Wahariri wa Vyombo Vya Habari wafukuzwa Malaika Hotel Mwanza?

Mkuu ofcourse kuna a lot of hatred..., why..?, Sababu matabaka yanazidi na watu wanaona maisha yao magumu, ufisadi unazidi.., worse still wanaona dogo anakula bhata...!!. Huenda waliopita walifanya madudu mengi ila huenda waliyanfanya incognito.., tofauti na huyu muheshimiwa ambae kuna kipindi anakwenda sehemu na escort na watu wanadai anaingilia shughuli za chama..

Sasa mkuu who is to blame hapo..??

Huyu dogo VoiceOfReason inafaa asome alama za nyakati, hapa Tanzania kuna uchaguzi kila baada ya miaka mitano, huyo baba yake hawezi kukaa pale milele kama Gaddafi na yaliyomkuta ameyaona mwenyewe!

Kama anataka usalama wake atulie akae vizuri na watu, alifanikiwa kumsimika Baba yake wakati ule sijui kama washare uprsident labda, lakini anayofanya watu wanarecord yatamtokea puani!
 
Huyu dogo VoiceOfReason inafaa asome alama za nyakati, hapa Tanzania kuna uchaguzi kila baada ya miaka mitano, huyo baba yake hawezi kukaa pale milele kama Gaddafi na yaliyomkuta ameyaona mwenyewe!!!!!!!!! Kama anataka usalama wake atulie akae vizuri na watu, alifanikiwa kumsimika Baba yake w akati ule sijui kama washare uprsident labda, lakini anayofanya watu wanarecord yatamtokea puani!!!!!!!!!!!!
Na kweli yatamtokea puani..Baba yake alijichanganya vizuri na watu.Ndiyo maana aliwaghilibu wengi[mi si mmoja wao]. Unapotaka kupendwa na watu,au kuwa public figure halafu unaendekeza kulindwa na askari,bouncer mara nini unacreate barrier kati yako na society..
 
Siyo lazima tu kwasababu ilikuwa wahariri/waadishi ndo tubebe bango.

Hata kama ingekuwa ni wananchi wa kawaida bado huo ni upuuzi tu.

Pia kama wangekuwa na busara,wangewaomba labda na kuwafidia etc.

Ila kibabe babe waliharibu.
 
Hii hatari sana yani mtoto wa Raisi anakua kana ndio Raisi mwenyewe,da wewe ngoja tutawatia adabu muda ukifika

Ulevi wa madaraka huu, tunatawaliwa na familia nzima kama Gaddafi alivyofanya Libya. Pamoja na walibya kupewa karibu kila kitu na Gaddafi lakini kilicho mgharimu ni kuwafanya watoto wake ni sehemu ya urais, matokeo yake ni nguvu ya umma ikamtoa madarakani na duniani.

Nasisi wabongo tunavuta pumzi tunasubiri kiongozi wa kutuamrisha tumtoe mkoloni mweusi.
 
Back
Top Bottom