Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Waambie mkuu..Hakuna mtu mwenye bachelor ya civil ya ud akakosa ajira mkuuu
Waambie mkuu..Hakuna mtu mwenye bachelor ya civil ya ud akakosa ajira mkuuu
Pole Sana mkuu nasikitka kwamba bado uko gizani sjui mnawazaje graduates per kila year Civil Engineering ni zaid ya 100+ pengine wanafikaga mpk 200+ nina marafiki kibao niliomaliza nao years ago kipindi changamoto hii ya ajira haikuwa ktk hali hii na Civil Engineers so sad nawaoneaga huruma sana imebidi waji engage tu kwenye other life hustlingsVijana wa Civil kutoka Udsm sijui kama kuna ambaye hana kazi.. asilimia kubwa wanaitwa kazini hata vyeti vyao havihitajiki.
Ulitaka ukimaliza chuo ukabidhiwe Ofisi full AC?Apa ndio chanzo cha depression ukifikiria ulikua john kisomo shuleni afu sasa hivi una round round kitaa inauma sana
Mbona majumba mengi yana jengwa mtaan waambie wavhukue contract izo wasitegemee mi project mikubwa kubwaSijui fani nyingine ila nina watu wangu wengi waliosomea hii fani wengine nilisoma nao O Level wengine shule ya msingi, marafiki na pia ndugu zangu.
Wengi nawaona wanasota nyumbani tu. Sijui hii fani imekumbwa na nini kipindi hiki.
wako vizuri Mkuu kama wao hawasoti, Sisi wengine tunasota na sio kwamba hatujui kaziPole Sana mkuu nasikitka kwamba bado uko gizani sjui mnawazaje graduates per kila year Civil Engineering ni zaid ya 100+ pengine wanafikaga mpk 200+ nina marafiki kibao niliomaliza nao years ago kipindi changamoto hii ya ajira haikuwa ktk hali hii na Civil Engineers so sad nawaoneaga huruma sana imebidi waji engage tu kwenye other life hustlings
Siyo lazima aende kwenye degree, kidato cha nne-sita kinatosha kabisa, aanze sasa kujifunza stadi za maishaThough sina kijana wa fani hiyo, ila mtu ahitimu uhandisi halafu uje umfundishe useremala, uashi, jamani oneeni imani wana wa wenzenu.
Mbona mm nawafahamu kadhaa wamejiajiri wanachukua kazinza ujenzi wa nyumba ya mtu ila yy anatafuta vibarua wa kujenga.iyo ni kozi qmbayo kujiajiri ni safi sanaaa ...Ukikutana na mtu anakwambia eti graduate wa Civil Engineering ajiajiri mchape makofi. Unaanzaje kujiajiri wakati mtaji hata wa milioni 30 huna? Mtu kasoma kwa mkopo unamwambia ajiajiri kwa mtaji wa mamilioni ya pesa.
Kwanza miradi yenyewe ya kuajiri iko wapi. Hata kukodisha mitambo ni gharama kubwa kuliko uwezo wa watu wengi. Malipo yenyewe yanacheleweshwa ufanye kazi leo ulipwe miaka miwili mbele wakati kampuni ndio inaanza.
Bila kusahau Suma JKT, TBA, Magereza etc...Miradi ya ujenzi wanayo wachina
Huo ndo ukweli tunaoukimbia wengi na hatutaki kuuamini acha tuendelee kulaumu serikali.Wakati Bakhressa na Dewji wanatafuta pesa baba zenu wapo bize kutafuta viwanja vya 20x20 magomen ona Sasa. Shule ya kuunga, ajira hamna. Kina Mo wanakula matunda ya utajiri wa babu zao na Shule wamepiga za maana.
Nchi yoyote ni lazima kuwe na ajira. Kila anayemaliza hawezi kujiajiri. Ni ule ule upuuzi wa kusema kila mwananchi afanye biashara. Nchi inayoongozwa vizuri kunakuwa na balance kati ya kujiajiri na kuajiriwa. Tanzania hiyo balance hakuna. Kosa la kwanza lililofanyika ni kufungua vyuo vikuu vingi vilivyo chini ya kiwango ambavyo vinatoa gradutes walio chini ya kiwango. Hapo ndipo tatizo limeanzia...Yani weww na wao pia ni watu mnao amini kupata kupitia ajira,kamba ulisoma sasa lazima ufanikiwe kupitia mawazo ya wengine(ajira). Hamuoni kwamba mnachemka?
Mpe mtaji .Wazazi ndo wanaumia kuliko hata hao wahitimu.
Unamsomesha mwisho unaanza tena kumpa hela ya vocha.
Inaumiza.
Niambie Field gani ya Engineering ina ajira zaidi ya Civil? Mradi gani nchini ufanyike bila Civil? Na mitadi ya Civil iko Mingapi?Pole Sana mkuu nasikitka kwamba bado uko gizani sjui mnawazaje graduates per kila year Civil Engineering ni zaid ya 100+ pengine wanafikaga mpk 200+ nina marafiki kibao niliomaliza nao years ago kipindi changamoto hii ya ajira haikuwa ktk hali hii na Civil Engineers so sad nawaoneaga huruma sana imebidi waji engage tu kwenye other life hustlings
Perpetual War for Perpetual Peace - Gore Vidal.Anaweza kuifanya agenda ili ipatikane sababu ya kutoajiri,uhakiki part2
Miaka ni "mingapi", si ngapi.Miaka kadhaa ni ngapi mkuu?
Okay ilikuwa mwaka ganiMiaka ni "mingapi", si ngapi.