Waigizaji chipukizi wanahitajika

rugemaa

Senior Member
Nov 26, 2014
132
28
Wanahitajika watu wenye uwezo wa kushiriki tamthiliya ya kisiasa inayotarajia kuanza hivi karibuni.

Ni tamthiliya itakayokuwa katika mfumo wa bunge mithiri ya bunge letu la Dodoma ila litakuwa la ueledi zaidi na mantiki na itaoneshwa ktk TV za ndani na nje ya nchi yetu.

Fomu za mchujo wa washiriki zitaanza kutolewa 10/01/2016

Jitokeze ili uwe miongoni mwa washiriki 200 wa BUNGE LA BONGO

Hii ni maalum kwa waliopo Dar
Kwa taarifa zaidi +255718856161
 
Angalieni tu isije ikawa ni kamradi ka kuwagegeda dada zetu...muwe na nia nzuri na mfanye usahili kwa kuzingatia vigezo na haki itawale...Msipokee wala kutaka Rushwa ya namna yeyote..zaidi ya hapo nawatakia kila la heri.
 
shaka ondoa mkuu
 
Vigezo hujaainisha mkuu eg.umri pia fomu bei gani??
Namba ya simu imewekwa kwa ajili ya taarifa zaidi kwa mwenye shauku.

Kigezo ni uwezo wako.. Umri ni mengineyo but be 18+
 
Back
Top Bottom