Mechanicalengineer ya nn,maana zko nyingi,na sio kila eng.ina dili mkuu.
Mechanicalengineer ya nn,maana zko nyingi,na sio kila eng.ina dili mkuu.
Sasa nimesoma civil injiniaring nikabebe zege tena?? Hapana aiseWahitimu wanachagua kazi. Waanzie kwenye saidia fundi (kubeba zege) mpaka wapate uzoefu
Wewe na wewe ni mjinga tu IT unalilia ajira?? Haupo serious mkuumi mwenyewe naijutia hii IT naiwazia hiyo civil
hahhahahahahahahaHayupo katika list ya wanaotafutwa?
mi sihitaji ajira ndugu nipo fullWewe na wewe ni mjinga tu IT unalilia ajira?? Haupo serious mkuu
Wewe na wewe ni mjinga tu IT unalilia ajira?? Haupo serious mkuu
Injiniya bado hujapata kazi? Ulijaribu kucheki na nje ya bongo?Inshort hali imekuwa ngumu tofauti na matarajio ambayo wengi tulikuwa nayo, nafikiri mazingira ya sekta binafsi na uchumi kwa ujumla yana walakini. Binafsi ni Mwaka wa 3 huu nipo mtaani, nilijitolea kwenye kampuni ambayo iliyumba na haijapata miradi toka mwaka 2019, nikaamua kudeal na nyumba za watu nazo hali imekuwa ikizorota kadri siku zinavyoenda. Hali ni ngumu kwa kweli lakini tusikate tamaa
Connection mzee usiongee sana.Ukikaa mtaani na wale vijana wa chini kabisa,ambao wengine hata kidato Cha nne hawakufika, utashangaa,
Mtaa ninaoishi Kuna vijana Hawa Kwanza ni madereva wa bodaboda, pili ni mafundi ujenzi,bomba,wengine,wataalamu wa kuweka Tiles.
Yupo mmoja huu ujuzi Kwanza alifundishwa na kaka yake,then akaenda kusomea VETA,huo mtaa mzima ndie fundi bora anaye kubalika katika kuweka mfumo wa mabomba kwenye nyumba,kujenga chemba za vyoo,na vile vile ni dereva wa bodaboda,anafamilia na ameweza kujenga nyumba yake ya kawaida tu.
Mwingine ni kijana alitoka Iringa,akaja Dom,kwa kazi nzuri za kuweka Tiles,anazofsnya,anapata kazi nyingi,mpaka mikoa mingine.
Kwanini wenye "degree"hawawezi hivi vitu(sio wote lakini).
Kuna haja ya kuwafanya vijana wetu wafanye hizi kazi ndogondogo,Kwanza wao tayari Wana msingi wa elimu kubwa,wakiweka nia hizi kazi wanaweza kuzipiga ki uhandisi zaidi,mambo yakawa poa.
Nilienda Zenj,nikakutana na vijana waliotoka huku bara,wapo Zenj wanafsnya kazi za umeme wa majumbani,Kuna wakandarasi wakubwa,wanachukuwa tender,then wanawatumia Hawa vijana na vibarua wao kufanya hizi kazi.
Pesa wanayopiga,acha kabisa,jamaa alinionyesha apartments ambazo anafanya kazi,kazi ikiisha atakuwa ana 99Millioni cash!
Kwa jinsi kazi zilivyonyingi,hakosi 5M!kwa mwezi!!
Wakati huo Mimi Na Degree yangu nimekomaa na ajira!ya laki 8,Kwa mwezi! Kuna sehemu wasomi tunschemka,sio kwamba hatuna ujuzi!!tatizo ni mtazamo,fikra zetu vichwani,Miundombinu ya kuweza kufanya yale tuliyoyasomea ki engineer zaidi,kwenye ofisi,viyoyozi,mshahara mnono,kwa sasa hv ni changamoto,then what!lazima tuanzie chini!!
It's do or die
Halafu wanajionaga vichwa balaa ..sanaona wengine hapo chuoni ni kama wanapoteza muda.Ukiwakuta CoET na ma-calculator utafikiri wanasoma vitu vya maana kumbe kuchanganya zege tu
wanajiona vichwa, wazee wa PCM, kuwaita non-CoeET mangwini,Ukiwakuta CoET na ma-calculator utafikiri wanasoma vitu vya maana kumbe kuchanganya zege tu
Hahahaah ni kawaida tu kuona watu wazima wanaendesha Toys
Ningeshangaa sana IT eti uko na wewe unaililia ajira kweli..? Zama hizi IT ndo chanzo pekee cha kuingiza ela kama ukiwa serious, mimi mwenyewe najuta kwanini sikusomaga hii kozi.mi sihitaji ajira ndugu nipo full
Hapo sasa mkuu ..hizi zama kwa watu wa IT kama wakijiongeza furesh wanaweza ku make pesa mingi sana.IT zama hizi anakosaje hela... ama hajui kutengeneza apps... na kusolve matatizo ya mifumo ya IT
Ukiwakuta CoET na ma-calculator utafikiri wanasoma vitu vya maana kumbe kuchanganya zege tu
Hakuna mtu mwenye bachelor ya civil ya ud akakosa ajira mkuuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] according to Magu ,hela ya hata kula haitoshiCivil Engineering halafu unasota?
Hata ukichimba mitaro ni pesa tupu!
Kama ni simple acha hiyo ya laki 8 kajichomeke huko au mwambie akupe connectionUkikaa mtaani na wale vijana wa chini kabisa,ambao wengine hata kidato Cha nne hawakufika, utashangaa,
Mtaa ninaoishi Kuna vijana Hawa Kwanza ni madereva wa bodaboda, pili ni mafundi ujenzi,bomba,wengine,wataalamu wa kuweka Tiles.
Yupo mmoja huu ujuzi Kwanza alifundishwa na kaka yake,then akaenda kusomea VETA,huo mtaa mzima ndie fundi bora anaye kubalika katika kuweka mfumo wa mabomba kwenye nyumba,kujenga chemba za vyoo,na vile vile ni dereva wa bodaboda,anafamilia na ameweza kujenga nyumba yake ya kawaida tu.
Mwingine ni kijana alitoka Iringa,akaja Dom,kwa kazi nzuri za kuweka Tiles,anazofsnya,anapata kazi nyingi,mpaka mikoa mingine.
Kwanini wenye "degree"hawawezi hivi vitu(sio wote lakini).
Kuna haja ya kuwafanya vijana wetu wafanye hizi kazi ndogondogo,Kwanza wao tayari Wana msingi wa elimu kubwa,wakiweka nia hizi kazi wanaweza kuzipiga ki uhandisi zaidi,mambo yakawa poa.
Nilienda Zenj,nikakutana na vijana waliotoka huku bara,wapo Zenj wanafsnya kazi za umeme wa majumbani,Kuna wakandarasi wakubwa,wanachukuwa tender,then wanawatumia Hawa vijana na vibarua wao kufanya hizi kazi.
Pesa wanayopiga,acha kabisa,jamaa alinionyesha apartments ambazo anafanya kazi,kazi ikiisha atakuwa ana 99Millioni cash!
Kwa jinsi kazi zilivyonyingi,hakosi 5M!kwa mwezi!!
Wakati huo Mimi Na Degree yangu nimekomaa na ajira!ya laki 8,Kwa mwezi! Kuna sehemu wasomi tunschemka,sio kwamba hatuna ujuzi!!tatizo ni mtazamo,fikra zetu vichwani,Miundombinu ya kuweza kufanya yale tuliyoyasomea ki engineer zaidi,kwenye ofisi,viyoyozi,mshahara mnono,kwa sasa hv ni changamoto,then what!lazima tuanzie chini!!
It's do or die
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mwenzetu baba yako ni yupi hapo, kati ya hao wawili ulio wataja? Au umeamua tu kwa makusudi kukichukua kwa nguvu cheo cha Mzee Yusuf!!