Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,200
πππππππππ umenchekesha kinoma ujue
πππππππππ umenchekesha kinoma ujue
Nasikia ukifata protocol ndo kabisaaa unaweza wazika wazima wakakuacha unadunda mjini.Si kumi mkuu 20+
Ladhaaa mama, ladha tofauti huzitaki?Ndiwooo
Hata miaka 39! Kwani inapungua ama?!
Uje siku nikushike mkono twendee!!!Mimi sipajui bana!
Sizitaki mimi, ukimwi upo na unaua!Ladhaaa mama, ladha tofauti huzitaki?
Niko hapa mimiUje siku nikushike mkono twendee!!!
MmmhSizitaki mimi, ukimwi upo na unaua!
NdiwoooMmmh
Hahah short hukupiga ukiwa peku hivyo usipende kuchezea switch ukiwa peku!Tabia ya umeme hata mpita njia ukipita kizembe unaungwa gridi ya Taifa!..πππ
Population Agenda Like Ebola Outbreak Na Nk...UKIMWI hupo ila siku hizi hautishi sana kama Enzi zile. Hata taasisi za kupambana na UKIMWI siku hizi zimeutosa sio dili tena
Itakuwa Hujui Sky Eclat Ni Doctor By Professional?Au labda kuna utaratibu wa wizara ya afya kuunganisha taarifa za wagonjwa mtandaoni. Inawapa watu wa afya kuona details na takwimu za wagonjwa! Who knows
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Asante Sky Eclat kwa kutukumbusha, maana watu huwa tunajisahau!Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30βs miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi, sasa amebaki nyumbani mwenyewe na house boy.
Amepata boy friend yuko kwenye 40βs hivi, mama amenogewa na penzi. Baadae alikuja kugungua mpenzi alimpendea hela, kwani mama alikuwa na vitega uchumi vya kumwaga. Kuanzia nyumba za kupangisha na bed and breakfast.
Sasa mama ameshikwa na Homa kali ghafla, kwa taratibu za hospitali aliyofika wagonjwa wanapimwa kila kitu ili kurahisisha tiba. Mama amekutwa HIV+ akiwa 57yrs.
Ana haha jinsi ya kuwafahamisha wanae.
Unajua button zilivyo tamu bonyeza!!..Hahah short hukupiga ukiwa peku hivyo usipende kuchezea switch ukiwa peku!
Hahah ni kweli ile button tamu sana kuibofya bofya!Unajua button zilivyo tamu bonyeza!!..
Naomba picha ya hicho ki HIV nione kinafananaje.Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30βs miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi, sasa amebaki nyumbani mwenyewe na house boy.
Amepata boy friend yuko kwenye 40βs hivi, mama amenogewa na penzi. Baadae alikuja kugungua mpenzi alimpendea hela, kwani mama alikuwa na vitega uchumi vya kumwaga. Kuanzia nyumba za kupangisha na bed and breakfast.
Sasa mama ameshikwa na Homa kali ghafla, kwa taratibu za hospitali aliyofika wagonjwa wanapimwa kila kitu ili kurahisisha tiba. Mama amekutwa HIV+ akiwa 57yrs.
Ana haha jinsi ya kuwafahamisha wanae.
Na Mimi nakuja aiseeeee, Usikute kuna mgaoNjoo nikujibu pm.....
Mara paaap Mnakutana kwenye foleni ya ARV....yaani tutapukutika balaa.....takwimu zinatisha kwenye mahospitali.....kuanzia watoto mpaka watu wazee.....tukumbuke kuna watoto wanazaliwa nao......kibinti chuchu nhiiii haaaaa........ole wetu.....Mola tuepushe.......ukiuguza utaujua tuu...