Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,518
- 34,913
Pelekeni Kwanza ARV na carolite huko kwenu alaf baada ya hapo huyo mwekezaji tunamsubiri tumfurahisheUtu gani? Hizo ni nyumba auntakataka? Kuwaacha kwenye Hali hiyo ya umaskini ndio utu? Acha upumbavu..
Kule magomeni wanapisha viwanja Serikali inajenga wanapewa floor za Juu harafu floor za Chini na vyumba vya Kati inakuwa mali ya Serikali inaingiza pesa..
Hata hao watoke kwenye huo umaskini wakapewa viwanja vizuri nje ya Mji na Fidia harafu hayo maeneo yako potential yaendelezwe serikali ipige pesa.