Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Ohooo" watu Wa kaskazini hatuwataki,mkiona pesa za Lowassa udenda unawashuka mmesahau na ukaskazini" au ukaskazini kwa ccm mama sawa kwakuwa wanatoa kitu kidogo,kwa Chadema ni nongwa" ohoo" wachaga,ohoo" Padri' kumbe tatizo si kaskazini wala Wachaga tatizo ni TONGE shehe!!!
 
Pia hakuna ataepata uRais bila kura za wakristo pia.Hata hilo umeshindwa kutambua bibie wa mtaa wa Tandamti.

Hilo wala silikatai nnalikubali 100%. Ndiyo maana tunaona kampeni za makanisani zikifanyika.
 
Ka msingi huo ni wazi kabisa hakuna mgombea atakaeshinda kiti cha uRais bila kura za waTanzania wote wakristo,waislam,dini za jadi na wasiokuwa na dini kabisa.

Naam, ndipo hapo nnapomshangaa mleta mada anapoona kuwa Lowasa ni kituko kuwalambalamba Waislam wampe kura zao.
 
Ohooo" watu Wa kaskazini hatuwataki,mkiona pesa za Lowassa udenda unawashuka mmesahau na ukaskazini" au ukaskazini kwa ccm mama sawa kwakuwa wanatoa kitu kidogo,kwa Chadema ni nongwa" ohoo" wachaga,ohoo" Padri' kumbe tatizo si kaskazini wala Wachaga tatizo ni TONGE shehe!!!

Mkuu hapo umegonga utosini,siongezi neno zaidi yakusema kwamba hata huyo FaizaFoxy anaweza kuwa upande wa pili au hata kumsaliti anayemweka mjini kwa sababu ya masilahi tu tena kidogo tu,sababu nikwamba kila aliyepo Ccm yupo kwa sababu ya tumbo lake tu
 
Naam, ndipo hapo nnapomshangaa mleta mada anapoona kuwa Lowasa ni kituko kuwalambalamba Waislam wampe kura zao.

Hivi waislam ni watu gani sielewi,pili nisaidie oktoba 25 Kura yako utachgua chama gani Act au Ccm ,make hivi vyama vyote unavipenda
 
Ka msingi huo ni wazi kabisa hakuna mgombea atakaeshinda kiti cha uRais bila kura za waTanzania wote wakristo,waislam,dini za jadi na wasiokuwa na dini kabisa.

Mkuu hilo ni sahihi kabisa ila wanaojifanya hawatambui hilo nihao wanaoona dini zawengine niharamu kwa sababu tu ya upofu wao naulevi tu kwakuwa walishazowea kuwagawa Watanzania kwa itikadi zaudini
 
Najua kwamba Lowassa hatapitishwa kugombea Urais kwa ticket ya CCM kwa sababu ya mambo mengi mabaya ambayo amesemwa nayo vibaya hata kama hajafanya au haja Fisidi lakini kusemwa tu Vibaya inamuondolewa sifa za kua Kiongozi Mkuu wa Taifa letu.

Slaa pia naye Mabaya mengi yamesemwa juu yake ambayo yanamuondolea sifa za kua Kiongozi Mkuu wa Taifa letu, hivyo sidhani kama UKAWA watampitisha kua mgombea wao.

Hawa wote wanahusika pia na MoU pamoja na yule mwandishi wa Kanuni za BMK Waislamu wanawaona kama Watu wasio na nia njema kwa Taifa kwani kutokana na MoU Serikali imeacha Jukumu lake la Kujenga Miundo mbinu ya Afya na Elimu kwa Wananchi wake.

Endapo hawa wote watapitishwa na Vyama vyao kua Wagombea mwenye nafasi ya Kuchaguliwa ni Lowassa kwa sababu kwa Kampeni ambazo zimefanya nae Makanisani na Misikitini kulinganisha na Slaa, katika hili mgawanyiko wa Waislamu ni mdogo kuliko Wakristo katika madhehebu zao.

Endapo Lowassa atapitishwa na Chama chake na UKAWA wakawa na Mgombea mwingine tofauti uwezekano wa CCM kuangukia Pua ni mkubwa.

Katika Uchaguzi wa Rais Kura za Makundi ni za Muhimu sana wale wanaopenda sana kuwatukana, kuwabeza na kuwakejeli Waislamu wanakosea sana, hapa ndipo ambapo Watu wenye Maarifa wanajua katika nchi hii Kundi gani lina idadi kubwa ya wapiga Kura, kumbuka Uchaguzi wa 2010 Waislamu ndiyo waliomrudisha Kikwete madarakani kwa Kura za maamuzi.
 
Kura tutapiga tu, hakuna wakutuzuwia, lakini Padri Slaa hatumpi kura zetu, ajitayarishe kuwa msindikizaji tu. Kumbuka hilo.

Wewe ndo msemaji wa waislamu wote humu Jf au nchi nzima huko shule mnaendaga kusomea ujinga ?udini na ukabila utawagharimu sana team ya shetani.
 
Nimesoma gazetini kwamba Lowasa alimwakilisha makamo wa Rais Bilal japo kuna mdada humu anasema EL anawapapatikia waislam, anyway nilichojifunza ni kwamba ikulu kumtuma EL pale msikitini ni utekelezaji wa MoU pia so safari ya matumaini imeanza rasmi!
 
Naam, ndipo hapo nnapomshangaa mleta mada anapoona kuwa Lowasa ni kituko kuwalambalamba Waislam wampe kura zao.
Wa kumshangaa ni VP Bilal kwa kumtuma mzee wa MoU amwakilishe na kumkabidhi mchango wake pia BTW huku chamani zamu hii ni ya wenzetu warumi tuwape ushirikiano!
 
Mimi binafsi si muumini wa Lowasa, ila jamaa anakubalika na pande zote. Yaani anaunganisha. Kwa kweli anastahili sifa. Akiingia ACT ntampa kura.
 
Ni kweli Lowasa hashawishi watu ila pesa yake ndo inawashawishi ninyi msiojielewa.
 
Waislamu wenye akili na msimamo wako kumasi, dakar na nigeria siyo hawa bongo kutoka oman, wakatoliki wanamtandao mkubwa sana shekhe, wheather you like or not dr slaa anatinga. Kuna kitu kinaitwa teleguide dipromacy unajua maana yake
 
Hakuna kitu kwenye lugha ya kiingereza kinaitwa teleguide dipromacy. Labda kikwenu.
 
Nimesema leo hii hata Padri Slaa akichaguliwa na UKAWA kugombea atawapaparikia Waislam kwa kutaka kura zao, ni nini usichokielewa hapo?

Tofauti, waislam wanampaparikia Lowassa wakati Dr. Silaa atawapaparikia waislam.
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Wapo huru kuchagua mtu wamtakaye ndio demokrasia hiyo.
 
Back
Top Bottom