Ha ha ha! Nilitegemea hili jibu.Unaniongelesha kiingereza ulinisomesha? ha ha ha
Sijakimbia umande mzee baba nilikuwa nachangamsha genge tu naongea lugha nne hapa nilipo Kiswahili, Kingereza, Kifaransa na KijerumaniHa ha ha! Nilitegemea hili jibu.
Acha tabia ya kukimbia Umande Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooooo!Sijakimbia umande mzee baba nilikuwa nachangamsha genge tu naongea lugha nne hapa nilipo Kiswahili, Kingereza, Kifaransa na Kijerumani
French nilisoma sekondari baadae nikajiendeleza, kijerumani nilikaa miaka minne kule na shule niliyokuwa nasoma ni lazima ujue kijerumani. Mie sio spy wala mkalimani ni mtu Fulani wa mishe mishe za kimataifaOhooooo!
Zote hizo za nini mkuu we ni spy au mkalimani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
I see.French nilisoma sekondari baadae nikajiendeleza, kijerumani nilikaa miaka minne kule na shule niliyokuwa nasoma ni lazima ujue kijerumani. Mie sio spy wala mkalimani ni mtu Fulani wa mishe mishe za kimataifa
Napiga mishe zangu private sitaki kujihusisha na SerikaliI see.
Kama wa kimataifa fanya juu chini kusaidia diplomatic relations kuwa stable. Nadhani ushanielewa nimelenga nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshutka gafla wewe ni mtu wa kimataifa, usikute namquote Bernard Kamilius Membe.Napiga mishe zangu private sitaki kujihusisha na Serikali
mie ni funzadume mzee wa mbunyeNimeshutka gafla wewe ni mtu wa kimataifa, usikute namquote Bernard Kamilius Membe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako lina utata sana, funza anapenda choo sana sasa sijui nilauhalisia wowote na wewe?mie ni funzadume mzee wa mbunye
Jina langu ni Funzadume mwana wa WashawashaJina lako lina utata sana, funza anapenda choo sana sasa sijui nilauhalisia wowote na wewe?
Hata huyo muheshimiwa anapenda chini so long he's a manly man.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa hapo kwenye " Washa washa".Jina langu ni Funzadume mwana wa Washawasha
Naona ni nyingi sanaMbona mada za UKIMWI zimeshamiri Sana?