waislam wanavaa pedo si jambo la kistaarab mkuu.Imagine baba yako angekuwa anavaa hilo vazi, Je,ungetamka kwa kejel na dharau kwa kuliita pedo? Hilarious

Mavazi ya kiislam yamegawanywa ktk sehem mbili, ME na KE.na yametofautiana kabisa in charactefistics.

ME: kwa mwanaume vazi la kiislam ni lile linalomsitiri kuanzia kitovuni mpaka chini ya magoti,lisiwe tight and revealing. Tukirudi kwenye hoja yako, je suti haimsitiri mwanaume kuanzia kitovuni mpaka chini ya magoti? au mwenzetu unazungumzia suti gani? TRANSPARENT/SEE THROUGH?

KE: Kwa mwanamke vazi la kiislam ni lile linalomsitiri mwili wote isipokuwa uso na viganja viwil,lisiwe tight and revealing,na kwa namna yoyote ile lisimchore maungo yake...je pedo unayoizungumzia ina-meet hizo requirements?

Mkuu jifunze kutumia lugha nzuri unapowasilisha hoja yako. Kuna maelfu ya watu wa umri wa babu yako wanavaa hilo vazi unaloliita "Pedo".Si vizuri kutumia lugha ya kejeli kwa watu kama hao hata kama unapinga imani yao,The same goes for us muslims. Mnatukejel tukilalamika mnatuita "MBURULA",sasa huwa mna-expect tufanyaje? Tufurahie?

Anyways hiyo ndiyo maana halisi ya vazi la kiislam,natumai umenielewa, SUBAHUL KHAIR{asubuhi njema } mkuu
 
Huyo aliyetangaza hayo atakonda sana maanina zake, hayatekelezeki.
 
ah...jamaa umesikiliza vizuri au unataka watu wakashifiane tu...?

Nimesikia kwa masikio yangu na wasikilizaji walipewa muda wa kupiga simu na kutuma sms kutoa maoni yao. Wasikilizaji wengi, hasa waislamu, walipongeza na kufurahia marufuku hiyo huku wale wa kikristo wakionekana kushikwa na butwaa!

Jamani, ubaguzi wa namna hii sio mzuri hata kidogo. Wakati wa sikukuu kama hii, ndugu zetu waislamu tumekuwa nao bega kwa bega tangu enzi na enzi. Tunaenda hadi club kusherehekea kwa pamoja. Iweje kikundi kidogo, kwa sababu tu ya chuki zao binafsi, wawazuie ndugu zetu (baba zetu, mama zetu, kaka zetu na dada zetu) waislamu kujumuika nasi katika sikukuu hii muhimu? Tuwakatae na tuwakemee wabaguzi hawa kwa nguvu zetu zote. Wasalaam alleikum, Tumsifu yesu kristo milele. Amina.
 
Katika uislamu tunajua kua tunao waislamu ubwabwa.....Uroho uliwaangamiza wengi kijana....
 
Assalam Alaykum

In the name of Allah the most gracious, most merciful.
All praise and thanks are due to
Allah, and peace and blessings be
upon His Messenger.

Habari mkuu.Kwanza kabisa naomba nikupe pole because inaonyesha wazi kabisa kwamba, hujui chochote kuhusu mavazi ya kiislam, let alone uislam wenyewe.Ngoja nikupe darsa kwa elimu yangu ndogo kabisa nliyojaaliwa na Allah.

Kanzu si vazi la kiislam,Kanzu ni vazi la asili la kiarabu.Kitendo cha waislam kupendelea kuvaa kanzu haimaanishi ndiyo vazi letu,tunapendelea kuvaa because it meets the requirements of Islam.Kuna waarabu wengi wakristo lakini wanavaa kanzu. Kusema waislam wanavaa pedo si jambo la kistaarab mkuu.Imagine baba yako angekuwa anavaa hilo vazi, Je,ungetamka kwa kejel na dharau kwa kuliita pedo? Hilarious

Mavazi ya kiislam yamegawanywa ktk sehem mbili, ME na KE.na yametofautiana kabisa in charactefistics.

ME: kwa mwanaume vazi la kiislam ni lile linalomsitiri kuanzia kitovuni mpaka chini ya magoti,lisiwe tight and revealing. Tukirudi kwenye hoja yako, je suti haimsitiri mwanaume kuanzia kitovuni mpaka chini ya magoti? au mwenzetu unazungumzia suti gani? TRANSPARENT/SEE THROUGH?

KE: Kwa mwanamke vazi la kiislam ni lile linalomsitiri mwili wote isipokuwa uso na viganja viwil,lisiwe tight and revealing,na kwa namna yoyote ile lisimchore maungo yake...je pedo unayoizungumzia ina-meet hizo requirements?

Mkuu jifunze kutumia lugha nzuri unapowasilisha hoja yako. Kuna maelfu ya watu wa umri wa babu yako wanavaa hilo vazi unaloliita "Pedo".Si vizuri kutumia lugha ya kejeli kwa watu kama hao hata kama unapinga imani yao,The same goes for us muslims. Mnatukejel tukilalamika mnatuita "MBURULA",sasa huwa mna-expect tufanyaje? Tufurahie?

Anyways hiyo ndiyo maana halisi ya vazi la kiislam,natumai umenielewa, SUBAHUL KHAIR{asubuhi njema } mkuu

This is what we call maturity . Amani kwako mkuu.
 
Hapa kila siku ni sikukuu.

Atakayejivunga shauri yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom