Vyeti bandia vinaweza kuondoa wafanyakazi wengi Wizara ya Afya!

Molaro

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
786
500
sioni mantiki ya cheti halali au fake kwani hakuna tofauti ya mwenye cheki halali na fake wote ni sawa tu cha muhimu kama kazi wanaiweza pouwa 2 kwan tanzania tunafanyaga kazi kwa mazoea tu c kwa kile 2lichofundishwa shule

Wenye vyeti bandia utawajua tu.mmojawapo ww,kama hakuna umuhimu wa vyeti basi wote tufoji tu.
 
Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000

wapi pameandikwa Tanzania kazi hufanyika kwa mazoea tu? hata Engineer anaweza kumtibu mgonjwa?
 
Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
Thubutuu,hawataki

wataisoma namba.

afu wafanyakazi kama hawa ndio wanasababisha wenzao waumie.

hawa hata ukitokea mgomo wa Madaktari na manesi kudai kuboreshwa maslahi huwa hawadhubutu kushiriki mgomo.

wao wanaenda kazini kama kawaida kwa kuwa ajira ikiondoka ndio kwa heri tena
 
Wanaogopaga sana msako wa vyeti na kwa mantiki hiyo hawawezi kugoma ng'oo
 
Mawembasa1979

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,208
2,000
Idara ya afya inaweza kuongoza nchi nzima kwa wafanyakazi wenye vyeti vya kukugushi! Kuna mtu moja nilimsikia akilalamika kua kuna Muuguzi mmoja pale Muhimbili ana degree ya nursing lakini amereseat mtihani wa form four mwaka huu! Jiulize chuo kikuu aliendaje mpaka akamaliza.

Halafu walimu wanafuatia kwa karibu kwenye hiyo forgery ya vyeti!
 
izzo

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,814
2,000
Wenye vyeti bandia utawajua tu.mmojawapo ww,kama hakuna umuhimu wa vyeti basi wote tufoji tu.

mkuu kwanza nikufahamishe tanzania hakuna wasomi ila kuna watu wana hold vyeti tu leo c jambo la ajabu kukuta m2 wa chuo kushindwa kuandika ata barua ya kazi tumekuwa wajinga wa wanafunz wetu kuwaza kupata vyeti tu ndo maana utakuta vyuoni watu wapo radhi kuhonga hata unyevu au fedha ili wapate kazi tu sasa kipi bora huyu mwenye vyeti fake mwenye uzoefu wa miaka 10 kazini na ww mwenye cheti orgnal ambacho umekipata kimipango mipango ? leo mpaka najiuliza hv kweli tanzania kuna watu waliokwenda shule kweli au kuna watu wanamiliki tu vyeti vya shule coz msomi ata maamuzi yake tu au kuongea kwake tu utajua ni msomi ebu angalia au nipe tofauti ya aliesoma au asiyesoma tanzania ktk nyanja ya ufahamu na maamuz ?
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,928
2,000
Vyeti feki vingi vipo wizara ya mambo ya ndani huko wakifika Asikari magereza na Asikari polis wengi watarejea kuwa Raia wa kawaida maana ni Hatari ,
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,435
2,000
Lakini me bado siamini kama kuna watu huwa wanafoji vyeti tena vya elimu ndogo kama form 4,nilitegemea walau watu wafoji vyeti vya degree au masters!sasa form 4 ni kwamba mtu alikua kilaza namna gan akashndwa kupata hata div 4 ya pts 28 mpaka akahangaike na kufoji cheti?
 
Molaro

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
786
500
mkuu kwanza nikufahamishe tanzania hakuna wasomi ila kuna watu wana hold vyeti tu leo c jambo la ajabu kukuta m2 wa chuo kushindwa kuandika ata barua ya kazi tumekuwa wajinga wa wanafunz wetu kuwaza kupata vyeti tu ndo maana utakuta vyuoni watu wapo radhi kuhonga hata unyevu au fedha ili wapate kazi tu sasa kipi bora huyu mwenye vyeti fake mwenye uzoefu wa miaka 10 kazini na ww mwenye cheti orgnal ambacho umekipata kimipango mipango ? leo mpaka najiuliza hv kweli tanzania kuna watu waliokwenda shule kweli au kuna watu wanamiliki tu vyeti vya shule coz msomi ata maamuzi yake tu au kuongea kwake tu utajua ni msomi ebu angalia au nipe tofauti ya aliesoma au asiyesoma tanzania ktk nyanja ya ufahamu na maamuz ?

Mkuu hebu jaribu kutumia "hata" badala ya "ata" hili nalo ni jipu jipya kwa wasomi wengi,hawajui kuandika tena kiswahili. Una hoja katika hilo lakini sikubaliani na wewe kutetea vyeti feki.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,928
2,000
mkuu kwanza nikufahamishe tanzania hakuna wasomi ila kuna watu wana hold vyeti tu leo c jambo la ajabu kukuta m2 wa chuo kushindwa kuandika ata barua ya kazi tumekuwa wajinga wa wanafunz wetu kuwaza kupata vyeti tu ndo maana utakuta vyuoni watu wapo radhi kuhonga hata unyevu au fedha ili wapate kazi tu sasa kipi bora huyu mwenye vyeti fake mwenye uzoefu wa miaka 10 kazini na ww mwenye cheti orgnal ambacho umekipata kimipango mipango ? leo mpaka najiuliza hv kweli tanzania kuna watu waliokwenda shule kweli au kuna watu wanamiliki tu vyeti vya shule coz msomi ata maamuzi yake tu au kuongea kwake tu utajua ni msomi ebu angalia au nipe tofauti ya aliesoma au asiyesoma tanzania ktk nyanja ya ufahamu na maamuz ?

Wasomi wengi Tanzania ni Feki kwani hawasomi ili wapate Taaluma bali Bali hukariri na kuiba mitihani au kununua majibu na Rushwa ya ngono angalau wapate kumiliki vyeti na CV za kijanja janja ndiyo maana utendaji wa kazi wa Vijana wa Tanzania huwa ni wa hovyo sana wengi huwaza 10% madili nk hakuna mwenye kuwaza maendeleo ya Nchi wala kampuni .
 
izzo

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,814
2,000
wapi pameandikwa Tanzania kazi hufanyika kwa mazoea tu? hata Engineer anaweza kumtibu mgonjwa?

kama wakati tunapata uhuru mwaka 61 nchi inamaengineer 3 leo wapo zaid ya maelf lakini hakuna k2 majengo yanaanguka madaraja yanavunjika rami ikinyesha manyunyu tu inabomoka ckia mkuu tuna watu wanaohold vyeti tu c wasomi leo orgnal aiwezi kukaa na fake hata kdg utajua 2 je mtu mmefanya kazi nae miaka 10 yeye anachet fake ww una orgnal lakn umeshindwa kumtambua tena inawezekana kazi zngne yeye ndo anakuelekeza sasa hapo orgnal ni nani wewe au yeye?
 
Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
mkuu kwanza nikufahamishe tanzania hakuna wasomi ila kuna watu wana hold vyeti tu leo c jambo la ajabu kukuta m2 wa chuo kushindwa kuandika ata barua ya kazi tumekuwa wajinga wa wanafunz wetu kuwaza kupata vyeti tu ndo maana utakuta vyuoni watu wapo radhi kuhonga hata unyevu au fedha ili wapate kazi tu sasa kipi bora huyu mwenye vyeti fake mwenye uzoefu wa miaka 10 kazini na ww mwenye cheti orgnal ambacho umekipata kimipango mipango ? leo mpaka najiuliza hv kweli tanzania kuna watu waliokwenda shule kweli au kuna watu wanamiliki tu vyeti vya shule coz msomi ata maamuzi yake tu au kuongea kwake tu utajua ni msomi ebu angalia au nipe tofauti ya aliesoma au asiyesoma tanzania ktk nyanja ya ufahamu na maamuz ?

yaani upite form four kihalali,form six mpaka chuo afu uwe hujui kuandika barua ya kawaida kuomba kazi? huyo ndio wale wa vyeti feki.

labda kuandika barua kama professional hapo sawa.

mfano huwezi kulazimisha kila aliyesoma Physics,Chemistry na Biology aandike barua nzuri sawa na aliyesoma masomo ya arts.

vyeti feki havitakiwi.

uzoefu kwani si unapatikana kazini. Hao wenye vyeti feki walizaliwa na uzoefu kiasi kwamba wenye vyeti original hawawezi kuwa na uzoefu ama kupata uzoefu.

nashangaa watu kutetea ujinga huu.

Wakague idara zote.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,928
2,000
Busara inatakiwa kutawala,tutazika watu wengi ikiwa itatekelezwa ipasavyo

Magufuli akiamua kupita kila wizara kila idara kila sekta mpaka Taasisi itakuwa majanga maana 70% wengi wanamiliki vyeti lakini kichwani hakuna Taaluma yeyote ile ni wajanja janja tu.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,928
2,000
kama wakati tunapata uhuru mwaka 61 nchi inamaengineer 3 leo wapo zaid ya maelf lakini hakuna k2 majengo yanaanguka madaraja yanavunjika rami ikinyesha manyunyu tu inabomoka ckia mkuu tuna watu wanaohold vyeti tu c wasomi leo orgnal aiwezi kukaa na fake hata kdg utajua 2 je mtu mmefanya kazi nae miaka 10 yeye anachet fake ww una orgnal lakn umeshindwa kumtambua tena inawezekana kazi zngne yeye ndo anakuelekeza sasa hapo orgnal ni nani wewe au yeye?

Wasomi Feki huwa ni wajanja sana hutumia fursa kujifunza kupitia wasomi wa Ukweli Kwa kigezo cha kujifunza kazi , huwa na bidii sana wakati wakiajiriwa lakini wakishajua kila kitu huwa wajuaji kupita wasomi olijino matokeo yake ni utendaji kazi chini ya kiwango na kuzidisha madili na 10% kila kona za manunuzi .
 
Mawembasa1979

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,208
2,000
yaani upite form four kihalali,form six mpaka chuo afu uwe hujui kuandika barua ya kawaida kuomba kazi? huyo ndio wale wa vyeti feki.

labda kuandika barua kama professional hapo sawa.

mfano huwezi kulazimisha kila aliyesoma Physics,Chemistry na Biology aandike barua nzuri sawa na aliyesoma masomo ya arts.

vyeti feki havitakiwi.

uzoefu kwani si unapatikana kazini. Hao wenye vyeti feki walizaliwa na uzoefu kiasi kwamba wenye vyeti original hawawezi kuwa na uzoefu ama kupata uzoefu.

nashangaa watu kutetea ujinga huu.

Wakague idara zote.
Well said mkuu. Naona watetezi mafisadi ya elimu wako kibao humu jf!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom