Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

kumbe ushoga ulikataliwa mapema kutoka Uingereza kama kikwete angeruhusu kura ya maoni wengi wetu tungekubali kuwa mashoga
 
Ukweli mtupu, lakini kwa vile wamesema wazungu utasikia watu wanaanza kusema wanatudharau, wanatudhihaki, wanataka waendelee kututawala. Lakini haya ni mambo yanayopigiwa kelele kila siku na Watanzania.
 
kiongozi yeyote akisifiwa na wazungu ujue wanafaidika nae.na wazungu hawana rafiki wa kudumu bali wana maslahi ya kudumu.
 
hii kali'kesho nampelekea kwenye facebook na twiter yake
 
Haya sasa, tutasikia mengi tunavyomwagiwa matusi debe tunavyoendelea kutembeza bakuli huko. Daah, Mwalimu Nyerere nimekukumbuka na mtazamo wako kugomea jinamizi MISAADA kutunza heshima ya nchi yetu!!!!!!!!

LindaCroucher 26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children.

we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created misery
because they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools
 
Huyo maskini wa akili anabweka kwa mambo asiojua,kwani yeye anaweza kuonyesha account yake inafloo kiasi gani kwa siku?watanzania hivi sasa wanaishi kwa mlo 1kwa siku,akipata chakula anahisi kama kapata ajali.Acha ujinga kutetea mashetani, usije kupata hukumu ya Mungu bure,
 
This has nothing to do with our uhusiano na Uingereza, Mama umbeya. Wanaosema haya si viongozi wa serikali lakini individual observers ambao wanaijua Tanzania, na wanamjua Kikwete, mfano huyu mfanyi kazi wa zamani wa UNDP.

kaka/dada kuwa na upeo kidogo haya mashirika ya kimataifa yanawakilisha wakubwa wa dunia na hao wafanyakazi wanakuja kwa gia ya mashirika hayo wengine wanafikia kuwa majasusi wa nchi kubwa kwa mwamvuli wa mashirika ya kimataifa
 
Usinichekeshe, unaota kwa maandishi!!!
JK kasingiziwa nini hapa aliekuwa waziri na alishiriki kuwapua pesa ya rada kafanywa nini?? maana hayo nomoja ya yaliyoongelewa hapo......
mbona mnakuwa wazito hivi mnapewa nini tusichopewa wengine?

Kama kuna wagtu wanaoongoza kwa unafiki duniani basi ni Waingereza! Wanajifanya ni waungwana lakini ukweli ni kwamba ni washenzi wa kutupwa!!! Kesi dhidi ya Radar ilianzia Uingereza....je, wao wamefunga wangapi?! wangapi wamewapeleka mahakamani?! tangu lini kesi ya ufisadi ikaisha kwa kurudisha chenji?! maofisa wao waliokuwa wamehusika na ufisadi ule wamewapeleka mahakamani?! Na mbaya zaidi, walifanya ufisadi wa aina ile kwenye nchi mbalimbali; mbona hawajafanya lolote?!
 
Tangu Jk aingie madarakani yuko karibu na China na Marekani kwa nchi za dunia ya kwanza pengine UK haijapenda mwendo huu wamekuja na mbinu ya kummaliza kimataifa. angalau Jk nilimuona kuwa karibu na chama cha Labour alipokuwepo Godon Brown na Tony Blear huyu Cameroun wa consevertive mmmh kaja na sera za kutushurutisha ikiwemo ushoga

You must be profoundly dumb. Hizo comments zimetoka serikali ya Uingereza au kwenye bunge lao? Zina uhusiano gani na ushoga? Hayo yaliyoandikwa unaweza kuthibitisha kwamba si kweli?
 
Huyo maskini wa akili anabweka kwa mambo asiojua,kwani yeye anaweza kuonyesha account yake inafloo kiasi gani kwa siku?watanzania hivi sasa wanaishi kwa mlo 1kwa siku,akipata chakula anahisi kama kapata ajali.Acha ujinga kutetea mashetani, usije kupata hukumu ya Mungu bure,


Tutabaki masikini kwa sababu watanzania tulio wengi tunadhani changamoto za maisha yetu ni za serikali pekee. Kaa nyumbani kwako bila kujishughulisha serikali italeta fedha na mahitaji muhimu kwa ajili ya familia yako. hapa ndipo wageni wanatunyang'anya kazi zetu kwa sababu uvivu wetu hakuna anayethubutu kujikosoa
 

Kama kuna wagtu wanaoongoza kwa unafiki duniani basi ni Waingereza! Wanajifanya ni waungwana lakini ukweli ni kwamba ni washenzi wa kutupwa!!! Kesi dhidi ya Radar ilianzia Uingereza....je, wao wamefunga wangapi?! wangapi wamewapeleka mahakamani?! tangu lini kesi ya ufisadi ikaisha kwa kurudisha chenji?! maofisa wao waliokuwa wamehusika na ufisadi ule wamewapeleka mahakamani?! Na mbaya zaidi, walifanya ufisadi wa aina ile kwenye nchi mbalimbali; mbona hawajafanya lolote?!

Hatutakiwi kusubiri Uingereza ifunge raia wao jela ndiyo na sisi tufunge wa kwetu. Sheria zetu zinasemaje kwa kosa kama lile? Kesi iliyokuwa hapa haifanani na iliyokuwa Uingereza, kwa nini ulazimishe wao wawafunge watu wao wakati hujui kesi yao ilihusu nini?
 
kwa kuwa mtu mweusi anamwabudu mzungu hata tukidhalilishwa mtamfurahia mzungu.huu ni udhaifu mkubwa.
 
Kinachonisikitisha ni namna tunavyoshabikia ujinga huu. Hivi tunajiaminisha vipi kuwa kashfa hizi zinaishia kwa rais peke yake bila kuhusisha wananchi ambao tumemchagua, na bado tunaendelea kumkenulia meno yetu yaliyooza kwa kumsupport!!? Am sure wanatushangaa kwa kuwa very dumb tusiojua haki zetu.

For me am always for action.................. mlale salama huku kwetu Kigoma tena vijijini jua linazama mapema.
 
You must be profoundly dumb. Hizo comments zimetoka serikali ya Uingereza au kwenye bunge lao? Zina uhusiano gani na ushoga? Hayo yaliyoandikwa unaweza kuthibitisha kwamba si kweli?

Wewe hamnazo kweli nenda kasome diplomasia za kimataifa jinsi matamshi hata ya raia wa kawaida yanavyoweza kuathiri mahusiano kama serikali husika haitatoka na kukanusha na kuomba radhi. kumbuka tukio la Julius Malema wa Afrika kusini lilivyomgharimu yeye na nchi yake alipoishambulia Botswana.
 
Sipati picha hiyo article kama ndo ingekuwa imeandikwa kwenye Magazeti yetu ya Tanzania..
 
Uingereza imetutukana watanzania. Rais sio mtu ni taasisi. Tumetukanwa mnasema katukanwa Jk.
 
Hivi ****** anaposema 'Africa is starting from very low levels...' anamaanisha nini? Africa anayoiongelea ni ile iliyopata uhuru miaka ya mwishoni mwa 50 na mwanzoni mwa 60, ikiwemo Tanzania. Tangu lini mtu mzima wa miaka 50 na zaidi akawa ndiyo kwanza anaanza? Tukubali mtu mzima huyu kadumaa, anahitaji msaada tena sio mdogo kama kuna uwezo wa kumkwamua.

Kwa mfano mtoto anapozaliwa huwa hawezi kukaa, kutambaa, kusimama wala kutembea. lakini siku zote inategemewa kwamba mtoto huyo ataendelea kutokana na umri wake, hatimaye aweze kuanza kusema maneno mawili matatu, aweze kuongea vizuri, aanze shule, akue na kupata mwenzi na Mungu Akijalia watoto na hata wajukuu. Ukiona mtoto ana miaka mitano bado hajatembea, hajaweza kuongea n.k ujue kuna mushkeli, utafute msaada.

Tanzania yetu imekuwa nchi huru kwa miaka 50 sasa, na uhakika unajionyesha kwa sherehe za kufuru na gharama kubwa walizofanya viongozi mwezi mmoja tu uliopita. Sasa mkulu kutamka mbele ya hadhara ya viongozi wa dunia kwamba ndiyo tunaanza, inabidi aidha tujiulize kama tunao viongozi (?) au tuna watu wanaopenda kuonyesha sura zao kwenye hadhara za watu ili mradi watapigwa picha zikaonekana dunia nzima! Kama kakosa la kusema tafadhali washauri wake mshaurini akae kimya, anatia kichefuchefu na kututukanisha watanzania mbele ya kadamnasi!

Afadhali anyamaze au abaki Bongo kwenye mgao wa giza kuliko kupoteza pesa za walipa kodi na kumwaga upumbavu wake!
 
katika nchi ambazo siwezi kuzitembelea ni pamoja na Uingereza labda uwe shoga
 
Back
Top Bottom