Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,878
- 156,377
Circa 2013.Okay ilikuwa mwaka gani
Circa 2013.Okay ilikuwa mwaka gani
Mwaka huo Pcm hakuruhusiwa kusoma MDCirca 2013.
Mkuuu umenena vyema mtoa uzi hajafanya utafiti kuhusu bandiko lake namshauri aombe radhiNiambie Field gani ya Engineering ina ajira zaidi ya Civil? Mradi gani nchini ufanyike bila Civil? Na mitadi ya Civil iko Mingapi?
Mimi ni Civil.. Baada ya kumaliza shule sikukaa hata mwezi kitaa..
Vijana wasome Civil bado Fursa ni kubwa sana!
inaonekana Ni mhitimu wa civil ud.sio .Vijana wa Civil kutoka Udsm sijui kama kuna ambaye hana kazi.. asilimia kubwa wanaitwa kazini hata vyeti vyao havihitajiki.
TBA ipo chini Ya serekali , kwa hiyo IPO kila mkoaDuuh hapa naona TBA kashika kila kitu hata kule kigoma Jafo alikuwa anawalaumu hawa nadhani kwa kuchelewesha kukamilisha mradi.
TBA wapo kila kona
Mkuu watu hawajui Tu , yaan kimsingi kama umeajiriwa na life lpo easy utaona machizi mtaani wanaotaabika kama wanatania hvi, jiwe kavuruga sehemu nyingi Sana , ......Ukikutana na mtu anakwambia eti graduate wa Civil Engineering ajiajiri mchape makofi. Unaanzaje kujiajiri wakati mtaji hata wa milioni 30 huna? Mtu kasoma kwa mkopo unamwambia ajiajiri kwa mtaji wa mamilioni ya pesa.
Kwanza miradi yenyewe ya kuajiri iko wapi. Hata kukodisha mitambo ni gharama kubwa kuliko uwezo wa watu wengi. Malipo yenyewe yanacheleweshwa ufanye kazi leo ulipwe miaka miwili mbele wakati kampuni ndio inaanza.
Siyo mbaya akienda A level maana maisha haya siyo milele, mwanga waweza onekana huko miaka ijayo. naye pia awe na uelewa mkubwa.Siyo lazima aende kwenye degree, kidato cha nne-sita kinatosha kabisa, aanze sasa kujifunza stadi za maisha
kujuta kwanini hukusoma IT na wewe ndio unakuwa zuzu square kwani kusoma IT mpaka uwende chuo.Ningeshangaa sana IT eti uko na wewe unaililia ajira kweli..? Zama hizi IT ndo chanzo pekee cha kuingiza ela kama ukiwa serious, mimi mwenyewe najuta kwanini sikusomaga hii kozi.
Kajiajiri au anaganga njaa asife.Mbona mm nawafahamu kadhaa wamejiajiri wanachukua kazinza ujenzi wa nyumba ya mtu ila yy anatafuta vibarua wa kujenga.iyo ni kozi qmbayo kujiajiri ni safi sanaaa ...
uli mshauri vibaya sana ningekua ni mimi nisingekubali. Siwezi kufanya kazi ya kushika wagonjwa narudia tena siwezi.Kuna dogo aliniomba ushauri miaka kadhaa nyuma.
Alikuwa anaanza chuo, ana options za Civil Engineering au udaktari.
Sasa alikuwa hajui achague ipi.
Nikamshauri achague udaktari.
Amemaliza. Sasa hivi kawa mtu wa msaada sana katika jamii.
Rafiki zangu wamesoma petroleum saivi wameshakuwa matajiri. Wamehitimu 2016, trip zao ni India, Dubai. Ukiwaangalia hata sura zao wamesha badirika, tena wamesoma miaka mitatu tu.katika koz za eng.hii ni msala ukisoma Basi uwe umeandaa na mtaji kabisaaa.wadogo zetu nao Wana paramiaga koz bila kuwa na focus after school what next.africa hatuhitaji saana viwanda vya magari.koz za engineering ambazo dili kwa east Africa na sadec Ni civil,mass communicatn,electrical.petrolium na mining sio Sana.
Wale vilaza sanaVijana wa Civil kutoka Udsm sijui kama kuna ambaye hana kazi.. asilimia kubwa wanaitwa kazini hata vyeti vyao havihitajiki.
Baada ya Nursing na Medicine.. Civil ndo Kada yenye soko kubwa kitaa.Mkuuu umenena vyema mtoa uzi hajafanya utafiti kuhusu bandiko lake namshauri aombe radhi
Hapana.inaonekana Ni mhitimu wa civil ud.sio .
Vilaza wa nini.Wale vilaza sana
Mkuu hongera sanaBaada ya Nursing na Medicine.. Civil ndo Kada yenye soko kubwa kitaa.
Au nadanganya Mhandisi?Mkuu hongera sana
Hao 200 ni CoeT pekeePole Sana mkuu nasikitka kwamba bado uko gizani sjui mnawazaje graduates per kila year Civil Engineering ni zaid ya 100+ pengine wanafikaga mpk 200+ nina marafiki kibao niliomaliza nao years ago kipindi changamoto hii ya ajira haikuwa ktk hali hii na Civil Engineers so sad nawaoneaga huruma sana imebidi waji engage tu kwenye other life hustlings
Kwani kufanya hicho unachosema kuna hitaji uwe injinia? Mbona wengi wenye makampuni au mafundi hawana engineeringMbona mm nawafahamu kadhaa wamejiajiri wanachukua kazinza ujenzi wa nyumba ya mtu ila yy anatafuta vibarua wa kujenga.iyo ni kozi qmbayo kujiajiri ni safi sanaaa ...