mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,258
- 9,729
Acha uongo Mimi ni muislam lakini lowasa sitaki hata kumsikia.
Kafie mbali
Acha uongo Mimi ni muislam lakini lowasa sitaki hata kumsikia.
lazaboni,
Tafuta uzi humu JF ulioandikwa "Chimbuko la utajiri wa Lowassa....
Mimi sio TeamLowassa...ila nilichoweka hapa ndio uhalisia wa mambo uliokuwa ukiendelea huko Arusha.
Confirmed
Mwigulu ni team mamvi...
Hao waislamu jina
Ikulu sio ward ya wagonjwa
labda kwa wasiokujuaWakristo walikuwepo wengi tu. Pia mbunge Lema nae alikuwepo pia na alitoa kiasi cha milion moja kama mchango wake kwenye harambee hiyo.
Muda: Siku 30 (+5)
Sababu: Kuanzisha thread za uwongo kadhaa siku ya leo, akijiita "SimbaKibogoyo"
Kilichotokea: JF imefuatilia mwenendo wa mhusika chini ya ID mpya, ikabainika katika habari 3 anazoleta, walau 1 ni uwongo uliopangiliwa kwa ustadi (mara kadhaa). Mdau ameitumia vibaya fursa ya kuwa na ID mbadala, hivyo fursa hii hataipata tena.
Ushauri: Wadau, tuepuke kuanzisha uzushi na kuuremba; haisaidii zaidi ya kuharibu misingi tuliyojiwekea. Ni vema kusoma Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF? ili kuepuka kujikuta unafungiwa au thread/post yako inaondolewa. Tutaendelea kuwa tunafuatilia threads za namna hii kwa ukaribu zaidi
Asante
Hakuna mgombea ambae ana nia kweli ya kuchaguliwa kwenye ngazi yoyote ile atazibeza kura za Waislam. Kumbuka hilo.
Hata ex Padri Slaa akiteuliwa kuwa mgombea Urais leo hii utamuona atavyojipendekeza kwa Waislam na utanikumbuka kwa hili, kwani ni mbali?
Team Lowassa wote sasa mmesha resign kuipigia kelele ACT sasa mmerudi kwa EL.. Kuipigia kelele ACT yalikuwa maagizo ya Boss wenu Lowassa au??
Najaribu tu kuconnect dots..
Ata mimi nimeliona hilo team lowassa ndio act members wengi.. Sijajua hizi pande mbili zinashabiianaje.
Yap nakubaliana na wewe ukitaka kuzoa kura kirahisi zipo kwa waislam. Waislam ni watu wepesi sana wa kufanya maamuzi na mara zote wanakuja kutafakari baada ya maamuzi , ndio maana ni rahisi kudanganywa. Ccm miaka yote wamefanya waislam kama store ya kura zao ikifika uchaguzi wanawatwist kidogo wanazoa kura maisha yanaendelea. Sio mbaya na wapinzani wakijifunza kutumia awa watu.
Hata u twist vipi maneno yako huwezi kuukimbia ukweli, hakuna ataepata Urais nchi hii bila kura za Waislam, na Waislam si rahisi kumpa kura mtu kama Padri Slaa, kwanza maadili yake ni nil, zero, kaput. Sijuwi ni Muisla gani ataekubali kununuliwa na huyu babu mkosa maadili.
Chadema kwa kifupi hamna bao mwaka huu, kwisha kabisa. Zitto mtamjuwa jina la utoto anaitwa nani.
Yote heri awe Bernard, awe Willbroad, awe Edward kwetu yote heri tu. Waislam kura watazitoa tu wapende wasipende. Wanalo safari hii.
Hamy D "mtukane" kidogo Dr.Slaa kwenye mada yako