Waislamu kuweni wavumilivu

Waislamu kuweni wavumilivu

Pumba tupu,huji ukaya wazungu wanasikimu bila mihadhara,na makanisa yanageuzwa misikiti.
Atajulia wapi, birmingham ina waislam wengi kuliko wakristo
 

Attachments

  • Screenshot_2025-08-25-00-06-03-317.jpg
    Screenshot_2025-08-25-00-06-03-317.jpg
    376.1 KB · Views: 10
Jamaa sijui anapata wapi muda wote kushusha nyuzi zake , Mimi Nina idea za nyuzi kibao zipo kabatini karibia miaka mi Tatu nyingine miwili nyuzi zingine mpaka nishaaandika kwenye simu ila nakosa muda wa kukaa kuhariri na kutuma .

Labda ndio kazi yake anatest mitambo ya kufungua kanisa uchwara kwa waumini apige pesa kwa hiyo anatest humu kama anaweza kuchota kondoo maana si Bure mtu ujipunde kupoteza muda wako kwa kitu ambacho hakikupi pesa.
Hana kazi za kufanya yeye anakataza watu wasisome biblia,wakati biblis imeandikwa HABARI NJEMA KWA WATU WOTE.Huko ulays,makanisa yanageuzwa misikiti,na makanisa hayana waumini
 
Yahaya yupo anapiga injili ,alikuwa imamu awali ,akabatizwa
Hakuna Imam,aliyesoma uislamu na akauelewa, aingie ukristo,kwa kuamini Yesu kafa kwa ajili ya dhambi za binadamu,kwa hiyo waliokufa kabla ya kufa Yesu,wanabaki na dhambi zao.Huyo ni mjanja kaona kwenye ukristo kuna upigaji wa pesa za waumini,za bure,za sadaka,ndio kazifuata huko
 
Pumba tupu,huji ukaya wazungu wanasikimu bila mihadhara,na makanisa yanageuzwa misikiti.
Kama uislamu ni dini ya haki kwanini , unazuia wakristo kujenga makanisa na kuuza biblia,unazuia uhuru wa dini nyingine wanaogopa nini?
 
Hakuna Imam,qliyesoma uislamu aingie ukristo,kwa kuamini Yesu kada kwa ajili ya dhambi za binadamu,kwa hiyo waliokufa kanla ya kufa Yesu,wanabaki by dhanbi zao.Huyo ni mjanja kaona kwenye ukristo kuna upigaji wa pesa za waumini,za bure,za sadaka
Unabisha nini ? Mimi nimesoma uislamu level za muft na nimeuacha ,

Yahaya alikuwa imamu msikiti wa Keko ,aliuacha

Au nikuletee MASHEIKH lukuki duniani walioachana na uislamu?

Had binamu wa Muhammad aliuacha uislamu akawa mkristo,mudy akaona aoe mke wake
 
Hivi ni kweli huwa wanabusu na kulipiga jiwe wakiwa na mawazo ni shetani?Mola awe na rehema kwao.
Hakuna muislamu anambusu shetani.dini ya uislamu inampiga vits shetani,kwa vitendo ksbisa,kuanxia mavazi,ibada nk,ndio ukaona misikitini wanawake na wanaume ,hawachanganyiki,na wanawake wanavaa mavazi ya kujisitiri
 
Aisee nahisi alikua mkristo even before. Sababu hata soma yake ili kua anasoma sauti ya kipadre.
Itakua pigo kubwa sana kwa mazinge.
Nahisi ndio sababu ya kusambaratika kwao.
Huyo kaja kwenye ukristo kupiga pesa za waumini za sadaka,wanaambiwa toa sehemu ya kumi,kwa hiyo jamaa kaja kupiga pesa,za wajinga
 
Swali lilikuwa hivi:-
-Jiwe huwa linapigwa busu na mahujaji wasiovaa chupi pale Mecca?
-Je,huwa wanarusha/kupiga mawe lile jiwe?
Hapo nina haja ya kurudia darasa la pili au maswali yamekuwa pilipili kwako?
NB:Mimi ni mshari sana.
Acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,na kudanganywa,ukadanganyika,mavazi wanaovaa nahujaji wanaume ni lubega,kama wanavyovaa masai,ndio mavazi ya asili ya binadamu
 
Huyo kaja kwenye ukristo kupiga pesa za waumini za sadaka,wanaambiwa toa sehemu ya kumi,kwa hiyo jamaa kaja kupiga pesa,za wajinga
Wakija kwenu sawa, wakienda kwa Ukristo mnasema wamefata pesa

Nyie jamaa hamjawahi kuwa sawa
 
Acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,na kudanganywa,ukadanganyika,mavazi wanaovaa nahujaji wanaume ni lubega,kama wanavyovaa masai,ndio mavazi ya asili ya binadamu
Mwambie ndani hawavai chupi ,
 
Atajulia wapi, birmingham ina waislam wengi kuliko wakristo
Kwanza umesema Birmingham Waislamu ni wengi kuliko Wakristo. Ukweli ni kwamba takwimu za sensa ya 2021 zinaonyesha Wakristo ni 34% na Waislamu 29.9%. Hivyo Wakristo bado ni wengi.

Lakini sasa ngoja nikuulize maswali ya tafakari 👇

1. Kwa nini katika nchi nyingi za Kiislamu makanisa hayawezi kujengwa kwa uhuru, Biblia hairuhusiwi kuuzwa waziwazi, na Wakristo wanakabiliwa na mateso?

Mfano: Saudi Arabia, Afghanistan, Somalia, Iran, Yemen, Pakistan.



2. Je, kama nchi za Kikristo za Ulaya zingefanya hivyo kwa Waislamu wakakataza misikiti, Qur’an, na adhana ungedai kuwa hiyo ni haki? Au ungedai ni ukandamizaji?


3. Angalia tofauti, Nchi za Kikristo za Ulaya (kama Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uswisi, Usweden, Uholanzi) zimewapokea Waislamu kwa mamilioni, zimeruhusu kujenga misikiti mikubwa, kutoa Qur’an, kuvaa hijab, kufungua shule za Kiislamu, na kuhubiri imani zao kwa uhuru.


Swali, Huu ukaribisho na uvumilivu unapatikana wapi katika nchi za Kiislamu kwa Wakristo?

Kwa hiyo jiulize, ni ipi dini ya haki na inayofuata kweli za Mungu? Ile inayokataza uhuru wa imani na kuua wapinzani wake, au ile inayotoa uhuru wa kuamini na kuchagua bila kulazimishwa?
 
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
Hakika huyu Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.

Huyu mzee ningemuelewa kwenye mengine yote ila la kuchafua katoto ka miaka tisa husababisha nihisi kichefu chefu aisei, hebu toka nje angalia katoto ka miaka tisa halafu uwaze lizee la miaka linakaingiza dushe halafu linaabudiwa hadi leo.

adriz Malaria 2 MOTOCHINI
 
Huyu mzee ningemuelewa kwenye mengine yote ila la kuchafua katoto ka miaka tisa husababisha nihisi kichefu chefu aisei, hebu toka nje angalia katoto ka miaka tisa halafu uwaze lizee la miaka linakaingiza dushe halafu linaabudiwa hadi leo.

adriz Malaria 2 MOTOCHINI

Mtume pia akiwa na miaka 25 alioa mshangazi wa miaka 40.
Kisa mwanamke alikuwa na mali.

Kwa kipind cha sasa. Tungesema mtume ni marioo.

Baada ya huyo mwanamke kufariki. Akaoa wanawake wengne wakafika had 11.

Na pia akawa na vimada lukuki.

Alaf akakataza waislam akasema waoe wanne tu.
 
Huyu mzee ningemuelewa kwenye mengine yote ila la kuchafua katoto ka miaka tisa husababisha nihisi kichefu chefu aisei, hebu toka nje angalia katoto ka miaka tisa halafu uwaze lizee la miaka linakaingiza dushe halafu linaabudiwa hadi leo.

adriz Malaria 2 MOTOCHINI


Hilo lilinifanya nione sisi wote tunaonekana Pedophile. Unaoaje mtoto wa miaka 6. Unamwingiliaje mtoto wa miaka 9.
 
Back
Top Bottom