Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Waambie waroge, wasikae tu.Sijui fani nyingine ila nina watu wangu wengi waliosomea hii fani wengine nilisoma nao O Level wengine shule ya msingi, marafiki na pia ndugu zangu.
Wengi nawaona wanasota nyumbani tu. Sijui hii fani imekumbwa na nini kipindi hiki.