Wahariri kuipigia makofi hotuba ya Lowassa

Wahariri kuipigia makofi hotuba ya Lowassa

chezeA hela jamaa kawatoa dar mpaka dom na mwisho wa mwezi atakuwa nao arusha
 
sina hakika kama ni wahariri ndio waliokuwa wakipiga makofi. Inawezekana kulikuwa na waalikwa (wapambe) wengine But as an after thought mnazikumbuka enzi zile za mwalimu pale Kilimanjaro hoteli?
 
Wadau,nimeshangazwa na wahariri waliohudhuria mkutano wa Lowasa kupiga makofi kushangilia alichokua anakisema ENL...hapa sio bure.
una uhakika wote wale walikuwa ni wahariri? wakati kuna watu wengi walikuwa wamevaa kofia za ccm?!!
 
Wapuuzi tulitegemea wamuulize kama ataingia madarakani sheria kandamizi walizotunga ccm atazifuta au kuanzisha mchakato was kuzifuta baada ya siku ngapi kuingia madarakani
 
Njaa Mbaya sana, naona wahariri wanajaribu kutibu njaa zao kupitia mapesa ya kifisadi toka kwa Lowasa
 
Wadau,nimeshangazwa na wahariri waliohudhuria mkutano wa Lowasa kupiga makofi kushangilia alichokua anakisema ENL...hapa sio bure.

Wahariri wa kununuliwa kama makundi mengine yaliyonunuliwa ili yaonekane yameenda kumwomba agombee urais. Mambo ya kampeni hayo!
 
Wapuuzi tulitegemea wamuulize kama ataingia madarakani sheria kandamizi walizotunga ccm atazifuta au kuanzisha mchakato was kuzifuta baada ya siku ngapi kuingia madarakani

Hana jingine akingia madarakani zaidi ya kupiga dili ikulu?
 
Uandishi Pasipo Elimu (UPE)
waandishi wote wamehongwa kumpigia kampeni fisadi Lowassa
 
Ndio maana tunamaliza muda humu JF...kuna wahariri Tz kwani...njaa tupu
 
Wapuuzi tulitegemea wamuulize kama ataingia madarakani sheria kandamizi walizotunga ccm atazifuta au kuanzisha mchakato was kuzifuta baada ya siku ngapi kuingia madarakani

Ukishakuwa na baasha utakumbuka maswali????? magazeti yamebaki kuwa ya matangazo tu....hakuna habari
 
Back
Top Bottom