Wahenga ninawakumbusha tu HIV ipo

Wahenga ninawakumbusha tu HIV ipo

Siku hizi basi UKIMWI nao wa kuogopa!?... Me naogopa Kansa, Kisukari n' soso!!..
Ila matangazo yakiwa mengi inakuwa tabu kutoogopa!.
Ha ha ha! Kansa, Kisukari Ni Hatari Mno. By the way Ukimwi Dawa Ipo Njiani Kuja.

Tangu Nizaliwe Sijawahi Kutimba Kituo Chochote Kupima. Siwaamini Kabisa Wazungu Na Agenda Zao Za Siri Kupitia WHO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIMWI hupo ila siku hizi hautishi sana kama Enzi zile. Hata taasisi za kupambana na UKIMWI siku hizi zimeutosa sio dili tena
 
Mada za Ukimwi zimezidi sana humu, tunatishana tu. Mtu kupata Ukimwi sio news tena.
Na kwanza inabidi tuhofie magonjwa kama saratani ambayo lifetime risk ya kuyapata ni 1 kwa 3.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom