N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,246
- 12,619
Hawa watoto waliozaliwa miaka ya 90z na 2000z ndio hata hawaujui vizuri UKIMWI wale wa 70z na 80 angalau tulionyeshwa video za PANGUSA,KISONONO NA KASWENDE enzi zile shuleni, pia tulisoma sana hekaya za PANDE NA UKIMWI, hivi vitoto ukikutana navyo kwenye hizi pub wikiendi ukikatongoza kakakubali hata haviulizi ndom wala nini sambi sote sako. UKIMWI hatuuzungumzi ila watu wanakatika kama mshumaa na ARV siku hizi zimefanya watu wanakatika ghafla mara paa IS DEAD.
Mwana wahega. OVA
Mwana wahega. OVA