Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,970
- 2,831
Kipande cha.....Mara paaap Mnakutana kwenye foleni ya ARV.... View attachment 1066293
You are strong than what you think...
Ndani ukakasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipande cha.....Mara paaap Mnakutana kwenye foleni ya ARV.... View attachment 1066293
You are strong than what you think...
Uzuri wa mkakasi... Ndani kipande cha mti
hahahahahahahhaaaaa......wajua macho yanapenda vitamu vitamu.....hebu ona sasa....Mara paaap Mnakutana kwenye foleni ya ARV.... View attachment 1066293
You are strong than what you think...
hahahahahahahhaaaaa......wajua macho yanapenda vitamu vitamu.....hebu ona sasa....
Duuuh[emoji848][emoji16]Mara paaap Mnakutana kwenye foleni ya ARV.... View attachment 1066293
You are strong than what you think...
Mpwa daaah! Nimeamka asee!!Mara paaap Mnakutana kwenye foleni ya ARV.... View attachment 1066293
You are strong than what you think...
Mpwa daaah! Nimeamka asee!!
Nimeamka mkuu[emoji23][emoji23]Hahahaah "umeamka"???
You are strong than what you think...
Dah, kwa Hali ya kawaida "kulala" tena inaweza kuchukua Muda KidogoNimeamka mkuu[emoji23][emoji23]
Asanteni BossUzuri wa mkakasi... Ndani kipande cha mti
You are strong than what you think...
KaribuNa Mimi nakuja aiseeeee, Usikute kuna mgao
You are strong than what you think...
we acha tuu......tuwe makini sana,,,, hebu nambie mtoto kama huyo hata mkeo akikufumania anaomba msamaha yeye.....hahahahahahaaaHahahaa macho Haya bhana very painful
You are strong than what you think...
Aache kuhaha.Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30’s miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi, sasa amebaki nyumbani mwenyewe na house boy.
Amepata boy friend yuko kwenye 40’s hivi, mama amenogewa na penzi. Baadae alikuja kugungua mpenzi alimpendea hela, kwani mama alikuwa na vitega uchumi vya kumwaga. Kuanzia nyumba za kupangisha na bed and breakfast.
Sasa mama ameshikwa na Homa kali ghafla, kwa taratibu za hospitali aliyofika wagonjwa wanapimwa kila kitu ili kurahisisha tiba. Mama amekutwa HIV+ akiwa 57yrs.
Ana haha jinsi ya kuwafahamisha wanae.
Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30’s miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi, sasa amebaki nyumbani mwenyewe na house boy.
Amepata boy friend yuko kwenye 40’s hivi, mama amenogewa na penzi. Baadae alikuja kugungua mpenzi alimpendea hela, kwani mama alikuwa na vitega uchumi vya kumwaga. Kuanzia nyumba za kupangisha na bed and breakfast.
Sasa mama ameshikwa na Homa kali ghafla, kwa taratibu za hospitali aliyofika wagonjwa wanapimwa kila kitu ili kurahisisha tiba. Mama amekutwa HIV+ akiwa 57yrs.
Ana haha jinsi ya kuwafahamisha wanae.
tumia kingaTubaki njia kuu,ukimwi utatumaliza
Unaniongelesha kiingereza ulinisomesha? ha ha haPopulation Agenda Like Ebola Outbreak Na Nk...
Ukiangalia kwa jicho la tatu when population grows exponentially and exceeds natural resources. HUMAN RACES WILL PERISH VERY FAST COMPARING TO THE RISKS THAT THOSE DISEASES CARRY ON.
Sent using Jamii Forums mobile app