Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

sam_2688.jpg
sam_2715.jpg
sam_2723.jpg
20150515_150708.jpg
sam_2695.jpg
 
Lowasa anafata historia ya TANU, hata TANU ilianza kukubalika kwanza na Waislam, wengine wakafata baadae. Asitusaliti tu kama nanihii.
 
Maombi yangu kwa Mungu Slaa ateuliwe na UKAWA kugombea Urais
Wala usihangaike kuomba UKAWA watampitisha Padre Slaa mwisho wa siku atabakia kuwa rais kivuli wa Tanzania mpaka mwisho wa maisha yake.

Kama kawaida yake baada ya uchaguzi ataanza kulia lia kuwa Usalama wa Taifa wameiba kura zake.

Najua pro-Chadema mtalia sana siku hiyo.
 
Lowasa anafata historia ya TANU, hata TANU ilianza kukubalika kwanza na Waislam, wengine wakafata baadae. Asitusaliti tu kama nanihii.

Mapenzi ya Lowassa kwa waislam hayapimiki...hivyo hawezi kufanya usaliti kama huyu wetu.
 
Unatumika Kama mpira Wa kinga mpaka unatia kinyaa na kwa utaahira wenu mtafanywa RAIA wa daraja la tatu mpaka kiama....
 
Maisha ninayoishi mimi huwezi kuyapata hata katika ndoto zako wewe tahaira
 
Kwa fikra zako za funza unafikiri reflection ya maisha mazuri IPO nyuma ya keyboard!!!

Mwenye maisha mazuri hawezi kuwa na akili iliyojaa usaha na utomvu Kama yako....

Wenye maisha mazuri akili zao zimetulia na wanaishi na kuongea vizuri na wana proper and best way of thinking....

Pashukuna Kama wewe huwezi kuwa na maisha mazuri kwa reasoning hii unayoonyesha JF zaidi ya kushindia utumbo na miguu ya kuku na kwa nadra nyama ya ng'ombe unaila mkiitwa kwenye zile karamu mnazoandaliwa wanuka dhiki ili msahau matatizo yenu!!!
 
Waislamu wenye akili na msimamo wako kumasi, dakar na nigeria siyo hawa bongo kutoka oman, wakatoliki wanamtandao mkubwa sana shekhe, wheather you like or not dr slaa anatinga. Kuna kitu kinaitwa teleguide dipromacy unajua maana yake

Dr. W. Slaa hajawahi kuwaza kuliongoza Taifa kubwa kama hili katika maisha yake yote ya ujana.
Angekua amewaza kuwa siku moja atakua kiongozi mkubwa wa kitaifa bila shaka angekua amejipanga vizuri kamaadili ya kifamilia.

Hivi itakuwaje first lady wa nchi awe kimada tena mke halali wa mtu?
Je,ni kitu gani kilichomshinda Dr.Slaa kuchukua maamuzi magumu ya kumwacha Josafine Mushumbusi baada tu ya kugundua kuwa ni mke wa mtu?
Je,ndivyo kanisa la Roma linavyofundisha waumini wake kuvunja na kudharau sakramenti ya ndoa takatifu?
Je,Dr.Slaa yeye ameridhika tu kuendelea kuishi na mke wa mtu huku akiwa analalamikiwa?

Dr.Slaa asitumie kete ya ukatoliki kupata kura kwani ataligawa taifa .
Na watanzania hatutaki Kuanza tena kutibu vidonda vya Udini baada ya uchaguzi.
Na wala wapambe wake msitegemee udini kumpeleka Slaa Ikulu.
Tumieni hoja kumnadi Slaa.
Hizi njama za kumweka rais kwa misingi ya ukatoliki ni janga.
Ukumbuke hata waliomkaribisha Dr. Slaa ndani ya CHADEMA hawakuwa wakatoliki. Na hata waliokijenga CHADEMA kwa mali zao hawakuwa wamefanya hivyo kwa misingi ya Udini.

Hii nchi haina dini ni vema tukasimamia katiba kama inavyosema.
 
hivi ilikuwaje hadi makamu wa rais akamuagiza EL kwenda kuwa mgeni rasmi kwenye harambee hiyo
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Endelea kujidanganya hv hv, kawanunua watu na baadhi ya madeva boda boda wamepiga pesa kwl, kama fisad huyu aliyeshindwa uwazir mkuu je? Ataweza Urais? Watanzani ndo wanajiuliza kwa sasa mtu aliye jiuzulu kwa ufisad wa kutisha akiwa ngaz ya juu kbs Wazir Mkuu je? Urais atauwezea wap si ndo atafilisi kbs nchi hii hd Watanzania watembee peku bila viatu???
 
tuache kutumia dini,makabila na makundi mbalimbali ya kijamii kupata chapuo la kuingia ikulu,tujikite katika sifa za afaaye kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa awamu ya tano
 
hivi ilikuwaje hadi makamu wa rais akamuagiza EL kwenda kuwa mgeni rasmi kwenye harambee hiyo
Mzee wa safari ya matumaini kwa kila mtanzania ametoa ama kuwekeza sana huko Zanzibar. Kwa hiyo tusubiri tu - tumemaliza miaka kumi ya maisha bora kwa kila mbongo sasa tunaanza safari ya matumaini kwa kila mbongolese. Maisha bora kwa kila mtanzania ilikuwa ni maandalizi tu ya safari. Sasa safari ndio inaanza.
 
mengine huwa hayatabiriki lakini hili la rais ajaye liko wazi. Lowassa kajipanga na alishajiandaa kisaikolojia huku akisubiri 2015 naye apokee kijiti na jambo la kher kwake ni kwamba ana mtaji wa watu kutoka makundi mbalimbali hivyo kufanya iwe rahisi kwake kuelekea magogoni
 
Dr slaa hawezi hata kupitishwa kwenye ukawa,wakatoliki wote hawamtaki,kitendo cha kwenda kumwangalia gwajima kimemponza
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Kwa bahati nzuri mimi sio muislam jina au kwa lugha nyengine muislam njaa, lowasa simuungi mkono na wala sipotezi mda wangu. Wacha hao njaa wamfuate
 
mengine huwa hayatabiriki lakini hili la rais ajaye liko wazi. Lowassa kajipanga na alishajiandaa kisaikolojia huku akisubiri 2015 naye apokee kijiti na jambo la kher kwake ni kwamba ana mtaji wa watu kutoka makundi mbalimbali hivyo kufanya iwe rahisi kwake kuelekea magogoni
natokea Iringa mjini, nimezaliwa maeneo ya kitanzini, nimekulia kitanzini
watu wa Iringa wengi wetu hatuna akili mbovu kama zako
 
Back
Top Bottom