Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Kuhusu kuwa na akili hiyo ni subjective ila wana mbwe mbwe sana hicho ni kifurushi maalum wamepewa.
 
nenda kilimanjaro unakuta vile vizee vingi level yao ni form 4 ya mkoloni…na hapo unakuta boss alichezea kichapo na kazi akaacha…shule zikarudi kwa watoto..kilimanjaro ni balaa lingine..hata mission zimejaa kibao
 
😂 Asingejitokeza mchaga hii sredi ningeshangaa! Kuna mstari mwembamba sana kati ya mchaga na nshomile
 
Nenda huko Kyerwa ndio utajua wana akili au niaje, au hata Bukoba mjini. Kama akili haina impact kwenye maisha ya kawaida ni bure kabisa.
 
Wahaya wanapatikana
Bukoba mjini
Bukoba vijijini
Missenyi

Kyerwa ni wanyambo Mkuu sio wahaya hao

Nenda huko Kyerwa ndio utajua wana akili au niaje, au hata Bukoba mjini. Kama akili haina impact kwenye maisha ya kawaida ni bure kabisa.
 
Mkoloni hakuwa mjinga kujenga Shule Bukoba , .

Hawa jamaa wana IQ kubwa Sana .

Mfano huyu founder wa JF amenifanya niamini kuwa this tribe imebarikiwa Sana .

Leo hii bila JF ningekuwa situmii mitandao .
Enzi za uchawa zimeishaa
 
nenda kilimanjaro unakuta vile vizee vingi level yao ni form 4 ya mkoloni…na hapo unakuta boss alichezea kichapo na kazi akaacha…shule zikarudi kwa watoto..kilimanjaro ni balaa lingine..hata mission zimejaa kibao
Wachaga ni jamii ambayo inatakiwa Kila kabila liiige mfano wake
Hawana misifa ni kazi kazi tuh
 
nenda kilimanjaro unakuta vile vizee vingi level yao ni form 4 ya mkoloni…na hapo unakuta boss alichezea kichapo na kazi akaacha…shule zikarudi kwa watoto..kilimanjaro ni balaa lingine..hata mission zimejaa kibao
Kwahiyo form four unaiona ni Elimu kubwa ?
 
Back
Top Bottom