wahaya naomba mnitafsirie hii....

wahaya naomba mnitafsirie hii....

Mamndenyi
Naona kijana wangu sosoliso kakimbia kijijini akidhania maisha mjini rahisi amepata hifadhi ya muda kwa Bishanga anajitahidi sana kujipendekeza kwa kumpa promo; vipi unaonaje tukimpa kibarua cha kuangalia bustani? uzoefu wa jembe anao!
chama ndugu yangu unaweza kushangaa Mamndenyi atakavyokubali fasta mie kupewa kibarua cha kuangalia bustani yenu.. Maana atakuwa na uhakika wa ya kuendelea kwa mawasiliano yake na Bishanga.. Aliimba Marijani Mwana wa Rajabu a.k.a Doza kwamba asiejua kupenda aombe Mungu ampitishie mbali.. Mamndenyi mahaba yanamtenda..
 
Last edited by a moderator:

sosoliso
kwa jinsi utakavyokuwa umepumzika sidhani kama utataka mawasiliano na Bishanga yaani akuchafulie pepo yako thubutu yake kwanza utataka hata huko kuonana naye? halafu lazima uelewe Chama ni mvuvi wa jodari bahari naijua wavuvi wa vidagaa kama Bishanga hawanishtui; Chama anajua Mamndenyi anataka nini na anajua wapi pa kugusa; hapa ndio kwa mtaalam mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom