Waislam nijibuni hili

Waislam nijibuni hili

Lengo na mission kuu ya Waislam kwenye hii Dunia ni kueneza Dini yao na kumfanya kila mtu awe Muislam, hata juzi JPM kapata msaada wa mabomba ya msikiti kule chato kutoka nchi flani ya huko Uarabuni.. jamaa wabinafsi sana lengo lao ni kueneza utamaduni wao na sio kusaidia binadamu
 
Kuna watu wana wivu wa kijinga sana, hivi pia hamjiulizi hata kwenye maeneo yenye shida ya maji utakuta kuna visima vimechimbwa kwa msaada wa The Islamic foundation au Africa Muslim Agency - Kuwait.
Kwanini The Islamic foundation?
Kwanini Africa Muslim Agency - Kuwait?
Acheni wivu mnatutafuta Waislam kwa kila njia. Mkiona waislam wanajengewa miskiti nanyi mna watu wenu waombeni mjengewe makanisa. فقة

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislam utawambia kitu gani cha maendeleo wakuelewe? We chek biashara zinazozunguka miskiti afu ndo utaelewa: kalimati, vitumbua, miti shamba, udi/ubani, kanzu used ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hatuangalii mambo ya kidunia zaidi ya kujenga akhera yetu, hamjui kama kuna amali huwa zinaendelea kumpatia thawabu aliezifanya hata kama baada ya kufariki kwake? Basi nyie endeleeni na kuponda raha za dunia tuacheni/waacheni wanaojenga akhera zao. فقة

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kwa tafiti uliyofanya umegundua nchi hii kuna shule chache sana kuliko misikiti? .. yaani nchi ina uhaba wa shule mpaka watoto wanashindwa kusoma? Sijakusoma ujue!!
 
iambie serikali ya jiwe iache kununua ndege ujenge shule,zahanati na kutoa huduma zingine zote muhimu kwa jamii
waache waislamu na missada yao ya kujenga misikitiQUOTE="USSR, post: 33984530, member: 305333"]
Nilisikia na baadae kuona Mbwana Samatta katoa sadaka ya kujenga msikiti eneo lile lingetosha shule, hospital au kiwanda kidogo, kwa nini msikiti na pale kuna misikiti kibao inamaana zawadi ni msikiti tu hamtaki maendeleo zaidi ya misikiti?

Wakati nikiwa Morogoro nilishuhudia IGP mstafu mzee mahita akikabidhi msikiti licha ya eneo lile kuwa kubwa angeweza kujenga shule, zahanati au kitega uchumi chochote kitoe ajira watu wanufaike ,nikajiuliza zawadi ya maana ni msikiti

Misaada mingi ya mataifa ya kiislamu yaliyopiga hatua kama Qatar, Saudi Arabia,Brunei, Irani, Kuwait ,Oman na n.k wanaleta pesa wajenge misikiti mfano ule msikiti mkubwa pale Dodoma wa ghadafi angeweza kujenga chuo,shule ,zahanati na pale Dodoma misikiti ipo kibao kwa nini msikiti?

Juzi nimemuona msanii mkubwa yule ambaye anhmgeweza kujenga shule pale kigoma,zahati au hata kiwanda amechoma pesa kwa kujenga msikiti na pale kigoma misikiti imejaa kila mtaa hivi hakuna cha maana zaidi ya misikiti.

My take
Kuna haja mjipange maana mnatumia nguvu kubwa kujaza misikiti lakini maeneo mnayokaa yamejaa changamoto za shule, zahanati, vyuo na kero chungu mzima, jiongezeni

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Kwanini unataka maamuzi ya waislam uliwataja tujibu waislam wote? Kweli maamuzi ya Omar Mahita, Samata na Nasibu tuulizwe waislam wote? Pia nikwambie kuna wanaojenga hizo shule ila hawajitangazi
IMG-20190815-WA0010.jpg
Unajua hilo jengo la shule ya ubungo islamic kajenga nani?
 
Huu uzi umefanya niamini kuwa elimu ni kitu cha maana sana kwa mwanadamu,hasa kutokana na majibu ya ule upande,jamaa ana hoja ya msingi sana,sijaona kama ana chuki,ila katumia lugha ya ukali ili ujumbe ufike direct, matokeo yake anajibiwa kisirani..smh!
Huyo mleta mada hana akili au uwezo wake wa kufikiri ni mdogo haiwezekani maamuzi ya waislam wachache tujibu wote, mimi ni nani hadi nimpangie samata juu ya matumizi ya fedha zake? Kwanini asiandike open letter na kuadress hao watu alafu asubiri majibu yao?
 
Waislam msimjibu sana sana mpeni contacts za
1. Mahita
2. Diamond
3. Amber Rutty
4. Samatta ili awaulize ni kwanini hawajengi anachotaka huyu mheshimiwa?
 
Nenda Saudi Arabia,Dubai,Oman na Kuwait halafu tuone kama utarudia hii kauli yako ya kwamba hamuangalii mambo ya dunia
Uzuri hatuangalii mambo ya kidunia zaidi ya kujenga akhera yetu, hamjui kama kuna amali huwa zinaendelea kumpatia thawabu aliezifanya hata kama baada ya kufariki kwake? Basi nyie endeleeni na kuponda raha za dunia tuacheni/waacheni wanaojenga akhera zao. فقة

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu na priority yake, waliochagua DUNIA na mambo yake hiari yao, waliotanguliza AKHERA kheri yao! USILAZIMISHE TUFANANE!
 
Ulikuwa na point nzuri lakini umeiburunga kwa ignorance na chuki zako dhidi ya dini ambayo huijui.

1. Uamuzi ni wa mtoaji mwenyewe though angeshauriwa pia. Kama hujui basi nakjuilisha leo, aya ya mwanzo katila Quran basi inasema, " SOMA" ikisisistiza kutafuta knowledge.

2. Ikiwa waislamu wao wangeweza kujenga zahanati ama shule, lakini huja question mapadre na wakuu wa makanisa kutumia pesa nyingi kuishi maisha ya kifahari kwa pesa ziwe zao ama za sadaka.

3. Visima vingi vya maji utaona ni misaada ya kutoka hizo nchi unazozitaja na utaona vimeandikwa kwa Kiarabu.

4. Waislamu tumeambiwa lengo la.kuletwa duniani ni ibada tu, na ibada hufanywa msikitini.

5. Misikiti nayo hujengwa na sehemu ya kutowa elimu.

6. Hizo Zahanati ziwe nyingi kiasi hicho zipate kuwatibu maradhi ya zinaa na blood.poisoning related to alcoholism?

7. Kinachotakiwa ni serikali kuwapa wananchi wake ajira na kuwajali ili wajinunulie lishe bora kujenga afya zao!
umeongea vizuri, lakini hiyo point namba 6 naona kama umepotoka mkuu.......naona binadamu wanakabiliwa na changamoto nyingi sana za kiafya kwa sasa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo mabadilko ya tabianchi, vyakula na vipodozi, uchafuzi wa hali ya hewa n.k. huku hali ya kiuchumi ikizidi kushuka.....watu hawawezi tena kusafiri kwenda mbali kujitibu. bado huoni umuhimu tu hadi umeziongelea zahanati kimasighala na kejeli kiasi hicho?!!!!
 
Mkuu kwa vile hujui kazi za mskiti ndio mana unahis watoaji sadaka wamekosa vipao mbele, ila ukirudi nyuma na kusoma history ya uislam utaona mskiti una kazi gani na sio jengo tu la watu kwenda kuswali na kuondoka. Mskiti ndio ilikua sabab had mpaka wewe ukapata taarifa kuwa kuna uislam. Msikiti kwa maneno mafupi tu ni zaidi ya ikulu. Uwe unasoma na kukisoma unachotaka kuiongea ili usiwe unaandika ujinga. Mle kwa siku waislamu wanakutana mara 5 sema wamelewa na mapenzi ya dunia ndio mana unaona hata misikiti impact yake sio kubwa, since wakiamka na kujua lengo la kuumbwa kwao hayo mengine uyasemayo yatakuja yenywewe since uislam ni system kabisa, ambayo ina sheria na kila kitu chake na ndio ukaona unapigwa vita mno kwakua ni system .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuongezeka, Hujui sabbabu ya kuoa 3 Kuongezeka,
Conquer kill
Sijui hata nimeandika nini

NA sasa hivi tumeanza kujifunza kareti sijui tunajiandaa na nini 🥋
 
Back
Top Bottom