Unajua watoto wake wengine wanaishi vipi?.. wapo mitaani, na wengine wana interact na marafiki kama kawaida. Acha kuexaggerate viytu visivyo na msingi kimaisha.
Familia ya rais ni lazima ipewe ulinzi fikilia kama kuna baya lolote likimpata member wa familia ya rais lazima rais ataathilika ktk utendaji wake wa kazi labda kama tulalamike mambo aliyotoka kufanya huko alikotoka lkn ulinzi ni lazima
Nao wahariri walikubali kuondoka? kama waliondoka na hawatofungua kesi ya anti-discrimination wanastahili kufukuzwa mahali popote ambapo kuna uwezekano wa Ridhiwani kupita.
With due respect,african leaders and their families,seem not to care about that. It makes me feel painful about the future of the continent. Everyday,somehow,somewhere, we are busy making future troubles. Oooh! IHivi huwa hawajui kwamba maisha yenyewe ya duniani ni mafupi mno??? Au wanadhani kwamba wakishapata madaraka basi wanakuwa immortal???
Ther's a lot of hate going on, usitake kujifanya kama hujui. Mkapa kafanya madudu mengi tu, yeye na mawaziri wake, ila chuki anayoonyeshwa kikwetew imezidi!
Mnatia aibu!!.... let it go! matusi anayomwagiwa mkewe na fanmilia yake huwezi kufananisha na marais waliopita. Hamjui usalama wamepelekewas death threats ngapi..... we dont know that.
Mmezidi ushabiki wa kipumbavu.
mkuu vyovyote vile lakini habari hii huwezi kumlaumu Ridhiwani...
mwenye hoteli alikuwa na mamlaka ya kukataa ugeni wa Ridhiwani na kutetea wateja wake wengine
tusikimbilie kulaumu watu tu.Kama yeye Ridhiwani yuko convinced anahitaji security
ya uhakika kwa maisha yake sisi wengine tunaweza vipi kusema hakuna haja ya hilo??????
wanaosema Ridhiwani ni nani ni wapumbavu, hata watoto wa Obama wanapewa security...
muhimu ni kuzingatia hiyo security iko vipi, cost zake,na ni vipi haitakuwa kero kwa wengine
kwa hili aliesababisha kero sio Ridhiwani ni wamiliki wa hoteli
| ||
|
Wana Jf
Baada ya kutoka Magu Ridhwani kikwete aliamua kuhama hoteli ya Golden Crest na Kuhamia Hoteli ya Malaika uamuzi huu umesababisha wanahabari waliokua wamefikia na kulipia Vyumba katika Hoteli hiyo kuambiwa watoke kwa ajili ya kulinda usalama wa Mtoto wa Rais.
Thanks kamandaMuda huu nimezungumza na Makunga amenieleza kwamba yeye bado yupo Malaika na rm no. 2xxx amenitajia yupo sasa ukweli ni nini!
mkuu bongo hakuna cut-off wala niniMarekani kuna cut-off age ambayo watoto wa raisi hulindwa kwa kutumia hela za walipa kodi. Huyo Ridhiwani analindwa na akina nani?
Mkuu, JK has very humble kids... Lakini unajua kwanini watu wanamchukia sana???Ther's a lot of hate going on, usitake kujifanya kama hujui. Mkapa kafanya madudu mengi tu, yeye na mawaziri wake, ila chuki anayoonyeshwa kikwetew imezidi!
Mnatia aibu!!.... let it go! matusi anayomwagiwa mkewe na fanmilia yake huwezi kufananisha na marais waliopita. Hamjui usalama wamepelekewas death threats ngapi..... we dont know that.
Mmezidi ushabiki wa kipumbavu.
Nao wahariri walikubali kuondoka?
Sasa uyo mtoto kikatiba tutamwita nani first Boy maana sioni provision katika katiba
Ila sishangai kwa utajiri alionao ana maadui wengi na pia anahisi kila mtu anamuwinda
mkuu kwani mwanza hotel ni malaika tu? Kama wamedhalilishwa si basi waende hotel nyingine. mambo ya kuhamishana mahotelini hapa nchini ni ya kawaida. Mbona mimi na wenzangu tulihamishwa juzijuzi tu huko Igunga ili viongozi wa chama fulani walale nami na wenzangu tukaenda lala nzega. Hatukupiga mayowe au kwa kuwa sisi si wahariri?Hata kama usalama hauko thabiti katika hotel hiyo, bado management ingeweza kuomba kuongezwa ulinzi hapo Malaika Hotel na hivyo huyo Ridhwan kulala hapo na hao Wahariri wakaendelea na shughuli zao kama wapangaji katika hotel hiyo bila ya kudhalilishwa.
Nao wahariri walikubali kuondoka? kama waliondoka na hawatofungua kesi ya anti-discrimination wanastahili kufukuzwa mahali popote ambapo kuna uwezekano wa Ridhiwani kupita.