sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
sosoliso tatizo unaongea sana anampa promo ya nguvu Bishanga kwasababu anakupa malazi unakulaza kwenye mkeka ukumbini kelele zimekuwa nyingi je angekupa kitanda ingekuwaje? Bishanga haniwezi mambo ya usweke Mamndenyi aliachana nayo kipindi nyie endeleeni na kuokoteza vidagaa!
Baba VNilikuwa nasema ukweli tu.. si unajua tena sisi wa TANU YOUTH LEAGUE
"Nitasema kweli daima, fitna kwangu mwiko"
nilikuwa nampa angalizo ndugu yangu chama...
Mmh.. Mi nashani ingelilikuwa hivi... Alakushaba alikubi omubona emijulile..... Inamaana kama mtu akikuomba kitu na akiwa na hamu nacho utamtambua tu atakavyoanza ukishampa... Ila hapo walibase kwenye kingono zaidi kuwa akiwa na hamu may be atavua speed sana ukishamkubalia.....
Baba V
Nakushangaa sana ulivyopoteza miiko na kujikita katika majungu yaani unataka kunivunjia nyumba yangu bila sababu hivi unajua mpaka sasa hivi niwekeza kiasi gani; yaani moyo wangu ukiupasua kabla ya kutoka damu litatoka jina Mamndenyi; najua unafanya juu chini kumpigia chapuo Bishanga hivi humuonei huruma? Kula yake mgogoro kweli ataweza kutunza kifaa kama Mamndenyi?
Mamndenyisosoliso usome haya maneno yakukae akilini,
chezea wana siasa weye,