Wahariri wa Vyombo Vya Habari wafukuzwa Malaika Hotel Mwanza?

Unajua watoto wake wengine wanaishi vipi?.. wapo mitaani, na wengine wana interact na marafiki kama kawaida. Acha kuexaggerate viytu visivyo na msingi kimaisha.

Mkuu hapa issue sio kulindwa (hata angetaka akodishe ma-bodyguard kutoka Russia na Albania..) no body cares so long as anatumia his personal cash na sio taxpayers...

Issue hapa ni kukuta watu wamekaa kwenye hotel na wanafukuzwa ili kumpisha yeye.., na hili sio kosa lake tu (bali hotel management ya malaika), pia inabidi wanaomshauri huyu jamaa wamshauri vizuri sababu hii ina-backfire big time hususan kwa sasa watu wanavyoona kwamba kuna matabaka ya wao na sisi
 
Familia ya rais ni lazima ipewe ulinzi fikilia kama kuna baya lolote likimpata member wa familia ya rais lazima rais ataathilika ktk utendaji wake wa kazi labda kama tulalamike mambo aliyotoka kufanya huko alikotoka lkn ulinzi ni lazima

HUnazungumzia RAIS Huyu huyu? Utendaji upi unazungumzia? kwamba safari za nje zitapungua! Hivi kwa sasa kaathiriwa na nini: Mfumuko wa Bei 17% thamani ya shilingi Hoi, ukusanyaji mapato chali! uporaji wa ardhi ya wanyonge unaendelea, n.k.
 
Hapa hao wahariri hawawezi kukwepa lawama, kwa nini walikubali kuhama?
 
Hivi huwa hawajui kwamba maisha yenyewe ya duniani ni mafupi mno??? Au wanadhani kwamba wakishapata madaraka basi wanakuwa immortal???
With due respect,african leaders and their families,seem not to care about that. It makes me feel painful about the future of the continent. Everyday,somehow,somewhere, we are busy making future troubles. Oooh! I
 
Ther's a lot of hate going on, usitake kujifanya kama hujui. Mkapa kafanya madudu mengi tu, yeye na mawaziri wake, ila chuki anayoonyeshwa kikwetew imezidi!
Mnatia aibu!!.... let it go! matusi anayomwagiwa mkewe na fanmilia yake huwezi kufananisha na marais waliopita. Hamjui usalama wamepelekewas death threats ngapi..... we dont know that.
Mmezidi ushabiki wa kipumbavu.

Mkuu ofcourse kuna a lot of hatred..., why..?, Sababu matabaka yanazidi na watu wanaona maisha yao magumu, ufisadi unazidi.., worse still wanaona dogo anakula bhata...!!. Huenda waliopita walifanya madudu mengi ila huenda waliyanfanya incognito.., tofauti na huyu muheshimiwa ambae kuna kipindi anakwenda sehemu na escort na watu wanadai anaingilia shughuli za chama..

Sasa mkuu who is to blame hapo..??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mkuu vyovyote vile lakini habari hii huwezi kumlaumu Ridhiwani...
mwenye hoteli alikuwa na mamlaka ya kukataa ugeni wa Ridhiwani na kutetea wateja wake wengine
tusikimbilie kulaumu watu tu.Kama yeye Ridhiwani yuko convinced anahitaji security
ya uhakika kwa maisha yake sisi wengine tunaweza vipi kusema hakuna haja ya hilo??????

wanaosema Ridhiwani ni nani ni wapumbavu, hata watoto wa Obama wanapewa security...
muhimu ni kuzingatia hiyo security iko vipi, cost zake,na ni vipi haitakuwa kero kwa wengine
kwa hili aliesababisha kero sio Ridhiwani ni wamiliki wa hoteli

Marekani kuna cut-off age ambayo watoto wa raisi hulindwa kwa kutumia hela za walipa kodi. Huyo Ridhiwani analindwa na akina nani?
 
Watoto wa vigogo wasivuruge nchi - UVCCM


na Grace Macha, Arusha
Tanzania Daima




WATOTO wa viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi na serikali wanaotumia nafasi za wazazi wao kuingilia utendaji ndani ya chama hicho na serikali, wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo ama sivyo watashughulikiwa.

Onyo hilo limetolewa jana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Arusha, James Millya alipoongea na waandishi wa habari kwenye hoteli ya kitalii ya Equator na kusema kuwa tabia ya baadhi ya watoto wa viongozi hao ni ya hatari kwa usalama wa taifa.

"Naomba kurudia kwa msisitizo mkubwa kuonya watoto wa vigogo wenye tabia za kuingilia mambo ya UV CCM na uendeshaji wa nchi kwa ujumla na kamwe hatutaruhusu, hatutavumilia wala kuwa na nidhamu ya woga wakitumia mamlaka tuliyowapa wazazi wao ili kuvuruga jumuiya au nchi yetu," alisisitiza.

Alidai kuwa kuitwa kwake na kuhojiwa na polisi ni shinikizo la baadhi ya watoto wa vigogo hao na kamwe hataogopa kusema ukweli hata kama itamlazimu kufa.

Aliongeza kuwa tangu kuanza kwa mgogoro huo, amekuwa akitishiwa kuuawa kupitia ujumbe mfupi wa maneno (sms) na kuwa tayari ameshatoa taarifa polisi juu ya vitisho hivyo na kuomba wananchi wamuombee ingawa alidai kuwa yuko tayari kufa kwa kupigania haki.

Millya alisema kuwa haki hufuatana na wajibu lakini amani huletwa na haki hivyo akawataka viongozi kutotumia mamlaka kunyima watu haki zao kwani kufanya hivyo kutahatarisha amani na utulivu hapa nchini.

Alisema kuwa alipotetea msimamo wa Baraza la Vijana la Mkoa wa Arusha katika vikao, aliitwa na kamati ya maadili na viongozi wa kitaifa, lakini akashangaa ukimya wa CCM dhidi ya vijana waliomtukana Waziri Mkuu aliyejiuzulu , Edward Lowassa, na viongozi wengine wa CCM bila kuchukua hatua hadi sasa.

"Ni mara ngapi majina yanatamkwa kwenye majukwaa na polisi hawahangaiki kuitisha vyombo vya habari au kuwatafuta wale waliowataja lakini kwa sababu mimi ambaye inawezekana nimeshawekewa "red Colour" kwenye " System" basi inabidi nifuatwe na kuhangaishwa kwa makusudi eti kwa sababu nimetaja jina la mtoto wa kigogo," alisema Millya.

Millya aliitaja baadhi ya mipango inayofanywa ndani ya CCM na Serikali kuhakikisha urais wa 2015 unaenda kwa huyo anayejulikana na rais kama ambavyo vijana wa Pwani walisema na hakuna aliyekanusha.
Alisema kuwa kwa sasa jamii inasukumwa kuamini kwamba kundi fulani la watu ndilo baya na vyeo walivyonavyo ndani ya CCM vya ujumbe wa NEC na Kamati Kuu ndivyo vinawasababishia wananchi kuwa maskini jambo alilosema kuwa si sahihi.


h.sep3.gif


 
Wana Jf

Baada ya kutoka Magu Ridhwani kikwete aliamua kuhama hoteli ya Golden Crest na Kuhamia Hoteli ya Malaika uamuzi huu umesababisha wanahabari waliokua wamefikia na kulipia Vyumba katika Hoteli hiyo kuambiwa watoke kwa ajili ya kulinda usalama wa Mtoto wa Rais.

Warushe ngumi waache ujinga. Mtashikishwa ukuta mpaka lini?
 
Marekani kuna cut-off age ambayo watoto wa raisi hulindwa kwa kutumia hela za walipa kodi. Huyo Ridhiwani analindwa na akina nani?
mkuu bongo hakuna cut-off wala nini

usishangae jitu zee kama kingunge linapanga foleni kuchomwa kinga ya ndui!!!!!!!!!

Tuna matatizo aisee
 
Ther's a lot of hate going on, usitake kujifanya kama hujui. Mkapa kafanya madudu mengi tu, yeye na mawaziri wake, ila chuki anayoonyeshwa kikwetew imezidi!
Mnatia aibu!!.... let it go! matusi anayomwagiwa mkewe na fanmilia yake huwezi kufananisha na marais waliopita. Hamjui usalama wamepelekewas death threats ngapi..... we dont know that.
Mmezidi ushabiki wa kipumbavu.
Mkuu, JK has very humble kids... Lakini unajua kwanini watu wanamchukia sana???

Have you ever thought why him and not someone else??? its because there is a thin line between love and hate.... many loved him alot but he betrayed then, and sided where money is!!!!

JUST THINK ABOUT IT.... ITS A THIN LINE BETWEEN LOVE AND HATE
 
Nao wahariri walikubali kuondoka?

nini cha ajabu hapo mkuu?

si ndo wahariri hawahawa waliambiwaga na 'mmiliki wa dowans' wasimpige picha na hawakupiga kweli?!

si ndo wahariri hawahawa juzi waliitwa monduli na 'muasisi wa richmonduli' akaishia kuwapa majibu ya 'hilo nitalizungumzia wakati ukifika' kwa kila swali walilomuuliza?!
 
Kukua kwa USULTANI na kulamba miguu nchini vinatokana na watanzania kuendelea kulala usingizi fofofo huku wakitegemea kuamshwa kimiujiza.
 
Sasa uyo mtoto kikatiba tutamwita nani first Boy maana sioni provision katika katiba
Ila sishangai kwa utajiri alionao ana maadui wengi na pia anahisi kila mtu anamuwinda


First Son, ndivyo waliovyokuwa wanapendelea kuitwa saaif al islamu wa khadaffi na gamal wa mubaraka mbao tabia za huyu wa kwetu zinaelekea huko.
 
Mimi sina ugomvi na ulinzi wa Riz kwani kwa mtoto wa raisi hlo ni muhmu,ila nimechukia sana tena sana watu kufukuzwa hotel waliyofikia na kulipia tena siku 3kabla halafu wanatupiwa virago ghafla kisaRiz,kwan kuja kwake mwanza il kuwa ni suprise? Kama sivyo na walijua atakwenda huko kwa nin wakawakubalia watu wengine? Agrrrrrrgggyy.
 
Hata kama usalama hauko thabiti katika hotel hiyo, bado management ingeweza kuomba kuongezwa ulinzi hapo Malaika Hotel na hivyo huyo Ridhwan kulala hapo na hao Wahariri wakaendelea na shughuli zao kama wapangaji katika hotel hiyo bila ya kudhalilishwa.
mkuu kwani mwanza hotel ni malaika tu? Kama wamedhalilishwa si basi waende hotel nyingine. mambo ya kuhamishana mahotelini hapa nchini ni ya kawaida. Mbona mimi na wenzangu tulihamishwa juzijuzi tu huko Igunga ili viongozi wa chama fulani walale nami na wenzangu tukaenda lala nzega. Hatukupiga mayowe au kwa kuwa sisi si wahariri?
 
Inadaiwa kuwa vyombo vya habari ni mhimili wa nne katika mihimili ya dola!!!!!!!! kama kweli ni wapambanaji basi watumie kalamu yao kupambana na ufisadi huu. ajabu watauchuna km maji
 
Back
Top Bottom