wahaya naomba mnitafsirie hii....

wahaya naomba mnitafsirie hii....

sosoliso
Naona unapiga sana debe Bishanga hazungushi kwa Chama kidude chenyewe kidole cha mtoto tena kina govi katerero ataweza wapi? Mbona wafu nyie hamchoki kujipigia debe??

Tena we chama nilikuwa nakutafuta siku nyingi,ushawahi kuumwa na nge?
 
Last edited by a moderator:
Nimegundua baadhi ya maneno yanakosa tafisiri sahihi katika kiswahili,"alakushaba" ni tofauti na "alakushwera"
Okushwera ni kufanya mapenzi rasmi na okushaba ni yale yakuibiana tu,hii kwa mujibu wa ufahamu wangu katika lugha hii!
Mkuu Bishanga asante kwa chemsha bongo hii.

Kushaba = fornication
Kushwela = making love
Kuchuga = boom boom
Au unaonaje mwl frank?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom