Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Ndo ukweli huo, ukimwi upo tena unaua!
Ndo ukweli huo, ukimwi upo tena unaua!
Mbona mada za UKIMWI zimeshamiri Sana?
Kukumbushana muhimu mkuuMbona mada za UKIMWI zimeshamiri Sana?
..ila papu tamu na hatuwezi kuiacha!![emoji125]Ukimwi upo na unaua!
Nadhani kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kwenye vile vituo vya kuchukua zile dawa! Hakika ni muhimu kukumbushana...Mbona mada za UKIMWI zimeshamiri Sana?
Wewe kula tuu ila jua ukimwi upo na unaua!..ila papu tamu na hatuwezi kuiacha!![emoji125]
Hahahaa acha zinoge tu maana vijana humu ndani wanaendekeza ngono SanaMbona mada za UKIMWI zimeshamiri Sana?
Hahahaah wameshaambukizana WA kutosha.... Humu ndani kumekua janga!Kuna kitu hakipo sawa HIV is on Trending Now.
Vizuri kukumbushana Anyways.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa utakumbuka KondomHatupendi muingie kwenye daktari la kitengo.
Niambie ni ugonjwa gani hauuwi?Wewe kula tuu ila jua ukimwi upo na unaua!
Kondom Hakuna kabisa aiseeeee! Nilizunguka mikoani huko ilikua kilio...
Dah! Jumatatu tulivu asee, hapo akili inahama utulivu zero!!
Nilifikiri maambukizi ya UKIMWI yamepungua nchini, au unaongelea JF?Nadhani kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kwenye vile vituo vya kuchukua zile dawa! Hakika ni muhimu kukumbushana...