Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Wewe mchaga tu,iringa hawana vichaa kama wewe

Wewe mpaka ikifika October utakuwa ushabeba ujauzito wa ACT na CCM maana kila Mwanaume lijari unamshobokea. Mara leo upo ACT,kesho upo CCM au tumbo ndio linakusumbua?sema uwekwe ndani uwe unahudumiwa kila kitu.
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Nyie viongozi wa dini, mtachomwa moto! Uroho wa fedha na mali unawasahaulisha maovu ya Lowasa. Kweli nyie viongozi wa dini za shetani! Nyote si wakristo wala waislamu, nyote ni mashetani! mmesahau ufisadi wa Lowasa, hata Nyerere alimkemea. Hela hizo anazotoa anazitoa wapi? Hamjiulizi, stupid
 
Kumbe ------ akimwaga anakubalika? Wape hela tuuu watakubali kila kitu
 
Tanzania ikiendelea kuongozwa na wasanii na watu ambao wanajipendekeza sana kwa wahisani wenye interest binafsi, haitafika tunakotaka ifike..
Yaani ikibidi bora hata tuongozwe na jeshi kuliko wasanii... Wazungu ndio wanaitafuna hii nchi... Hapa inabidi tumpate mtu ambae hana interest na wazungu kwa kutegemea misaada midogo midogo then wanapewa ardhi..
 
HAMY-D
conclusion yako iko very general. hebu tazama huu mfano:
Wamasai wa Tanzania wanamuunga mkono Lowasa.
Watanzania wanamuunga mkono Lowasa (False conclusion)

Hao waislamu ni section ya waislamu na si waislamu kwa ujumla wao
 
Ukiahd tu mahakama ya kadhi basi umezoea kura zote za waislam

dah waislam wanatuchelewesha sana kusonga mbele tehhh.. Wanahadaika mno
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

lowasa kamwe haungwi mkono na waislam,bali anaungwa mkono na BAKWATA ( BALAA KUU LA WAISLAMU TANZANIA),kumbuka kuna waislamu kupiga kura na kushiriki harakati za siasa kwao ni haramu,kuna waislamu wako ACT,CHADEMA,CUF NA KILA CHAMA CHA SIASA NCHI HII,unataka kunambia wote hao wataacha vyama vyao kwa ajili ya lowasa? haiwezekani,LOWASA ANAUNGWA MKONO NA BAKWATA PEKEE.

BAKWATA NI CCM NA CCM NI BAKWATA,CCM IKITOKA MADARAKANI BAKWATA HAIPO,kwakuwa wao bakwata wanaujua ukweli huu ndio maana kwa hali na mali na sio uchaguzi huu tu,chaguzi zote Tanzania,wamekuwa wakihamasisha waislamu kuichagua CCM! kwani ili BAKWATA iendelee kuwepo ni lazima CCM iendelee kuwepo madarakani! ewe Mola wangu,uliyeumba mbingu na ardhi,uliyemuangamiza mtawala dhwaalim kama firauni na haamana,ukawaangamiza akina abuu jahal,nakuomba kwa unyenyekevu,uiangamize CCM na mawakala wao Tanzania mwaka huu,hivyo basi na BAKWATA nayo itafutika kifo cha kawaida kabisa!

ameen......
 
kama umezaliwa kitanzini na kukulia kiatanzini basi hiyo ndiyo shida uliyonayo. Ungezaliwa hapo na kukulia maeneo tofauti ungekuwa na fursa ya kujifunza jambo jipya katika mazingira mapya.
natokea Iringa mjini, nimezaliwa maeneo ya kitanzini, nimekulia kitanzini
watu wa Iringa wengi wetu hatuna akili mbovu kama zako
 
Asilimia kubwa ya hawa watu wananunulika kiurahisi sana, yaani wengi wao mbele ya pesa ukafiri umesahaulika kabisa.
 
Pinda mwenyewe alipiga kanzu tu wengi wa upande huo wakamkubali, sembuse pesa!
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Mafuriko na kiganja??
wee subiri uone sisimizi anavyozuia hayo "mafuriko"!
 
Back
Top Bottom