Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Mkuu Rabuor umemaliza kila kitu kuhusu huyu bibi FaizaFoxy. Sijawahi kuona mwanamke ana chuki na udini kama huyu. Hawa ndio wanaouchafua uislamu. Uislamu siyo chuki na ugaidi we mama foxy
 
Last edited by a moderator:
Kitimoto sio kigezo cha ukristu.Ficha upumbavu wako kuna wakristu wenye imani kuliko wewe hawali kitimoto.

Angalia akili za LB7, ungekuwa na akili ungesema Kitimoto sio kigezo cha Uislamu. Kuna Waislamu wenye imani na tunapiga nao mnyama kama kawaida..
 
Mufti yupo kutumikia uislam na waislam,kusoma na kuandika anajua isipokuwa kilatini.

Kama anajua kusoma na kuandika basi ni Kiarabu na si vinginevyo kama ambavyo mungu wa Kiislamu anaelewa lugha moja tu.
 
Sijawahi kumwona mtu tahira kama wewe yaani umejenga chuki na dk Slaa utafikiri huyu jamaa amekufanyaje ? Hivyo ndivyo mungu wenu Wa waarabu anawafundisha ? Juzi hapa Papa kafanya ziara kwenye nchi za kiislam na wamempokea kaenda Palestina,Turkey na Jordnan pia kakutana na mashee na viongozi Wa kiislaam wameongea mambo mengi sana,wewe unajifanya uislam ni Wa kwako,mjuaji,unakejeli,unamtukana Silaa maskini mtu mwenyewe hajawai kukuvunjia eshima hakujui,unajuaje na yeye kesho akislim,mwanamke una roho mbaya utafikiri wewe ndo uislam,mbona wewe Muislam Silaa kakuzuia usiwe Muislam ?? Kwahiyo yeye kuwa Padri ni kosa ?? Padri Wako wangapi nchi hii ?? Kwanini ni silaa tu, wewe ni kenge tu Gaidi wewe,inaonekana ukipata muda unaweza kumuua kwa chuki ambzo hazina akili timamu za kukaririshwa misikitini na matahira kama wewe!!
Usichanganye mambo Uarabu na Uislam ni vitu viwili tofauti. Papa alikwenda nchi gani ya Kiislam?
 
Akiutaka atasema. Kwani kiongozi mkuu wa Waislam Tanzania, Mufti Simba angekuwa anaweza kusoma na kuandika angetaka urais tusingempigia kura?
Kamanda unanitajia kiongozi wa Bakwata teh teh teh lini Padre anachukuwa fomu?
 
Mkuu Rabuor umemaliza kila kitu kuhusu huyu bibi FaizaFoxy. Sijawahi kuona mwanamke ana chuki na udini kama huyu. Hawa ndio wanaouchafua uislamu. Uislamu siyo chuki na ugaidi we mama foxy

Soma mada inasemaje na weka nilichoandika mimi kwenye huu uzi kikakukwaza, au unaogopa jina tu?
 
Umeshaambiwa haijalishi, mwaka huu lazima tupate kiongozi awe Dr. Slaa, Membe, EL au Magufuli hatujali. Hatuangalii pia anatupia Kitimoto kwa kiasi gani.. Pole

Padri Slaa sahau, kwa takwimu zipi? yaani nnawashangaa sana mnatarajia au hata kufikiria kuwa Slaa anaweza kuwa Rais wa Tanzania.

Hivi ni nani atamchaguwa Padri aliyekosa maadili? Fikiri.

Ungenambia anagombea Pengo ningekuhakikishia nnampa kura yangu.
 
Akiutaka atasema. Kwani kiongozi mkuu wa Waislam Tanzania, Mufti Simba angekuwa anaweza kusoma na kuandika angetaka urais tusingempigia kura?

Jiheshimu mkuu, unamaana unataka kuwaambia wana-jf kuwa mufti Simba hajui kusoma na kuandika?
 
Kuambiwa wewe kuwa na mume ni tusi hapana hamna tusi hapo.

Mtabakia na Bla bla bla tu na lugha za ajabu badala ya kujibu hoja. Mtaisoma namba mwaka huu, hamuelewi hata mnachokihitaji kwa sasa. Kesho muwakane basi waislamu wa msikiti wa bondeni kama wale wa Bwagamoyo.
 
Soma mada inasemaje na weka nilichoandika mimi kwenye huu uzi kikakukwaza, au unaogopa jina tu?

Mada inasema waislamu wamesalimu amri kwa Mkuu EL, wewe umekomaa na Dr. Slaa wakati mada haimuhusu kama sio kuchanganyikiwa na chuki binafsi ni nini? Una hasira za kutelekezwa au ndoa za utotoni?
 
Mada inasema waislamu wamesalimu amri kwa Mkuu EL, wewe umekomaa na Dr. Slaa wakati mada haimuhusu kama sio kuchanganyikiwa na chuki binafsi ni nini? Una hasira za kutelekezwa au ndoa za utotoni?

Nimesema leo hii hata Padri Slaa akichaguliwa na UKAWA kugombea atawapaparikia Waislam kwa kutaka kura zao, ni nini usichokielewa hapo?
 
Mada inasema waislamu wamesalimu amri kwa Mkuu EL, wewe umekomaa na Dr. Slaa wakati mada haimuhusu kama sio kuchanganyikiwa na chuki binafsi ni nini? Una hasira za kutelekezwa au ndoa za utotoni?

Na wewe utakuja kuachika kwa kufuatilia mambo ya waislam.
 
Pia hakuna ataepata uRais bila kura za wakristo pia.Hata hilo umeshindwa kutambua bibie wa mtaa wa Tandamti.

Hata u twist vipi maneno yako huwezi kuukimbia ukweli, hakuna ataepata Urais nchi hii bila kura za Waislam, na Waislam si rahisi kumpa kura mtu kama Padri Slaa, kwanza maadili yake ni nil, zero, kaput. Sijuwi ni Muisla gani ataekubali kununuliwa na huyu babu mkosa maadili.

Chadema kwa kifupi hamna bao mwaka huu, kwisha kabisa. Zitto mtamjuwa jina la utoto anaitwa nani.
 
Back
Top Bottom