Waislamu nijibuni maswali haya kuhusu Iftari

Waislamu na pilau ni mbl na mkojo
 
Mnasema Mziki WA kizazi kipya unaosifia ngono na kucheza uchi NI dhambi, sasa mbona mkialikwa kwenda Kula (kufuturu) na haohao wasanii wanaoimba Mziki WA kidunia mpaka viongozi wenu wanaenda kula? Mnakulaje chakula kinachotokana na pesa za Haramu?
Hayo yanafanywa na hao wachache usiwajumuishe waislam wengine
 
Wengine wameanza kunitukana, badala ya kunipa majibu, LENGO LA IFTARI ........
Kwamujibu wa Uislam Futari ni nomino ambayo kitenzi chake ni futuru ,
kwa maan hiyo futari ni kitu cha kwanza utakachoweka mdomoni kukufuturisha (kutengua funga) so ukinywa maji tayar ushafuturu.. yanayofuata sio futari ni misosi tu kama dinner

kuna maelekezo yanasema ni Sunna kufuturu na TENDE.. misosi nikujaza tu tumbo na mbwembwe za waja
 
Nuru iko wapi hapo? Ni giza tupu. Huo ulaji wa futari ni ulaji wa kawaida tu watu wamepika misosi yao jioni wanaalikana kula. Ni utamaduni tu wala Mungu hahusiki hapo kwenye ulafi huo
Yes
 
Well said
 
Ibada zinageuzwa kua Anasa, Futari iliyobora ni Tende hayo mengine ni dinner tu tunajipangia kufanya Israfu
 
Screenshot_20250320_223654_Instagram.jpg
 
LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?

Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote zile hata za vitu vya Haramu kama mpo kijiweni?

Mnasema Mziki WA kizazi kipya unaosifia ngono na kucheza uchi NI dhambi, sasa mbona mkialikwa kwenda Kula (kufuturu) na haohao wasanii wanaoimba Mziki WA kidunia mpaka viongozi wenu wanaenda kula? Mnakulaje chakula kinachotokana na pesa za Haramu?

Yani mnaalika watu wenye pesa zao waje wafuturu (SIO wasiojiweza!), na mkiwa huko hamzungumzii mambo ya Imani labda kumrudia Mungu au nini NI watu wanapitisha mambo Yao, Mpira, Sasa au Biashara.

Hongereni Sana wakristo, mfungo wenu umekua SIO wa maonyesho, hapa sasa ndio tunapata picha Dini ipi NI ya ukweli.
Lengo la kufuturisha ni kufuturisha,haijarishi una mfuturisha nani,kikubwa umefuturisha!

Kwanini uwaite binadamu wenzio chawa? Kwani kupenda walichoamua kukipenda ni kosa ila ulichopenda wewe ndio sawa?

Kwani wakati wa futari inawalazimu waongelee nini? Mpira kama mchezo si haramu kuucheza,kuuongelea hata kuutazama!

Kwa hiyo ulitaka mtu akialikwa asiende kisa aliyemualika ni msanii? Huhisi kama kwenda kwao kunaweza kuwa sababu ya huyo msanii kufikiria kubadilika? Maana hata muhamad alilelewa na hakuwatenga wasiomuamini,hata yesu alikula na kupakwa mafuta na kahaba.kwanini wewe unataka wawatenge hao unaohisi ni wadhambi?

Aliyekwambia wasiojiweza hawafuturishwi ni nani? Umetembelea vituo vingapi vya watoto yatima,wazee,magereza na nyumba za masikini wakakwambia hawana futari?

Umefanya jambo jema kuwapongeza wakristo,maana unafunga na una uhakika kuwa wanafunga na wanafanya kwa usahihi yote uliyokandia upande mwingine! Basi shikilia imani yako achana na imani isiyokuhusu!
 
Ila kuna mambo yanafikirisha sana unakuta kiongozi wa kisiasa mkristo ( mbunge, dc, rc,waziri, ) tena wengi wanatumia fedha za Serikali wanaandaa futari wanaalika watu waje kufuturu 80% ya waliohudhuria ni viongozi wenzake na matajiri na baadhi ya mashekhe 2 ,3 wa hapo wilayani au mkoani .
Kinachofanyika hapo kwa kweli ni mzaha mtupu jinsi mafundisho ya dini ya kiislamu yanavyoeleza kuhusu futari.
Ni vyema basi hao Bakwata wakatoa Muongozo kwa watu wanaoandaa hizo futari hususani Wanasiasa kuhusu namna bora na ya kistaha na inayofuata misingi ya kiislamu ya kufuturisha.
 
Ila kuna mambo yanafikirisha sana unakuta kiongozi wa kisiasa mkristo ( mbunge, dc, rc,waziri, ) tena wengi wanatumia fedha za Serikali wanaandaa futari wanaalika watu waje kufuturu 80% ya waliohudhuria ni viongozi wenzake na matajiri na baadhi ya mashekhe 2 ,3 wa hapo wilayani au mkoani .
Kinachofanyika hapo kwa kweli ni mdhaha mtupu jinsi mafundisho ya dini ya kiislamu yanavyoeleza kuhusu futari.

Wengine hawataki kusikia huu ukweli
 
Lengo la kufuturisha ni kufuturisha,haijarishi una mfuturisha nani,kikubwa umefuturisha!

Kwanini uwaite binadamu wenzio chawa? Kwani kupenda walichoamua kukipenda ni kosa ila ulichopenda wewe ndio sawa?

Kwani wakati wa futari inawalazimu waongelee nini? Mpira kama mchezo si haramu kuucheza,kuuongelea hata kuutazama!

Kwa hiyo ulitaka mtu akialikwa asiende kisa aliyemualika ni msanii? Huhisi kama kwenda kwao kunaweza kuwa sababu ya huyo msanii kufikiria kubadilika? Maana hata muhamad alilelewa na hakuwatenga wasiomuamini,hata yesu alikula na kupakwa mafuta na kahaba.kwanini wewe unataka wawatenge hao unaohisi ni wadhambi?

Aliyekwambia wasiojiweza hawafuturishwi ni nani? Umetembelea vituo vingapi vya watoto yatima,wazee,magereza na nyumba za masikini wakakwambia hawana futari?

Umefanya jambo jema kuwapongeza wakristo,maana unafunga na una uhakika kuwa wanafunga na wanafanya kwa usahihi yote uliyokandia upande mwingine! Basi shikilia imani yako achana na imani isiyokuhusu!
Hicho iteni chakula cha usiku, SIO FUTARI msiingize Dini hapo, kama nawewe NI muislamu unakubali FUTARI za show off basi hii Dini iko shida , ngoja nikuache hatutaelewana
 
Ila kuna mambo yanafikirisha sana unakuta kiongozi wa kisiasa mkristo ( mbunge, dc, rc,waziri, ) tena wengi wanatumia fedha za Serikali wanaandaa futari wanaalika watu waje kufuturu 80% ya waliohudhuria ni viongozi wenzake na matajiri na baadhi ya mashekhe 2 ,3 wa hapo wilayani au mkoani .
Kinachofanyika hapo kwa kweli ni mdhaha mtupu jinsi mafundisho ya dini ya kiislamu yanavyoeleza kuhusu futari.
Ni vyema basi hao Bakwata wakatoa Muongozo kwa watu wanaoandaa hizo futari hususani Wanasiasa kuhusu namna bora na ya kistaha na inayofuata misingi ya kiislamu ya kufuturisha.
Ndugu, usitarajie kabisa BAKWATA watoe jibu mujarab kuhusu iftari. Wale wote ni mwezi mchanga.
 
LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Lengo la kufuturisha ni kupata malipo na baraka kutoka kwa Mungu, Mosi kwa kusaidia wale waliyopo kwenye hali ya uhitaji. Kadhalika, ni njia mojawapo ya kuimarisha mshikamano, upendo katika jamii.
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote zile hata za vitu vya Haramu kama mpo kijiweni?
Hizo ni ibada mbili tofauti. Kufuturisha ni ibada inayojitegemea, yenye makusudio yake na yenye thawabu zake.

Kuzungumza maneno haramu ni kuzungumza maneno yasiyofaa:Hii ni ibada nyengine, ni ibada yenye mlango wake ambayo uislamu unamtaka muislam awe mwenye kudhibiti ulimi wake kwa hali zote.

Hizi ni ibada mbili tofauti na kila moja ina hukumu yake.

Ni sawa sawa unakula chakula halali halafu unashushia na pombe. Chakula bado kitabakia kuwa halali na uharamu utabakia kwenye pombe.

Muhimu; kuyaaacha ya haramu na kuyaendea yenye kheri.
Mnasema Mziki WA kizazi kipya unaosifia ngono na kucheza uchi NI dhambi, sasa mbona mkialikwa kwenda Kula (kufuturu) na haohao wasanii wanaoimba Mziki WA kidunia mpaka viongozi wenu wanaenda kula? Mnakulaje chakula kinachotokana na pesa za Haramu?
Wenye afya hawahitaji daktari isipokuwa ni wenye maradhi. Dini haikuja kukuweka mbali na Mungu bali kukuweka karibu na Mungu.

Uislamu huamini kuwa kila mtu anaweza kufanya dhambi, lakini rehema ya Mwenyezi Mungu ni kubwa zaidi. Uislamu unahimiza kuwa badala ya kumtenga mwenye dhambi, ni bora kumkaribia na kumsaidia kupitia malezi ya kiroho.

Uislamu unahimiza kutenda wema hata kwa watu waovu, kwani upendo na subra vinaweza kubadilisha mioyo yao.

Tukirudi kwenye swali lako la msingi: Ikiwa pato linatokana na uharamu, basi chakula kitakachopikiwa na hilo pato nacho ni haramu. Chakula ni sadaka, ni chumo la thawabu, mali iliyo haramu haiwezi kuwa sadaka halali.

Muhimi kwenye jambo hili ni kutumia hekima, busara katika kushughulika na suala hili kwa sababu uislamu unahimiza kusaidiana katika wema na kumrejesha mwenye dhambi kwa njia nzuri.
Yani mnaalika watu wenye pesa zao waje wafuturu (SIO wasiojiweza!), na mkiwa huko hamzungumzii mambo ya Imani labda kumrudia Mungu au nini NI watu wanapitisha mambo Yao, Mpira, Sasa au Biashara.

Hongereni Sana wakristo, mfungo wenu umekua SIO wa maonyesho, hapa sasa ndio tunapata picha Dini ipi NI ya ukweli.
Miongoni mwa maneno ya haramu au yasiyofaa ambayo Uislamu umekataza ni kusema maneno ya fitna na uhasama. Uislamu unakataza maneno yanayosababisha ugomvi, fitna au chuki kati ya watu, na Mtume Muhammad s.a.w akasema: "Fitna imelala, na amelaaniwa mwenye kuiamsha".

"Fitna imelala" inamaanisha kuwa migogoro, mafarakano, na maovu mengine yanaweza kuwa hayajaibuliwa au hayapo kwa wazi kwa wakati fulani.

"Na amelaaniwa mwenye kuiamsha" inamaanisha kuwa yeyote anayechochea fitna, kuanzisha ugomvi, au kuleta maovu miongoni mwa watu anastahili laana ya Mwenyezi Mungu.

Hupaswi kuwa chanzo cha matatizo, migogoro, au mafarakano katika jamii. Badala yake, u apaswa kuwa mtu wa suluhu, mshikamano, na amani.

Ulitakiwa kuishia hapo hapo kwenye kadhia za waislamu ili ulipo na shaka uweze kufafanuliwa. Lakini haukupaswa kuingiza na uikristo, utaleta ugomvi na mfarakano kati ya watu. Unaiamsha fitna hali ya kuwa imelala.
 
Kinachokuuma wanaofuturisha huna access ya kwenda kubonyea mnuso wa bure ndio hasira zote hizi.

Diamond leo kafuturisha Masaki, sasa utaweza kutoka Kiburugwa ufuate futari Masaki?

Uswahili hakuna wa kufuturisha watu wanapambana na hali zao.

Punguza chuki.
Kufutirisha ndio nini??
 
Hicho iteni chakula cha usiku, SIO FUTARI msiingize Dini hapo, kama nawewe NI muislamu unakubali FUTARI za show off basi hii Dini iko shida , ngoja nikuache hatutaelewana
Kiitwe chakula cha usiku hata kama kinaliwa jioni? Kwahiyo wakiita chakula cha usiku ndio utaridhika?
Kwani watu wakikusanyika kujumuika kwenye chakula cha usiku ni kosa?
Na wakifanya hivyo inakuwa dini inashida?
Mbona kama unateseka na mambo madogo hivyo!

Hivi unajua kuwa hata yesu wetu alijumuika na watu kupata chakula kwenye nyumba ya zakayo?
Hivi unajua yesu alilisha watu samaki na mikate hadharani,vipi naye alikua anafaya show off? Vipi kwa kufanya kwake hivyo maana yake ukristo unashida?
Jitahidi kuwa chanya mkuu! Sio kila jambo ni la kulikazia shingo!
 
Kama Dini ndio inavyosema kwamba uwafuturishe matajiri wenzako basi DINI HIYO NI UTAPELI , MAMBO YA KUCHOTA MAJI KUJAZA BAHARI, WANAOFUTURISHA WENYE UHITAJI NAONA WANAFANYA VIZURI, FUTARI GANI UNAALIKA WATU WASIO NA UHITAJI? AU LABDA MAANA YA KUFUTURISHA MIMI NDIO SIIJUI UNIAMBIE, AU NDIO UNAMAANISHA KUFUTURISHA NI KUKUSANYIKA TUU WATU WOWOTE WALE MKILA JIONI ILE MDA WA KUFUTURU NDIO UMEFUTURISHA AU SIO!? BASI SAWA
 
Back
Top Bottom