msela wa mbagala
Senior Member
- Dec 13, 2019
- 143
- 480
mkuu samahani unaweza ukahighlight swali lako? maana nimeona mihemko na chuki tu hapo
Si Mnasema Jiwe kajenga Zahanati Nchi nzima ,Elimu bure ,Vyuo ,Viwanda..nk Hizo kero zinatoka Wapi ?Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule,zahanati, vyuo na kero chungu mzima ,jiongezeni
Hii kazi ya serikali ya CCM usiwapangie watu cha kufanya pesa za kununua ndege mnazo za maendeleo mnasubiri za msaada aibu kwenu.changamoto za shule,zahanati, vyuo na kero chungu mzima ,jiongezeni
Waislam utawambia kitu gani cha maendeleo wakuelewe? We chek biashara zinazozunguka miskiti afu ndo utaelewa: kalimati, vitumbua, miti shamba, udi/ubani, kanzu used ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kile Chuo Kikuu Cha RUCO Yaani Rusha University College kabla ya hapo kilikuwa Chuo Cha Benki Amon Nsekela Institute, Serikali ikatangaza kuuza Roman Katoliki wakapeleka mapendekezo yao kukinunua na waliandika andiko kubwa kuelezea ikiwa watanunua premises hizo jamii itanufaikaje. Nao ndugu zetu Waislam wakapeleka maandiko yao wakielezea nini watakifanya ikiwa watafanikiwa kununua eneo lile. Romani Katoliki kama kawaida wakasema wao watakigeuza kuwa Chuo Kikuu. Na jamii yote itanufaika kusomesha watoto wao elimu ya juu bila kujali dini ya mtu. Hawa wenzetu Waislam nao kama ilivyo kawaida yao wakapeleka andiko kuwa wao watapageuza kuwa MADRASA kubwa Afrika Mashariki na kati na watajenga Msikiti mkubwa sana eneo hilo. Ikawa ndiyo hivyo tena.Nilisikia na baadae kuona Mbwana Samatta katoa sadaka ya kujenga msikiti eneo lile lingetosha shule, hospital au kiwanda kidogo, kwa nini msikiti na pale kuna misikiti kibao ina maana zawadi ni msikiti tu hamtaki maendeleo zaidi ya misikiti?
Wakati nikiwa Morogoro nilishuhudia IGP Mstaafu Mzee Mahita akikabidhi msikiti licha ya eneo lile kuwa kubwa angeweza kujenga shule, zahanati au kitega uchumi chochote kitoe ajira watu wanufaike, nikajiuliza zawadi ya maana ni msikiti?
Misaada mingi ya mataifa ya kiislamu yaliyopiga hatua kama Qatar, Saudi Arabia,Brunei, Irani, Kuwait ,Oman na n.k wanaleta pesa wajenge misikiti mfano ule msikiti mkubwa pale Dodoma wa Gadaffi angeweza kujenga chuo, shule, zahanati na pale Dodoma misikiti ipo kibao kwa nini msikiti?
Juzi nimemuona msanii mkubwa yule ambaye angeweza kujenga shule pale Kigoma, zahanati au hata kiwanda amechoma pesa kwa kujenga msikiti na pale Kigoma misikiti imejaa kila mtaa hivi hakuna cha maana zaidi ya misikiti.
My take:
Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule, zahanati, vyuo na kero chungu mzima.
Jiongezeni
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia na baadae kuona Mbwana Samatta katoa sadaka ya kujenga msikiti eneo lile lingetosha shule, hospital au kiwanda kidogo, kwa nini msikiti na pale kuna misikiti kibao inamaana zawadi ni msikiti tu hamtaki maendeleo zaidi ya misikiti?
Wakati nikiwa Morogoro nilishuhudia IGP mstafu mzee mahita akikabidhi msikiti licha ya eneo lile kuwa kubwa angeweza kujenga shule, zahanati au kitega uchumi chochote kitoe ajira watu wanufaike ,nikajiuliza zawadi ya maana ni msikiti
Misaada mingi ya mataifa ya kiislamu yaliyopiga hatua kama Qatar, Saudi Arabia,Brunei, Irani, Kuwait ,Oman na n.k wanaleta pesa wajenge misikiti mfano ule msikiti mkubwa pale Dodoma wa ghadafi angeweza kujenga chuo,shule ,zahanati na pale Dodoma misikiti ipo kibao kwa nini msikiti?
Juzi nimemuona msanii mkubwa yule ambaye anhmgeweza kujenga shule pale kigoma,zahati au hata kiwanda amechoma pesa kwa kujenga msikiti na pale kigoma misikiti imejaa kila mtaa hivi hakuna cha maana zaidi ya misikiti.
My take
Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule, zahanati, vyuo na kero chungu mzima, jiongezeni
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza jazba muelewe alichosema kwa jicho la tatu. Kuna waislamu baadhi wanalalamika juu ya mfumo kristo kwamba unetawala tanzania viongozi wengi wa serikali ni wakristo hata teuzi za raisi nyingi ni wakristo sababu ndio hiyo aliyoitoa jamaa kuwa waislamu tupo bize na madrasa na misikiti bila kujenga shule na vyuo,hatukatai tusijenge misikiti lkn tukumbuke na shule na vyuo.Wewe wakijenga misikiti inakuuma nini? Probably their priority sio maisha ya dunia hii, unafikili kila MTU ana fikra kama zako? Wengine priority yao ni mahusiano yao na Mungu wao. Stay back and chill, achana na dini za watu.
Nahisi una uvimbe kichwani. Hayo ya kwao lakini misaada wanayotoa inalenga kujenga akhera zao. Una jipya?!Nenda Saudi Arabia,Dubai,Oman na Kuwait halafu tuone kama utarudia hii kauli yako ya kwamba hamuangalii mambo ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi una uvimbe kichwani. Hayo ya kwao lakini misaada wanayotoa inalenga kujenga akhera zao. Una jipya?!
Cᵃʳᵉᵉᵐ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿD