Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,170
- 1,558
Tafadhali wadau naomba msaada kwenye maswali ya history kama vile maswali gani huwa ni lazima yaje, niandikeje essay ili iwe na mvuto.
Please guys help me.
Please guys help me.
form four(ordinary level) please cause mtihani upo kesho.Upo level gani? Ordinary ama Advance?
sasa we jamaa mi niko serious alafu unaleta utani? Mbona unazingua? Acha hizoRudisha simu ya mama yako haraka.
Muache mtoto 😁Rudisha simu ya mama yako haraka.
Form 4 hadi sasa hujafanikiwa kuona past papers? How is that possible 🤔form four(ordinary level) please cause mtihani upo kesho.
Huyo ana umri wa babu yako ujuesasa we jamaa mi niko serious alafu unaleta utani? Mbona unazingua? Acha hizo
HaelewiHuyo ana umri wa babu yako ujue
😀Muache mtoto 😁
Unategemea kwa majibu haya uelekezwe vizuri bro?sasa we jamaa mi niko serious alafu unaleta utani? Mbona unazingua? Acha hizo
huwa Kuna swali la kuchora ramani ya mfano ramani ya Afrika, Afrika ya mashariki n.kTafadhali wadau naomba msaada kwenye maswali ya history kama vile maswali gani huwa ni lazima yaje, niandikeje essay ili iwe na mvuto.
Please guys help me.
Maswali ya essay mengi yanatoka kwenye topic za form 3 na 4 , soma introduction of colonialism, colonial economy, nationalism nkform four(ordinary level) please cause mtihani upo kesho.
Vitoto vya buku 2.Form 4 hadi sasa hujafanikiwa kuona past papers? How is that possible 🤔
All the best..
Unategemea kwa majibu haya uelekezwe vizuri bro?
asante ila hayo siwezi kosa. Lingine please.Section B
huwa Kuna swali la kuchora ramani ya mfano ramani ya Afrika, Afrika ya mashariki n.k