ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,727
- 127,680
Ila mazingira ni yaleyale tu mkuu!Wahaya wanapatikana
Bukoba mjini
Bukoba vijijini
Missenyi
Kyerwa ni wanyambo Mkuu sio wahaya hao
Ila mazingira ni yaleyale tu mkuu!Wahaya wanapatikana
Bukoba mjini
Bukoba vijijini
Missenyi
Kyerwa ni wanyambo Mkuu sio wahaya hao
Toa hadithi zako za sungura na fisi ,pwani pekee ndio tulikuwa na mifumo yetu na kujielewa kabla ya wakoloni.Hao hata kabla ya elimu ilishakuwa jamii iliyopevuka kiakili kuliko jamii nyingi za kiafrika, tangu miaka 2000 iliyopita hao wanafahamika kwa kufua vyuma
soma tena uelewe…hyo ni average…kwa wazee wengi…miaka ya 60..tayari walikuwa na gazzeti lao..Kwahiyo form four unaiona ni Elimu kubwa ?
umemaliza mkuu..Wachaga ni jamii ambayo inatakiwa Kila kabila liiige mfano wake
Hawana misifa ni kazi kazi tuh
Wenyeji wa pwani au waarab? Mbona hatuoni huko kujielewa kwa jamii za pwani kwasasa? Historia ya wahaya kwenye chuma ipo wazi, upeo wa wahaya upo wazi pia.Toa hadithi zako za sungura na fisi ,pwani pekee ndio tulikuwa na mifumo yetu na kujielewa kabla ya wakoloni.
Nyie mbona hatuoni kama mnajielewa? Sisi hatuwajui wala hatujwahi kuwakubali..Tumepigana uhuru wakati huo mnajiuza na kula wadudu wale senene..Hakuna kitu cha wahaya kinatumika hata hao senene huku ni uchafu ..Wenyeji wa pwani au waarab? Mbona hatuoni huko kujielewa kwa jamii za pwani kwasasa? Historia ya wahaya kwenye chuma ipo wazi, upeo wa wahaya upo wazi pia.
Hiyo Pwani labda kuwa watumwa arabuni na mabeki tatu wa waarab ila kujielewa haijawahi tokea.
Kwanini hawakujenga songea na iringa, mbona nako kunavutia!!?Kabila halihusiani na IQ. Lakini hali ya hewa ya Kagera, Mbeya na Kilimanjaro ziliwavutia sana wakoloni kuwekeza huko, na hivyo wakajenga shule nyingi, ndiyo maana watu wengi wa kanda hizo wamesoma sana.
Mji wao umedumaa mnoNenda huko Kyerwa ndio utajua wana akili au niaje, au hata Bukoba mjini. Kama akili haina impact kwenye maisha ya kawaida ni bure kabisa.
Fact sisi mkoa wetu isingekuwa mkazo wa Lowassa na shule za kata vijana wengi wangeishia kwenye ulevi wa mataputapu,Kabila halihusiani na IQ. Lakini hali ya hewa ya Kagera, Mbeya na Kilimanjaro ziliwavutia sana wakoloni kuwekeza huko, na hivyo wakajenga shule nyingi, ndiyo maana watu wengi wa kanda hizo wamesoma sana.
Wahaya wana akili sana Ila ni wabinafsi, hivyo Hawana faida yoyote kwenye jamii zetu za kitozonia.Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.
NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.
DNA factor, zina mchango wake.
UnauhakikaKabila halihusiani na IQ. Lakini hali ya hewa ya Kagera, Mbeya na Kilimanjaro ziliwavutia sana wakoloni kuwekeza huko, na hivyo wakajenga shule nyingi, ndiyo maana watu wengi wa kanda hizo wamesoma sana.
Mna sifa sana kenge nyie.Wahaya tuna IQ kubwa hilo halina ubishi..!🤸
Wote waliooa wanawake wa kihaya hawajawahi kujutia
Shule nyingi sana zilijengwa mkoa wa kilimanjaro kuliko mkoa wowote kipindi cha ukoloniMkoloni hakuwa mjinga kujenga Shule Bukoba , .
Hawa jamaa wana IQ kubwa Sana .
Mfano huyu founder wa JF amenifanya niamini kuwa this tribe imebarikiwa Sana .
Leo hii bila JF ningekuwa situmii mitandao .