Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,049
- 3,931
Ni nyie mlioletewa dini ndyo mnamawazo ayo wenzenu walioshushiwa Dini wanaangalia na uchumi pia angalia Quarter angalia Dubai angalia kuwait kote kumependeza sababu wanafocus kwenye uchumi pia sasa wewe mwanakuletewa dini mtu akimsema mtu unalia akifanya kuusu uislamu unaliaToka enzi na enzi kipau mbele cha waislamu ni elimu ahera elimu dunia na maendeleo mengine ni kitu cha badae ndo maana ukifuatilia viongozi wengi wa zamani ambao ni waislamu ukifuatilia elimu zao wamezipata kwenye shule za wakristo.
Sent using Jamii Forums mobile app