Kwenye attachment hii ni convo ya mimi na mkewangu ambayo ilifanyika jana kupitia simu zetu. Story ni hivi, juzikati 'Jmosi' tuliandaa sherehe ya birthday ya mwaka mmoja ya mtoto wetu D, tulifanyia nyumbani huku tukialika majirani kadhaa. Maandalizi ya tukio zima roughly ilinicost kama laki2 na nusu hivi, nashukuru Mungu ilipendeza sana kama matarajio yetu yalivyokuwa (tulienjoy).
Kesho yake Jpili siku ya pasaka baada ya kutoka church nikaunganisha kwenye shughuli zangu za ujasiriamali, maana kama ni kusherehekea jana yake nilisherehekea vya kutosha kwa maana hadi saa7 usiku tulikuwa tunacheza mziki na kupigwa vyombo, hivyo sikuona sababu ya kuwa na mtoko tena siku inayofata badala yake niitumie hiyo siku kupiga kazi na kuupa unafuu mfuko baada ya kuvunja kibubu, Mama D aliniomba tutoke nikamwambia nimechoka na shughuli ya jana, acha leo nipige kazi, siku ikawa imepita.
Siku ya jana j3 nilikuwa kazini kwangu, nikawa na convo fupi ya sms na Mama D, baada ya kama nusu saa akatuma ujumbe kimakosa ambao ulikuwa unapaswa kwenda kwa mtu mwingine
'Mtandao mbaya sehem gani kutakua na usalama? Uko sipajui [emoji3059]Nijibu kwa sms plz'.
Sikumjibu chochote baada ya kusema amekosea huo ujumbe ulikuwa unaenda kwa 'Mama Catherine ', baada ya kama lisaa limoja nikarudi home kupata lunch, sikuhoji chochote kuhusu hiyo msg yake, akasema by saa 10 jioni ataondoka kuelekea Beach. Mimi nikamwambia usiende, akahoji kwanini wakati uliniruhusu? Nikamwambia nikweli nilikuruhusu ila nimeahirisha, maongezi yakaishia hapo japo alionekana kukasirika, leo asubuhi kipindi tunapata breakfast kaniomba ruhusa kesho 'Jtano' aende kumuona Mama yake, mimi nikamjibu sawa (Mama yake anaishi pembeni mwa mji, ni kama kilometa 15 kutoka tunapoishi).
Kifupi hiyo sms ya jana aliyoituma kwangu kimakosa imenifikirisha sana, na hii safari ya katikati ya wiki kwenda kumuona Mama imenifikirisha zaidi, nahisi kuna mnyamwezi anataka kunisaidia majukumu, naombeni ushauri wasomi wenzangu, huu mtego nautegua vipi ama ni hisia zangu tu ndio zimekuwa negative? Nimruhusu hiyo kesho aende, ama nimkatalie ili niharibu formation?
NB; kwa miaka miwili tuliyoishi pamoja sijawahi mfumania Mama D, wala sijawahi hisi kama ananisaliti, ila kwa hiyo meseji nimeanza kuhisi kituView attachment 2584561
🤣🤣🤣🤣[emoji23] Mtamuua mwenzenu ujue
Tibua formation tena.. usipofanya ivyo timu pinzani itashinda kwa kishindo
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Ndio kashatombewer hapo mke🤣🤣🤣👍
Usiamini kirahisi hivyo kuna kupigwa na vitu vizito tena siku hizi sio vizito tu, na vina ncha kali 😅watu mnafanya maisha yawe complicated sana, apo si alikua anaulizia ni maeneo gani kule beach yapo salama, si unajua sikukuu watu wengi vurugu na nini
sawaUsiamini kirahisi hivyo kuna kupigwa na vitu vizito tena siku hizi sio vizito tu, na vina ncha kali 😅
Pole sana. Ila ni Mungu alikufunulia. Huyo angekutesa sana. Kwenye hii zama za Internet na Social media ni rahisi sana kumjua mwenza unayetaka kumuoa. Ukiona una demu na muda wote amepinda mgongo kwenye simu ogopa. Au anapigiwa simu kila dakika. Pia angalia picha zake na vitu anavyoandika!Nilikua na pisi ilikua iko makini sana na text. Huwezi kuta sms ktk simu yake, na kila wkt unaona anajichatisha na watu. Yuko fasta sana kwenye kufuta text. Halafu nilikua nimeshaset mipango ya kumuoa na tulikua tumeshaanza kuishi pamoja kama miezi mitano hivi.
Kuna siku sijui alijisahau nini, akaenda bafuni kaacha simu kitandani nikaperuzi nikakuta anajibebisha kwa x anamuomba game! Imagine, demu unataka kumuoa na mshaandaa mpaka kamati za harusi lkn anaomba game ya kupasha kiporo kwa x! Nilipiga chini mazima. Alichizika miksa vikao na maushauri ya wazee lkn sikuskiliza mtu, nilibaki na msimamo wangu ule ule!
Mpaka sasa mtu akisema KATAA NDOA simshangai!
Kwa ground sio rahisi kama usemavyo mkuu...humu wengi mnaongea nyuma ya keyboard...!mpe mkeo.uhuru then muamini...imetosha..na mke vilevilr .kufatiliqna namna hii inakata sana uaminifuBro kwa elimu yangu ya darasa la 4C shule ya msingi Mwanamboka... Mkeo anaenda kukojolewa... Halafu umesema for 2 years hujawah kumfumania au kumhisi..? 😅 She's very smart atakua alisomea Cuba namna ya kuishi kwa umakini...
Ila kuna kitu hakipo sawa, inaonekana mkeo hakueshimu hakuogopi anakudharau, inaonekana umempa nafasi ya kukuona wewe fala sana... Yaani hiyo msg ilitosha kabisa aogope awe na wasiwasi asitoke nje ya nyumba mwaka mzima... Ila cha ajabu bado anakuomba ruhusa anaenda sehem unamkatalia anakupa sababu nyingine eti anaenda kwao kusalimia 😅😂... Mimi nitombewe tu dharau za wazi hivi ninamtoa mtu roho kimya kimya...
Anyways ndoa njema bro
Ni hapo ''chacha''! Kwanini afute kama anajiamini?Inaonekana ana michezo yake muda, maana kuna wakati nikiwa na wasiwasi nikichukua kupekua simu yake nakuta inbox empty [emoji56]
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ndicho alichokuwa anakitafuta lakini? Yaani ulete uzi wa hivi jf utegemee nini?
Ebu muoneeni huruma mwanaume mwenzenu [emoji23]Ndio kashatombewer hapo mke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]
FBI, CIA wanafuatilia magaidi moves zao halafu wanadakwa kabla kitu hakijalipuka, Sasa akitangulia ukweni si atajua anatombewa baada ya mkewake kupelekewa moto ni sawa na kukamata gaidi huku limeshalipua.Mruhusu peaceful lakn wew Tangulia kufika kwa mama mkwe ukifk usimpe nafas mama mkwe kumpgia cmu mwanae hadi uone amefka
,pelek na mchele kbsa alafu utakuja kunishukuru
Wewe ni mwanaume halisiaMtafute mama cathe upate udhibitisho,
Lakini sidhani kama kuna ishu iliyo kuwa imepangwa, maana alikuomba mtoko , kama ungekubali angefanyaje hicho unachodhania.
Jitahidi sana usijue negative za mwenzako zitakuumiza sana na kuifikisha safari yenu mwisho bila kufika mwisho wenyewe.