Waislam nijibuni hili

jigili

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
326
500
Lengo na mission kuu ya Waislam kwenye hii Dunia ni kueneza Dini yao na kumfanya kila mtu awe Muislam, hata juzi JPM kapata msaada wa mabomba ya msikiti kule chato kutoka nchi flani ya huko Uarabuni.. jamaa wabinafsi sana lengo lao ni kueneza utamaduni wao na sio kusaidia binadamu
Roma wana makanisa na mahospitali nchi nzima kwa hiyo nao utasemaje?
Akili zenu muwe mnazijaza vitu vyenye mashiko!!!
Kwani unashikiwa bunduki au kisu kukubali dini fulani?
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,339
2,000
Pesa zipi za Uarabuni zinazofanya la maana zaidi ya kujenga misikiti?
Nilikuwa nasikiliza Wazanzibar wanamlilia eti mfalme Qaboos wa Oman alikuwa akiwasaidia sana, wakiulizwa ni misaada gani alikuwa akito wanajibu katujengea misikiti, nikajua ndio maana hapa bongo Uislam na Umasikini ni pete na kidole

Makanisa Wakristo hawahitaji kujengewa, wanachanga hela zao na kujenga wenyewe,
Sasa wewe mkristo unaumia nini kwa muislam kujenga msikiti?
 

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,349
2,000
Unajua eneo lote la muhimbili na muasisi wa muasisi wa hospitali ya muhimbili ni sheikh sewahaji ?

Unaonaga visima vingapi vimejengwa na muslim agency

Temeke kuna hospitali inajengwa mwembe yanga ,hospital ambayo wanawake watafungulishwa na wanawake wenzao tu
Vyote hivyo ni sadaka yenye kuendelea ukijenga hosp ,kisima ,shule regardless nani atatumia ni sadaqa ndio maana hata mtaani kwenu chunguza wengi wanaoruhusu maji yatumike kwenye majumba yao na watu wa mtaa ni waislamu
Nilisikia na baadae kuona Mbwana Samatta katoa sadaka ya kujenga msikiti eneo lile lingetosha shule, hospital au kiwanda kidogo, kwa nini msikiti na pale kuna misikiti kibao inamaana zawadi ni msikiti tu hamtaki maendeleo zaidi ya misikiti?

Wakati nikiwa Morogoro nilishuhudia IGP mstafu mzee mahita akikabidhi msikiti licha ya eneo lile kuwa kubwa angeweza kujenga shule, zahanati au kitega uchumi chochote kitoe ajira watu wanufaike ,nikajiuliza zawadi ya maana ni msikiti

Misaada mingi ya mataifa ya kiislamu yaliyopiga hatua kama Qatar, Saudi Arabia,Brunei, Irani, Kuwait ,Oman na n.k wanaleta pesa wajenge misikiti mfano ule msikiti mkubwa pale Dodoma wa ghadafi angeweza kujenga chuo,shule ,zahanati na pale Dodoma misikiti ipo kibao kwa nini msikiti?

Juzi nimemuona msanii mkubwa yule ambaye anhmgeweza kujenga shule pale kigoma,zahati au hata kiwanda amechoma pesa kwa kujenga msikiti na pale kigoma misikiti imejaa kila mtaa hivi hakuna cha maana zaidi ya misikiti.

My take
Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule, zahanati, vyuo na kero chungu mzima, jiongezeni

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom