Waislam nijibuni hili

Waislam nijibuni hili

Usisahau pia dini inaleta Vita Tena isiyooisha hususani kwa wavaa vibandiko kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kujadili umuhimu wa kilichojengwa unajiuliza kwanini tunahoji matumizi ya pesa za binadamu kama wewe?

Hii sio kodi iliyokusanywa ni zawadi kutoka mfukoni mwa mtu.
 
Mkuu kile Chuo Kikuu Cha RUCO Yaani Rusha University College kabla ya hapo kilikuwa Chuo Cha Benki Amon Nsekela Institute, Serikali ikatangaza kuuza Roman Katoliki wakapeleka mapendekezo yao kukinunua na waliandika andiko kubwa kuelezea ikiwa watanunua premises hizo jamii itanufaikaje. Nao ndugu zetu Waislam wakapeleka maandiko yao wakielezea nini watakifanya ikiwa watafanikiwa kununua eneo lile. Romani Katoliki kama kawaida wakasema wao watakigeuza kuwa Chuo Kikuu. Na jamii yote itanufaika kusomesha watoto wao elimu ya juu bila kujali dini ya mtu. Hawa wenzetu Waislam nao kama ilivyo kawaida yao wakapeleka andiko kuwa wao watapageuza kuwa MADRASA kubwa Afrika Mashariki na kati na watajenga Msikiti mkubwa sana eneo hilo. Ikawa ndiyo hivyo tena.
Hisia zangu ni kwamba hata nyumba zao tusije kushangaa zote zikageukia kibla zikawa misikiti.
Ni Ruaha Catholic University (RUCU). Nasisitiza 'CATHOLIC'.
 
Labda umenielewa vibaya..

Naendelea kusisitiza...wazo bora ni wewe kujenga unachoona kwako ni haba.
unadhani nikijenga hospital,mwingine akaleta mashine ya xray tz itafika wapi siku moja!!
 
Kama unafikiri mtu anayeweza kujenga msikiti hajazungukwa na washauri ni vizuri mkaendelea kuwashauri.
ni wazi wamemshauri utumbo.

kwa manufaa yake binafsi au wao washauri,haiwezi kuwa kwa jamii masikini anayodhani ameirenga.
 
Marekani, Uingereza, China, Russia na Canada wamepiga hatua kwenye maendeleo kwasababu wana mawazo kama ya Kiranga. Wewe mwenye dini uliyoletewa kipindi cha utumwa na ukoloni unajifanya unaijua dini kuliko waliofanya biashara ya utumwa na ukoloni.

Unajenga msikiti au kanisa halafu unataka nchi iwe kama Marekani au Uingereza. Itawezekanaje? Haupangiwi matumizi ya fedha zako ila ukiwekeza kwenye sehemu ya kuleta maendeleo na ajira tutakuwa hatuna haja ya kushabikia mpira wa Ulaya, kutibiwa India, kukimbila ulaya au Marekani kutafuta kazi n.k vyote vitakuwepo hapa hapa Afrika.
 
kiranga mwenyewe kapita hapa kaandika utumbo wake.

kwamba watu wasipangiwe cha kufanya na pesa zao.ameshasahau huwa anaponda sana habari za Mungu.sijui kesha silimu anakunywa alkasuusi tu.
 
umeongea vizuri, lakini hiyo point namba 6 naona kama umepotoka mkuu.......naona binadamu wanakabiliwa na changamoto nyingi sana za kiafya kwa sasa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo mabadilko ya tabianchi, vyakula na vipodozi, uchafuzi wa hali ya hewa n.k. huku hali ya kiuchumi ikizidi kushuka.....watu hawawezi tena kusafiri kwenda mbali kujitibu. bado huoni umuhimu tu hadi umeziongelea zahanati kimasighala na kejeli kiasi hicho?!!!!
Ni kweli unayoongea, naomba radhi kama nimeongelea kikejeli na hilo sio lengo langu, Wakati naandika hiyo comment nilijawa na hasira kwa mleta maada kwa dharau na kejeli dhidi ya watu na dini yao. Kwenye uwanja wa siasa kashindwa kupata support na sasa anatumia mbinu ya kutenganisha watu kwa kutumia dini zao
 
Ni kweli ila ukumbuke nchi zenye maendeleo makubwa duniani yaani super power countries zina amini katika upagani. Hapo kama unaumwa lazima utengeneze dawa ili ujitibu, unataka kutengeneza ndege lazima uende shule ukasome, unataka kuwa daktari lazima uende shule, tatizo la maji lazima utengeneze miundo mbinu ya maji n.k na siyo kumuomba Mungu akupe.

Kiranga anamini hakuna mungu ndiyo mawazo walionayo wazungu kuwa shida lazima zitatuliwe na wanadamu na lazima watengeneze maendeleo kwa vizazi vinavyokuja. Una tatizo la moyo, tunaubadilisha na kuweka mwingine. Kiranga ni miongoni mwa wafrika wenye akili ndogo za kuangalia maisha mafupi ya kwake tu. Leo tunatamani kwenda Canda, Marekani au uingereza. Unafikiri na wao wangejenga makanisa kila kona wangekuwa na maendeleo?
kiranga mwenyewe kapita hapa kaandika utumbo wake.

kwamba watu wasipangiwe cha kufanya na pesa zao.ameshasahau huwa anaponda sana habari za Mungu.sijui kesha silimu anakunywa alkasuusi tu.
 
cyma,
Shule au hospitali haviendelei kutumika? Ile Agakhan hospital mwanzo wake ulikuwaje?
 
Ni kweli ila ukumbuke nchi zenye maendeleo makubwa duniani yaani super power countries zina amini katika upagani. Hapo kama unaumwa lazima utengeneze dawa ili ujitibu, unataka kutengeneza ndege lazima uende shule ukasome, unataka kuwa daktari lazima uende shule, tatizo la maji lazima utengeneze miundo mbinu ya maji n.k na siyo kumuomba Mungu akupe.

Kiranga anamini hakuna mungu ndiyo mawazo walionayo wazungu kuwa shida lazima zitatuliwe na wanadamu na lazima watengeneze maendeleo kwa vizazi vinavyokuja. Una tatizo la moyo, tunaubadilisha na kuweka mwingine. Kiranga ni miongoni mwa wafrika wenye akili ndogo za kuangalia maisha mafupi ya kwake tu. Leo tunatamani kwenda Canda, Marekani au uingereza. Unafikiri na wao wangejenga makanisa kila kona wangekuwa na maendeleo?
ngoja aje aone umemwita ana akili fupi.
 
Nahisi una uvimbe kichwani. Hayo ya kwao lakini misaada wanayotoa inalenga kujenga akhera zao. Una jipya?!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Wenzenu wanafurahi sana wakisikia mnasema hivi! Hili ndo lengo lao.

Kwamba ukitoa msaada kwa kujenga Msikiti unajenga ahera!?!? Hizi Imani tuzipime kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unahoja nzuri sema hufahamu hii nchi nani kaishikilia,
Kile cha morogoro tu kinaonekana ni tishio, je vikiwa vitatu vinne si mtavifungia? Waulize wazee wako . kulitakiwa kujengwa chuo kikubwa cha kiislam changombe lakini Musa mchongameno akakataa. Inshort wasio waislam wanahofu na waislam sana, yan mkiona tu kanzu na devu akili zinawaruka chuki inawajaa.
Kicha fatilia historia ya Udom
 
Nadhani kila mmoja anahaki ya kutoa zawadi aitakayo labda kama hili kisheria haliruhusiwi mtanisahihisha.

Wewe ni nani hadi uwaamulie cha kutoa. Wewe tafuta penye eneo jenga hospitali au shule. Mwenyezi Mungu ndiye katijaalia kila tulichonacho.

Kwangu nawaunga mikono...sioni la zaidi zaidi ya kujenga misikiti/nyumba za ibada watu wamwabudu Muumba.

Tusisahau.
-Dini inaleta amani.
-Inaunganisha watu.
-Inaadabisha jamii.
-Inakusanya watu.
Ikataanei basi zawadi aliyowapa Ben ya Chuo cha TANESCO mumuagize awajengee misikiti
 
Kingjr2, Nimeishia kusoma hapo uliposema "Kwa Tanzania kuna madhehebu makuu mawili! Uislam na Ukatoliki" rekebisha kwanza ili nirudi kuelendelea kusoma.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Nimesharekebisha nenda kasome umalizie

Nilichotaka kusema ni "Tanzania kuna madhehebu mengi sana, lakini makuu yenye waumini wengi ni mawili! Uislam na Ukatoliki"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unahoja nzuri sema hufahamu hii nchi nani kaishikilia,
Kile cha morogoro tu kinaonekana ni tishio, je vikiwa vitatu vinne si mtavifungia? Waulize wazee wako . kulitakiwa kujengwa chuo kikubwa cha kiislam changombe lakini Musa mchongameno akakataa. Inshort wasio waislam wanahofu na waislam sana, yan mkiona tu kanzu na devu akili zinawaruka chuki inawajaa.
Kicha fatilia historia ya Udom
Kwa kweli cha Morogoro ni tishio; Walimu wenye sifa wanakimbia because chuo kinaendeshwa na wazee wa msikitini.
Wanafunzi wanasimamiwa na wazee wa mtaani, ukilala nje ya chuo unachapwa bakora na suspension...............

Chondechonde msijenge vyuo vingine maana mtatuletea kizazi bakora na shururti
 
Back
Top Bottom