Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 93
Ningependa kujua kama kuna waTanzania wowote, nyumbani au nje ya Tanzania wanaotumia CAD packages kama za ProE, Solidworks etc.
Je, mnatumia hizo package katika shughuli gani?
Je, zinakusaidia vipi kufanikisha kazi zako?
Ungependa kuweza kufanya nini na hizo package?
Aina gani ya mafaili unapata? e.g IGES, STEP etc etc.
Nitashukuru sana nikiweza kupata haya majibu. Sanasana nikisikia kutoka kwa wale walio Tanzania au East Africa, nitashukuru sana. Lakini popote pale ulipo, nitafurahi kusikia kutoka kwako.