Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Kwahiyo kufaulu darasani ndo kipimo cha IQ ? Yaani unaweza kupima IQ ya MTU kupitia Elimu ya Tanzania ya kukariri what is colonialism ?
kwa hiyo unamaanisha IQ za wahaya ni za kufeli mitihani? kama kufaulu sio element mojawapo ya iq nzuri.
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Mi mmakonde ila kusini imetoa viongozi wa juu na wana ip kubwa ,naomba unitajie wahaya wa kuwazidi wamakonde kwenye uongozi.
 
NIKUSAIDI KITU, mojawapo ya sifa za mtu mwenye IQ kubwa ni hizi;

1. Having the ability to learn things quickly

2. Analytical reasoning, also known as analytical thinking, refers to the ability to look at information, be it qualitative or quantitative in nature, and discern patterns within the information.

3. Problem solving ability; Exceptional Problem-Solving Skills. High IQ directly correlates with advanced problem-solving abilities;People with high IQs tend to be flexible and adaptable. They can adjust to new situations quickly and apply their knowledge,

4. Curiosity. A boundless thirst for knowledge is the hallmark of a high IQ. They ask insightful questions, explore diverse topics, and constantly seek new information

5. Adaptability. High IQ individuals often display a strong capacity for concentration and self-discipline.

hizo nimekupa chacha sana, sasa tuambie, wahaya wanaofanya mtihani kila mwaka, wangapi huwa wanafaulu na wangapi huwa wanafeli, na unapojibu elewa kwamba unawajibu watu ambao wamesoma na wahaya, wanaishi na wahaya, na wameishi uhayani pamoja na kwamba wao sio wahaya. meaning, kuna wachaga wamezaliwa na kukulia Bukoba na muleba (manake mmewaondoa wanyambo kwamba hawana hiyo iq), kuna wasukuma na makabila mengine wamezaliwa na kuishi uhayani. pia kuna wahaya wamezaliwa na kukulia mikoa ya pwani au kusini.
 
Dactari wa kwanza Tanzania hii Anaitwa kyaruzi kama sijakosea
 
Back
Top Bottom