Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

sawa kaka. elezaneni misikitini. makanisa hakuna nongwa.
Mwanzoni nilisema haya matatizo ni Man made na ni kwa manufaa ya watu wachache.Siyo kweli unayoyasikia sijui kama kuna dini inayohamasisha uvunjifu wa amani au sheria za nchi.akifanya hivyo mtu yoyote anafanya kama yeye siyo dini imemfundisha.Bottom line wewe na mimi kila mmoja atimize majukumu yake halali wewe heshimu dini yako na ya mwenzio na mimi niheshimu dini yangu na ya mwenzangu na wengine pia watufuate sisi
 
hivi wewe unajua kuwa kusema uongo ni dhambi? una uhakika misikitini hakuhubiriwi chuki dhidi ya wakristo, tena hasa wakatoliki? ni misikiti michache sana utakoyoingia uache kusikia mahubiri ya chuki na ghadhabu dhidi ya "makafiri". huo ndo ukweli, labda kama waislamu wabadilike sasa baada ya kuwa tumewapa elimu ya kutosha kuwa si kweli adui anayewasababishia maisha yao duni ni wakristo kama wanavyodanganywa bali adui yao ni mafisadi yaliyojificha ndani ya mfumo ovu wa ccm

,Mwisho wa siku ccm hata umweke malaika Gabriel pale atawale ni kazi bure. Hataweza kufanya kazi ya wananchi ndani ya mfumo wa ccm wa sasa. Na akijifanya kufanya kazi za wananchi mfumo utamtema haraka sana. Unless, kama ni mtu msafi, akisimama kwa tiketi ya ccm akawa rais wa nchi hana budi kufanya total overhaul ya ccm. vinginevyo dawa hapa apatikane mtu wa ukawa au huyo Lowassa kama anataka aende UKAWA apewe uwaziri mkuu.
 
Sauti zinapazwa kuelekea Monduli kwa matumaini mapya kuwa muda sasa umefika na Edward Ngoyai Lowassa ana uwezo wa kusimamia rasilimali za taifa ili ziwanufaishe watanzania katika huduma muhimu za elimu, afya, maji, umeme na miuondombinu.
 
Marafiki zake ni mafisadi papa na wakwepa kodi wakubwa hizo rasilmali atakazolinda ni zipi? Tusije tukakosea tukaruka majivu tuliko na kukanyaga moto.
 
hivi wewe unajua kuwa kusema uongo ni dhambi? una uhakika misikitini hakuhubiriwi chuki dhidi ya wakristo, tena hasa wakatoliki? ni misikiti michache sana utakoyoingia uache kusikia mahubiri ya chuki na ghadhabu dhidi ya "makafiri". huo ndo ukweli, labda kama waislamu wabadilike sasa baada ya kuwa tumewapa elimu ya kutosha kuwa si kweli adui anayewasababishia maisha yao duni ni wakristo kama wanavyodanganywa bali adui yao ni mafisadi yaliyojificha ndani ya mfumo ovu wa ccm

,Mwisho wa siku ccm hata umweke malaika Gabriel pale atawale ni kazi bure. Hataweza kufanya kazi ya wananchi ndani ya mfumo wa ccm wa sasa. Na akijifanya kufanya kazi za wananchi mfumo utamtema haraka sana. Unless, kama ni mtu msafi, akisimama kwa tiketi ya ccm akawa rais wa nchi hana budi kufanya total overhaul ya ccm. vinginevyo dawa hapa apatikane mtu wa ukawa au huyo Lowassa kama anataka aende UKAWA apewe uwaziri mkuu.

Naona tunakwenda tukielewana vizuri saana.Kama ulivyosema misikiti mingine hakuna mahubiri hayo ya chuki, swali ni kwa nini hakuna..???Basi tafadhali kubaliana na mimi siyo mafundisho ya dini bali ni ya mtu mmoja mmoja.Narudia tena hakuna dini inayofundisha maovu.Mimi huisoma BIBLIA sijaona popote pale panapochochea ugomvi.Hebu na wewe soma QURUAN uone yaliyomo ndani.
 
utamaduni wa waislamu kuwatukana wakristo si wa mwislam mmoja mmoja, ni mfumo wa dini yote ya kiislamu. mihazara inafanyika hadharani, kassets zinauzwa hadharani na nyingi zinasema wakristu wachinjwe na kuuliwa hasa maaskofu na mapadri. hata huku JF clip hizo zipo. viongozi wa dini ya kiislamu hawajakemea waziwaz na kuwapinga hao wahubiri wazi waz.

kwa kusema hiyo haina maana kuwa waislamu hawawezi kubadilika, wanaweza na kama wewe na wenzako wachache ndo mmeanza kubadilika basi ni jambo bora na ndiyo tunawanasibu mkawafundishe na wenzenu humo misikitini, mihazarani, kina Saida fox na wengineo nao waione nuru wapate kuokolewa.

Wakristo kusamehe mara saba sabini kwao wala si jambo la ajabu ikizingatiwa kuwa kufanya kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa. tusirudie tena kosa la kutukanana waafrika wenyewe kwa wenyewe kisa dini za kuletewa na pia tusirudie tena kosa la kuchagua mafisadi waingie ikulu ya nchi hii. mafisadi tuwaache waparurane wenyewe kwa wenyewe kwenye "chama cha mwanachama" lakini kwenye "Ikulu ya Mwananchi" wasiingie(mafisadi) kamwe.
 
Hakuna muislamu ataiunga mkono CCM na kama atakuwepo basi mfahamuni huyo ana kasoro katika uislamu wake tena kasoro kubwa sana.
 
Hakuna muislamu ataiunga mkono CCM na kama atakuwepo basi mfahamuni huyo ana kasoro katika uislamu wake tena kasoro kubwa sana.

Pesa sabuni ya roho. Huoni Ritz anavyokatika viuno kumsifia na kumchezea Lowassa mpishi mkuu wa MoU?
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Hawa bokoharam hawaeleweki huwa wakiwa pekeyao wakati wa swalaa wanatukana sana wakristu na wameapa safari hii watampa mwenzao hata atoke zanzibar.wanajua watapukutika walikojichimbia kwa upendeleo wa msoga.mungu tuepushe na ISS
 
Marafiki zake ni mafisadi papa na wakwepa kodi wakubwa hizo rasilmali atakazolinda ni zipi? Tusije tukakosea tukaruka majivu tuliko na kukanyaga moto.

Hata ukikanyaga bomu una faida gani kama huna mchango wowote kwa ccm
 
Hata ukikanyaga bomu una faida gani kama huna mchango wowote kwa ccm

Kwa sasa tumekanyaga majivu ya moto kwa kuiweka ccm madarakani. Haya mate so yatazidi kama ya kukanyaga makaa yavmoto tukiirudisha ccm ikulu.
 
Picha iko hivi.. Sasa hivi ukitaka kufanya harambee ifanikiwe basi mualike lowasa, hapo friends wa team lowasa watakuja na kufanikisha harambee hiyo.
Bilali alijua kuwa yeye hana friends wala mafisadi hivyo akaona bora ampe lowasa harambee itafanikiwa
Hivo Bilal alicheza zkarata vizuri kuwasaidia nduguze ...
Lakini la kujiuliza jee ni akina nani ndio friends wa team lowasa ambao hujitolea hali na mali anapowaita?
 
Back
Top Bottom