Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Pamoja na akili zenu ila kwenye urais NO...
 
Na sisi wazanaki tumwagie hizo sifa. Tunastahili
Nyie ni pumbavu kabisa..........ona hata nyerere kashindwa kutengeneza mtoto president candidate........liko limebaki kuchamba tu sijui sababu ya kuzaliwa uzaramuni..........??kufa na suti mbili wakati leo hiii trafiki tu ana viwanja 20 na nyumba ndio usiseme..........huko chamani watu wanakaribia kuigawana tanganyika..........wameodhi maeneo mali viwanja mashamba miradi yote ya wizi na utapeli...........yeye kabakishwa kwenye majina tu ndio anakopata heshima ........pamoja na kumtupia ile noti ya kazi yeyote malipo unakutana nayo
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Nimesoma Uzi mmoja hivi majuzi unaosema IQ ya watanzania ni 75. Usisahau kwamba wahaya ni sehemu ya watanzania!! Sijajua unazungumzia wahaya wa wapi, ila kama unazungumzia hawa wa Tanzania yetu hii, basi hao tunawajua! WaTz tunacheza na IQ ya 75!!
 
Kiukweli kanda ya ziwa isingekuwepo hii nchi ingekuwa ya hovyo sana

You cant compare watu wa kusini na kanda ya ziwa

kama wakyurya,Wahaya,wajita,wakerewe, na wasukuma
 
Nyie mbona hatuoni kama mnajielewa? Sisi hatuwajui wala hatujwahi kuwakubali..Tumepigana uhuru wakati huo mnajiuza na kula wadudu wale senene..Hakuna kitu cha wahaya kinatumika hata hao senene huku ni uchafu ..

Naona unalia nyie hamna kitu 🤣🤣mkiongea tunaziba pua...Hapo tu ,hata kiswahili hamjui.
Umeona sasa 😂 kwanza kabisa mimi sio mhaya hata ninakotokea ni mbali sana na wahaya(unyakyusani).

Sikatai juhudi za Pwani katika kutafuta uhuru lakini hamkuwa peke yenu, wahehe,wanyamwezi na wangoni hao ni mfano wa wachache tu ambao sio wa Pwani.

Kukataa historia ya wahaya ni sawa na mzee Mohamed Said anavyojaribu kila siku kukosoa upotoshwaji wa uhusika wa uislam(waislam) katika mapambano ya uhuru!
 
Kiukweli kanda ya ziwa isingekuwepo hii nchi ingekuwa ya hovyo sana

You cant compare watu wa kusini na kanda ya ziwa

kama wakyurya,Wahaya,wajita,wakerewe, na wasukuma
Ingawa nawakubali wasukuma ila hapana hao upstairs ni sifuri bin sifuri 😂
 
Umeona sasa 😂 kwanza kabisa mimi sio mhaya hata ninakotokea ni mbali sana na wahaya(unyakyusani).

Sikatai juhudi za Pwani katika kutafuta uhuru lakini hamkuwa peke yenu, wahehe,wanyamwezi na wangoni hao ni mfano wa wachache tu ambao sio wa Pwani.

Kukataa historia ya wahaya ni sawa na mzee Mohamed Said anavyojaribu kila siku kukosoa upotoshwaji wa uhusika wa uislam(waislam) katika mapambano ya uhuru!
Sasa sisi usitufananishe na watu wa hovyo ambao hatuwajui wala hawana influence yoyote huku kwetu🤣🤣hakuna ambaye anawajua wahaya huku ,ukiwataja wanajua watu wa porini kama inabisha njoo.

Inshort ,hawana influence yoyote huku na hakuna kabila la bara linatamba huku 🤣🤣🤣...Hamna kitu kinatoka kwao tunachotumia ,mpaka ukienda dar wanajulikana kwa kujiuza basi .
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Wengi niliofanya nao deal either walinidhurumu au walitaka kunipunja wakati deal halina boss. Nadhani wengi wao ni wabinafsi
 
Kiukweli kanda ya ziwa isingekuwepo hii nchi ingekuwa ya hovyo sana

You cant compare watu wa kusini na kanda ya ziwa

kama wakyurya,Wahaya,wajita,wakerewe, na wasukuma
Kanda ya ziwa ukitoa Bukoba wakiobaki hamna kitu

Mkoloni mwenyewe huko usukumani hakuweka Shule za kutosha alijua hilo

Watu wanolalia ngozi mpaka Leo wanapewa baiskeli na kofia na tisheti wanashangilia .
 
Watu wenye akili wana historia ya kuwa na maandishi yao wenyewe.

Wahaya wana maandishi yao wenyewe?
 
Fatilia inawezekana unawasikia sikia
Hapana ndio uhalisia, kwa wingi wa wasukuma ilitakiwa angalau hata robo 3 ya wasomi hii Tz watoke kwao matokeo yake ndio moja kati ya makabila ambayo yameitelekeza elimu
 
Sasa sisi usitufananishe na watu wa hovyo ambao hatuwajui wala hawana influence yoyote huku kwetu🤣🤣hakuna ambaye anawajua wahaya huku ,ukiwataja wanajua watu wa porini kama inabisha njoo.

Inshort ,hawana influence yoyote huku na hakuna kabila la bara linatamba huku 🤣🤣🤣...Hamna kitu kinatoka kwao tunachotumia ,mpaka ukienda dar wanajulikana kwa kujiuza basi .
Si kweli mkuu ndizi na kahawa kwa wingi zinatoka kwao 😂 tena nyie mtu za Pwani na gahawa ni mtu na mjomba'ke
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Max ni mtu moja tu unaweza kuta ht asili yake siyo huko. Akili haitokani na kabila we jinga, we umefika Kagera? Watu wenye akili wawe maskini vile? Kagera kuna umaskini unaosabahishwa hasa na uvivu, wahaya ni wavivu sana. Vijijini nyumba zao ni duni sana. Ht hivyo sijui akili ipi unazungumzia.
 
Kanda ya ziwa ukitoa Bukoba wakiobaki hamna kitu

Mkoloni mwenyewe huko usukumani hakuweka Shule za kutosha alijua hilo

Watu wanolalia ngozi mpaka Leo wanapewa baiskeli na kofia na tisheti wanashangilia .
Acha sifa za kijinga kwamba hii nchi wanaleta maendeleo Wahaya tu. Kisa kukupamba kidogo tu ndo umevimba kichwa

Kwanza nyie Wahaya sifa yenu kubwa ni kugawa uroda yaani katerero
 
Mbona nchi haiundi ndege, magari, computers, simu nuclear boms nk. Unaipimaje akili we jamaa ? Mimi naona wachina wana akili sana kwa sababu vitu wanabuofanya vinaonekana na kutumiwa dunia nzima. Thibitisha hoja kwa mifano.
 
Back
Top Bottom