Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kura tutapiga tu, hakuna wakutuzuwia, lakini Padri Slaa hatumpi kura zetu, ajitayarishe kuwa msindikizaji tu. Kumbuka hilo.
Mtampigia mzee wa kanisa Lowassa?
 
Unajifanya umeelimika lakini ukichunguza posts zako zaidi ya 90%, haichukua muda kutambua kwamba una tatizo kubwa zaidi ya ujinga. Akili yako uliyopewa na Mungu umeififisha kwa kuifunika kwa upumbavu wa udini. Usipojaliwa neema kuundoa hata ahera hutaiiona maana ujinga na upumbavu siyo sehemu ya utakatifu. Uombe zaidi neema ili uione nuru na kuzitambua kasoro na mapungufu yako ili uijenge haiba na nafsi yako upya.

Sasa unattaka niamini kuwa Nyerere katabiri? huo ujinga wa hali ya juu, mimi sina kabisa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nimekupata mleta mada. Hao ndo waislamu wote nchini? Au kuna kiongozi mkuu wa waislamu hapo ambaye amepewa dhamana ya kuwasemea waislamu wote. Otherwise ni over generalization.
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Ngoja muda ufike ndo mtamjua Magufuli ni nani, kosa tu akitangaza nia Lowassa kwisha labda asitangaze:



 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kura tutapiga tu, hakuna wakutuzuwia, lakini Padri Slaa hatumpi kura zetu, ajitayarishe kuwa msindikizaji tu. Kumbuka hilo.

Leo umeshikwa pabaya sana wewe bibi FaizaFoxy, hujibu hoja umebaki kukomaa na Dr. Slaa. Pole sana, siku yako imeanza vibaya sana leo kama vipi upotezee tu huu uzi sio lazima uwepo kwenye kila thread..
 
Last edited by a moderator:
Naomba nikubaliane na Absolom Kibanda kwenye makala ya "Nchi inaugua homa ya Lowassa". Ukijaribu kutadhimini kwa kina michango ya watu wengi kwenye thread zinazo muhusu EL utagundua pasi shaka kuwa wachangiaji wengi Sana zaidi ya homa. Ni wagonjwa kisaikolojia wako "traumatized".

Liziboni, faizafoxy, simuyu yetu.........the list is long. Siasa ni mbinu, ni uvumilivu na msimamo usiyoyumba. Wengine walianza mapema hawakujua hizi mbio za nyika ambazo zinahitaji pumzi nyingi kwa mshiriki.

Tusubiri mwisho kwenye msitari Wa kumalizia mbio hizi za nyika.
 
Akiutaka atasema. Kwani kiongozi mkuu wa Waislam Tanzania, Mufti Simba angekuwa anaweza kusoma na kuandika angetaka urais tusingempigia kura?

Padri wako mpaka leo hajaelewa makatazo ya amri ya 6.
 
Acha unafiki viongozi wako wanamkubali ww chuki za nini?Au ulitaka akuchangie ww ndo umkubali?
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kura tutapiga tu, hakuna wakutuzuwia, lakini Padri Slaa hatumpi kura zetu, ajitayarishe kuwa msindikizaji tu. Kumbuka hilo.

Sijawahi kumwona mtu tahira kama wewe yaani umejenga chuki na dk Slaa utafikiri huyu jamaa amekufanyaje ? Hivyo ndivyo mungu wenu Wa waarabu anawafundisha ? Juzi hapa Papa kafanya ziara kwenye nchi za kiislam na wamempokea kaenda Palestina,Turkey na Jordnan pia kakutana na mashee na viongozi Wa kiislaam wameongea mambo mengi sana,wewe unajifanya uislam ni Wa kwako,mjuaji,unakejeli,unamtukana Silaa maskini mtu mwenyewe hajawai kukuvunjia eshima hakujui,unajuaje na yeye kesho akislim,mwanamke una roho mbaya utafikiri wewe ndo uislam,mbona wewe Muislam Silaa kakuzuia usiwe Muislam ?? Kwahiyo yeye kuwa Padri ni kosa ?? Padri Wako wangapi nchi hii ?? Kwanini ni silaa tu, wewe ni kenge tu Gaidi wewe,inaonekana ukipata muda unaweza kumuua kwa chuki ambzo hazina akili timamu za kukaririshwa misikitini na matahira kama wewe!!
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kura tutapiga tu, hakuna wakutuzuwia, lakini Padri Slaa hatumpi kura zetu, ajitayarishe kuwa msindikizaji tu. Kumbuka hilo.

Umeshaambiwa haijalishi, mwaka huu lazima tupate kiongozi awe Dr. Slaa, Membe, EL au Magufuli hatujali. Hatuangalii pia anatupia Kitimoto kwa kiasi gani.. Pole
 
Umeshaambiwa haijalishi, mwaka huu lazima tupate kiongozi awe Dr. Slaa, Membe, EL au Magufuli hatujali. Hatuangalii pia anatupia Kitimoto kwa kiasi gani.. Pole

Kitimoto sio kigezo cha ukristu.Ficha upumbavu wako kuna wakristu wenye imani kuliko wewe hawali kitimoto.
 
Back
Top Bottom