Wahariri kuipigia makofi hotuba ya Lowassa

Wadau,nimeshangazwa na wahariri waliohudhuria mkutano wa Lowasa kupiga makofi kushangilia alichokua anakisema ENL...hapa sio bure.

wewe unadhani rais mstaafu mkapa alipowatukana pale uwanja wa ndege miaka kadhaa iliyopita kuwa waandishi wa habari ( wahariri wakiwemo ) wa tanzania ni " stupid " alikosea? kwa mfano kati ya waandishi let say 10,000 nchi nzima wenye uwezo na ueledi wa kweli wa kazi yao hawazidi 7 na waliobaki ni mapoyoyo watupu. kwa mfano kanuni moja tu kuu ya mwandishi wa habari yoyote ni kuwa objective / neutral sasa kwa kitendo cha hao wahariri kupiga makofi hotuba ya lowassa unadhani kuna nini tena hapo? kama tiketi ya ndege mmelipiwa, hotel mnayoishi mmepangishiwa, gari inayowapelekeni ktk press conference hiyo ni ya huyo msaka urais, posho zenu mkiwa huko anagharamia yeye na pengine hata msaada wa kutoa mahari au posa za waandishi bado pia anatoa yeye unategemea asilambwe miguu? rais mstaafu wa awamu ya tatu alipowatukana hivyo sikumwelewa ila kwa jinsi waandishi wa habari na wahariri wanavyofanya sasa hata mimi naungana na mkapa kwa 100% zote
 
Haya ndiyo maswali ambayo wahariri wetu walimuuliza Lowassa jana mjini Dodoma.

1.Mara nyingi nimekuwa nikisikia watu wanakuita Edward,na wewe unawanyamazia tu,huoni ni kama vile hawakupi heshima?

2.Huko mtaani kuna maneno mengi sana yanasemwa juu yako,mengi ya kukuchafua na mengine ya hovyohovyo,kwa nini umekaa kimya?

3.Kwa kipindi cha miezi kumi na mbili ,wewe na wenzako mlikuwa kifungoni,juzi chama chako kilitangaza kuwa adhabu yenu imekwisha,hebu tueleze nini sababu kuingia kifungo hicho?

4.Suala la afya yako limekuwa ni ajenda kubwa huko mtaani,leo tuko hapa,hebu tueleze kama inavyosemwa ni tofauti.

5.Nataka kujua chanzo cha wewe kutoka serikalini,ilikuwa ni nini?hivi ni kweli ulihusika kwenye sakata la Richmond au lilikuwa zengwe la
kisiasa?

6.Umewahi kunukuliwa mara nyingi ukisisitiza kuhusu elimu kwanza,tofauti na kauli mbiu ya serikali yan kilimom kwanza,huoni kama unapingana na mipango ya serikali?

7.Umekuwa ukilitazama tatizo la ukosefu wa ajira kama bomu linalosubiri kuripuka,pili umekuwa ukiitwa majina mabaya mara mwizi mara fisadi,lakini sasa hali ni tofauti,naona kama vile nyota yako inang'aa,siri ya jambo hili ni nini?.

8.Huko nyuma wewe na raisi Kikwete mliitwa Boys ii men,na wakati mwingine ulisema wewe na JK hamjakutana barabarani,hebu tueleze urafiki wenu ukoje?

9.Ipo dhana wewe kuwa ni tajiri sana na umejirimbikizia mali na wengine wanasema hilo linaweza kuwa kikwazo katika safari yako ya matumaini,nataka kujua chanzo cha utajiri wako.

10.Nini mtazamo wako kuhusu serikali ijayo,unafikiri serikali ya awamu ya tano inatakiwa ijielekeze kwenye ipaumbele gani?pili katika suala la uchumi unalitazama vipi suala la dola kuporomoka,pia unatoa tahadhari gani kwa ccm katika kuelekea uchaguzi mkuu?

11.Katika mchakato huu wa uraisi,ikiwa hutateuliwa na chama chako,nini plan B yako?

12.Ipo dhana kuwa wewe ni mtu wa visasi na inasemwa kuwa ukiingia madarakani utalipiza visasi kwa wabaya wako,unalizungumziaje hili?

13.Mtandao ulionao hauna tofauti na ule uliomuingiza Kikwete madarakani,seikali ya awamu ya tano itakuwa na tofauti gani na serikali ya
awamu ya nne?

My take,
Maswali ya kitoto sana,kuna mawili tu ambayo angalau yanahadhi ya mwanahabari aliyeiva.

Mengne utumbo tu
 
Watadhubutu kumuuliza maswali magumu..wataja dundwa...
 
Ungetusaidia kama ungeweka na maswali mbadala zaidi ya kusema wamepotoka bila kufanya uchambuzi wowote. Anyway ngoja tusubiri maswali atakayoulizwa yule jamaa wa Mtama
 
kama ni utumbo,tupe version ya maswali yako magumu...by the way,why should we believe what you have written is the reality?

Hivi swali kama hili unaweza kusubiri jibu?
5.Nataka kujua chanzo cha wewe
kutoka serikalini,ilikuwa ni nini?
hivi
ni kweli ulihusika kwenye sakata la
Richmond au lilikuwa zengwe la
kisiasa?
 
Waandishi wengi wa habari hawana weledi na maarifa ya kutosha kuhusiana na masuala ya tasnia yao. Na ilipaswa kwenda mbele zaidi kwa kuwatumia waandishi wa habari waliojikita katika vitivo mbalimbali katika shughuli za mwanadamu. Mfano afya, siasa, michezo, burudani ajabu leo hii mpiga picha anaenda kumuhoji kiongozi wa juu serikalini au mwanasiasa
 
kumbe ndio maana tunakuwa na wahariri wanaoshindwa kutea wana habari wao ambao hukaa zaidi ya miezi mitatu bila malipo kumbe huwa wanawekwa mfukoni na wenye nazo
 
Haya ndiyo maswali ambayo wahariri wetu walimuuliza Lowassa jana mjini Dodoma.

1.Mara nyingi nimekuwa nikisikia watu wanakuita Edward,na wewe unawanyamazia tu,huoni ni kama vile hawakupi heshima?

2.Huko mtaani kuna maneno mengi sana yanasemwa juu yako,mengi ya kukuchafua na mengine ya hovyohovyo,kwa nini umekaa kimya?

3.Kwa kipindi cha miezi kumi na mbili ,wewe na wenzako mlikuwa kifungoni,juzi chama chako kilitangaza kuwa adhabu yenu imekwisha,hebu tueleze nini sababu kuingia kifungo hicho?

4.Suala la afya yako limekuwa ni ajenda kubwa huko mtaani,leo tuko hapa,hebu tueleze kama inavyosemwa ni tofauti.

5.Nataka kujua chanzo cha wewe kutoka serikalini,ilikuwa ni nini?hivi ni kweli ulihusika kwenye sakata la Richmond au lilikuwa zengwe la
kisiasa?

6.Umewahi kunukuliwa mara nyingi ukisisitiza kuhusu elimu kwanza,tofauti na kauli mbiu ya serikali yan kilimom kwanza,huoni kama unapingana na mipango ya serikali?

7.Umekuwa ukilitazama tatizo la ukosefu wa ajira kama bomu linalosubiri kuripuka,pili umekuwa ukiitwa majina mabaya mara mwizi mara fisadi,lakini sasa hali ni tofauti,naona kama vile nyota yako inang'aa,siri ya jambo hili ni nini?.

8.Huko nyuma wewe na raisi Kikwete mliitwa Boys ii men,na wakati mwingine ulisema wewe na JK hamjakutana barabarani,hebu tueleze urafiki wenu ukoje?

9.Ipo dhana wewe kuwa ni tajiri sana na umejirimbikizia mali na wengine wanasema hilo linaweza kuwa kikwazo katika safari yako ya matumaini,nataka kujua chanzo cha utajiri wako.

10.Nini mtazamo wako kuhusu serikali ijayo,unafikiri serikali ya awamu ya tano inatakiwa ijielekeze kwenye ipaumbele gani?pili katika suala la uchumi unalitazama vipi suala la dola kuporomoka,pia unatoa tahadhari gani kwa ccm katika kuelekea uchaguzi mkuu?

11.Katika mchakato huu wa uraisi,ikiwa hutateuliwa na chama chako,nini plan B yako?

12.Ipo dhana kuwa wewe ni mtu wa visasi na inasemwa kuwa ukiingia madarakani utalipiza visasi kwa wabaya wako,unalizungumziaje hili?

13.Mtandao ulionao hauna tofauti na ule uliomuingiza Kikwete madarakani,seikali ya awamu ya tano itakuwa na tofauti gani na serikali ya
awamu ya nne?

My take,
Maswali ya kitoto sana,kuna mawili tu ambayo angalau yanahadhi ya mwanahabari aliyeiva.

Mengne utumbo tu
maswali ya kijinga kwa watu wajinga
 
Lowassa simply he was interviewing by his own mouth!!maswali yalitungwa na yeye mwenyewe akawapa hao mburulas wamuulize that was the ploy
 
Wewe ndo utumbo tena wa bata aliyemeza konokono
 
Back
Top Bottom