Wahenga ninawakumbusha tu HIV ipo

Wahenga ninawakumbusha tu HIV ipo

Mada za Ukimwi zimezidi sana humu, tunatishana tu. Mtu kupata Ukimwi sio news tena.
Na kwanza inabidi tuhofie magonjwa kama saratani ambayo lifetime risk ya kuyapata ni 1 kwa 3.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu sio tunatishana bali tunakumbushana ukimwi ni tofauti na magonjwa yote uliyo Sema mbaya sana kuwa na ugonjwa na mawazo juu yake. Ukipata cancer Jamii itakupa faraja na matumaini ila sio ukimwi unaanza kujiua kwa presha Jamii itanichukuliaje.
 
Mkuu sio tunatishana bali tunakumbushana ukimwi ni tofauti na magonjwa yote uliyo Sema mbaya sana kuwa na ugonjwa na mawazo juu yake. Ukipata cancer Jamii itakupa faraja na matumaini ila sio ukimwi unaanza kujiua kwa presha Jamii itanichukuliaje.
Kwa sababu jamii inaamini ukimwi unasababishwa na ngono tu.
 
ivi waganga wa kienyeji hawawezi tengeneza dawa ya hamu kukata ukikutana na mgonjwa wa UKIMWI ama kwa wanaume dushe kulala chaliii kwa galz punye kubana
Aisee hivi Unaweza kumtambua muathirika kwa macho
 
kwa macho ngumu ndo tuwaombe waganga wa kienyeji watengeneze dawa ya kugundua wenye virusi ukienda kwenye shoo kama kawaka dushe lisisimame
Kama wameshindwa kugundua dawa ya ukimwi wataweza zoezi hilo.
 
Ndio maana UKIMWI naona kawaida, kama mtu anaweza ishi mpaka miaka 10 sio tabu.
Miaka hiyo kumi lazima uikubali hali yako yaani no mawazo, kuishi kwa masharti ya ugonjwa huo la zivyo miezi unaondoka
 
Ha ha ha! Kansa, Kisukari Ni Hatari Mno. By the way Ukimwi Dawa Ipo Njiani Kuja.
Tangu Nizaliwe Sijawahi Kutimba Kituo Chochote Kupima. Siwaamini Kabisa Wazungu Na Agenda Zao Za Siri Kupitia WHO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna close friend aligundulika ana kisukari, alivyoisha sitaki amini ule ugonjwa ni mwepesi zaid ya AIDS!!..
Masharti alopewa si mchezo!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom