Wahenga ninawakumbusha tu HIV ipo

Wahenga ninawakumbusha tu HIV ipo

Magonjwa yote yanaua ila ukimwi ni UNAUA! Halafu unajua nini, njia KUU ya maambukizi ni kukulana!
Lakini ukikulana na mmoja, ukawa mtulivu usiyetoa kwa mwingine, nae asitoe kwa mwingine basi mtafurahia hadi uzeeni.
 
Kuna mama aliifiwa na mumewe miaka takriban 20 iliyopita. Alikuwa kwenye 30’s miaka hiyo. Mume wake alimuacha na nyumba pamoja na pesa na mali za kutosha. Alisomesha watoto, alicheza harusi, sasa amebaki nyumbani mwenyewe na house boy.

Amepata boy friend yuko kwenye 40’s hivi, mama amenogewa na penzi. Baadae alikuja kugungua mpenzi alimpendea hela, kwani mama alikuwa na vitega uchumi vya kumwaga. Kuanzia nyumba za kupangisha na bed and breakfast.

Sasa mama ameshikwa na Homa kali ghafla, kwa taratibu za hospitali aliyofika wagonjwa wanapimwa kila kitu ili kurahisisha tiba. Mama amekutwa HIV+ akiwa 57yrs.

Ana haha jinsi ya kuwafahamisha wanae.
CHANGAMOTO HUJA ILI TUZIKABILI, IN LOVE INAHITAJI AKILI ZAIDI KUFANYA MAAMUZI KULIKO MOYO, MOYO HUTAKA NA HUCHUKIA LAKINI HAUAMUI, HAUSEMI WALA KUFIKIRI, POLE YAKE SANA AKAZE MOYO KONDE KTK HILO.
 
Ukimwi upo kwa kuwa Kinga ya mwili hudhoofidhwa na factor nyingi na sio HIV pekee.kifupi hakuna kitu kinachoitwa HIV duniani ,propaganda tu pia ni biashara za watu Kama biashara nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom