Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Hata u twist vipi maneno yako huwezi kuukimbia ukweli, hakuna ataepata Urais nchi hii bila kura za Waislam, na Waislam si rahisi kumpa kura mtu kama Padri Slaa, kwanza maadili yake ni nil, zero, kaput. Sijuwi ni Muisla gani ataekubali kununuliwa na huyu babu mkosa maadili.

Chadema kwa kifupi hamna bao mwaka huu, kwisha kabisa. Zitto mtamjuwa jina la utoto anaitwa nani.

Kama maadili ya padri Slaa ni nil, zero, kaput kwa sababu tu ameacha u-padri na kuamua kuoa, what about mtume Muddy aliyebaka katoto ka miaka 6???
 
Kisa kafanikisha harambee,these guys are so cheap to buy!
 
Next time usiseme they are cheap to be bought.Hiyo ni insult kubwa sana,kunyamaza kwao kusiwafanye wao ni wajinga.They want Lowassa whats wrong,you dont want him nothing wrong.
 
Kama maadili ya padri Slaa ni nil, zero, kaput kwa sababu tu ameacha u-padri na kuamua kuoa, what about mtume Muddy aliyebaka katoto ka miaka 6???

Hebu tupe heshima yetu.Naamini siyo vizuri kutoa kashfa hizo.Kiustaarabu futa hayo maneno na uombe msamaha kwa MOLA wako aliyekuumba.Heshimu dini za wengine kwani mtoa haki ni yeye aliyetuumba na siku ya kutoa hukumu ya haki haiko mbali na sisi.
 
fisadi hoyeeeeeeee!!! hata sisi wapinzani tunaunga mkono mafisadi yapitishwe na ccm. ccm ndo muonje sasa mwaka huu machungu ya mafisadi mliyoyazalisha. yaan fisadi mmoja tu anawayumbusha kama tiara. na hapo tu ni mgonjwa hoi, angekuwa haumwi je?!!

Imeandikwa ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga. Ukijenga chama kwa ufisadi utakibomoa kwa ufisadi. ccm itaanguka siku si nyingi na kitachokachoiangusha ccm ni mafisadi na ufisadi.

mafisadi ya ccm piganeni mpitishwe mje ulingoni mkutane na majembe ya UKAWA. Maji mtayaita mma.
 
Hebu tupe heshima yetu.Naamini siyo vizuri kutoa kashfa hizo.Kiustaarabu futa hayo maneno na uombe msamaha kwa MOLA wako aliyekuumba.Heshimu dini za wengine kwani mtoa haki ni yeye aliyetuumba na siku ya kutoa hukumu ya haki haiko mbali na sisi.
kakalaa nasaha zako nzuri sana lakini anzia kule kule msumari ulikoingilia kwani ndipo pale pale utakapotokea.

vinginevyo, siku hizi, baada ya ninyi kuwadharau wakristo na falsafa yao ya kuwageuzieni shavu la kushoto, kwa sasa falsafa ya wakristu ni akuanzae mmalizie, jino kwa jino.
 
Nimekusoma,mimi ni muislam kamwe siwezi kumdharau au kumkashifu mkiristo,kwani tumekuwa pamoja na tunaishi pamoja na yeye na dini yake na mimi na dini yangu.Haya mambo ya ugomvi ni mipango ya wachache kwa manufaa yao na kamwe hayatafanikiwa kihalali...mifano hai ipo na hata wewe unaiona.Niwaombe wote kwa ujumla tuheshimu dini za wengine na tukimuudhi MOLA wetu tunaweza pata yale yaliyotokea wakati wa Nuhu.
 
Kimsingi tupo pamoja kaka kakalaa, kama mmeshayajua makosa yenu na mmejirudi naamini wakristo wala hawana hiyana na mtu. tatizo lipo humo misikitini kwenu na kwenye mihazara yenu ya kukazania Yesu si Mungu.

Kimsingi wakristo hawana falsafa ya jino kwa jino bali kugeuza shavu la kushoto. Lakini uvumilivu nao unajua una mwisho wake. Unaweza kumfukuza paka akakimbia mbio sana, ukiendelea kumfukuza akafika ukutani hakuna pa kukimbilia tena huwa anageuka anakuwa chui na hapo ndo utakapojua kama paka anazo kucha ama la...

Baada ya kusema hayo yote, mwafrika yeyote anayekashifu dini ya mwenzake, hasa yule anayeanzisha kashfa, na hasa pale dini zinazohusika ni hizi za kuletewa kutoka uarabuni na ulaya, kwa kujiona ya kwake ni dini bora kuliko ya mwafrika mwenzake, mtu huyo si kwamba ni mpumbafu bali ni juha na ni mjinga sana.
 
Nirudie tena nyiye na dini yenu na sisi na dini yetu.Tukifuata falsafa hiyo ugomvi utatoka wapi..???? Yote tumuachie aliyeumba ardhi na mbingu na vyote vilivyomo ndani yake atakapotowa hukumu yake.Kwa ufupi tumuogope MUNGU sote sisi marejeo ni kwake.
 
sawa kaka. elezaneni misikitini. makanisa hakuna nongwa.
 
Lowassa ni chaguo la makundi yote ya kijamii ....

Lowassa hajawahi kuwa na kashfa ya kumbagua mtu na dini wala kabila lake ..

Lowassa asilimia kubwa ya marafiki zake ni waislam na anaishi nao vizuri ndomana ngome kubwa ya lowassa ipo visiwani zanzibar.

Hajawahi kukataa anapoombwa na waislam ktk kusaidia jambo la maendeleo
 
Lowassa mwenyezi mungu atamjaalia na atakuwa rais mwenye mapenzi mema kwa kila tabaka kama alivyo na inshaalah mungu amsimamie ktk hlo
 
Back
Top Bottom