Wahandisi wa Kitanzania Popote Mlipo

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,078
93
Ningependa kujua kama kuna waTanzania wowote, nyumbani au nje ya Tanzania wanaotumia CAD packages kama za ProE, Solidworks etc.

Je, mnatumia hizo package katika shughuli gani?
Je, zinakusaidia vipi kufanikisha kazi zako?
Ungependa kuweza kufanya nini na hizo package?
Aina gani ya mafaili unapata? e.g IGES, STEP etc etc.

Nitashukuru sana nikiweza kupata haya majibu. Sanasana nikisikia kutoka kwa wale walio Tanzania au East Africa, nitashukuru sana. Lakini popote pale ulipo, nitafurahi kusikia kutoka kwako.
 
maswali muhimu sana haya ...kwenye mkutano na mainvestors tuliambiwa kuwa Construction is one of the fastest growing industries Tanzania

Mwenye info amfahamishe mwenzetu
 
Ningependa kujua kama kuna waTanzania wowote, nyumbani au nje ya Tanzania wanaotumia CAD packages kama za ProE, Solidworks etc.

Je, mnatumia hizo package katika shughuli gani?
Je, zinakusaidia vipi kufanikisha kazi zako?
Ungependa kuweza kufanya nini na hizo package?
Aina gani ya mafaili unapata? e.g IGES, STEP etc etc.

Nitashukuru sana nikiweza kupata haya majibu. Sanasana nikisikia kutoka kwa wale walio Tanzania au East Africa, nitashukuru sana. Lakini popote pale ulipo, nitafurahi kusikia kutoka kwako.

Hapa Bongo the last time i used those CAD packages (ProE, Solidworks) was when i was in collegge pale UDSM! Mara nyingi wahandisi Bongo wanatumia sana AutoCAD.

Kama utahitaji details kuhusiana na autoCAD just let me know cos at least nimeitumia kwa muda kidogo na bado naitumia ktk shudhuli zangu.

Mkuu fundi mchundo > duh umenikumbusha mbali sana mambo ya sliding rule! inabidi tubanane tu kwenye siasa inaonekana ufundi haulipi bongo....

Engineer Mohammed yuko wapi? Aje hapa amjibu Nzakanhliyu
 
Asante dmussa,
Poa, nadhani hata AutoCAD poa kama una-export katika DXF format. Hata kama hizo package zingine ProE, Solidwk, Catia etc hazitumiki, hamna tatizo, information ninayohitaji ni end-product unaitumia kufanya nini?

Cha muhimu ni huyo mhandisi malengo yake nini akitumia hizi package.
Ukishatengeneza/design product yako, then what? Inakwenda kwa nani? Kwa nia gani?

Ningependa kujua, as much as possible what the targeted market is. Na kwasababu umesoma UDSM, basi lazima utajua zinatumika wapi. Hata kama hayo malengo hayafikiwi.
 
Nzoka....., heshima mbele Mkuu na wakuu wengine....Maswali yako ni muhimu sana lakini nadhani unegeweka upeo zaidi:
1. Unaagalia kujifunza ili kufanyia kazi?
2. Unataka kuingiza na kufanyia biashara/kuuza?
3. Unataka kufanyia kazi hapa nyumbani au vipi??

Generally hapa nyumbani wahandisi wanatumia package depending on their usage. Mfano:
1. Architects wengi wapo kwenye plain DRAFTING Packages (kama AutoCAD, Microstation and ArchCAD) - Hii nadhani ni urahisi kwenye interface with packages such as 3D Studio Maxi, Adobe etc.... Wao wanatumia zaidi .DXF, .DGN......

2. Roads Engineers wengi wapo kwenye Design packages (kama InRoads along with all platforms, pia kuna mePADS, Rubicon)... Hizi zaidi ni pavement designing tools ambazo pia zinaassist kwenye kupata alignments/materials quantities (InRoads) at the same time unapata michoro nadhifu...... Hizi output can be in .DXF, .DGN, au plain exel in ASCII files which can be generated to certain drawings accordingly!

3. Kwa wale wa Structures wengi nimeona wanatumia package kama STAAD3.... Hii nimeona kuwa inatoa very good structural drawings ambazo format yake ni compatible with many drafting tools as you can get a structural drawing in .DXF and then render out to provide architectural design on any compatible platform

4. Kuna wale jamaa wa mabomba na other underground services wao nimekuta wanatumia some packages (most of them under AutoDesk kama pipelay, pia kuna archpipe, chevy pipe etc)....

5. Mwisho kuna hawa wenzetu wanaofanya town planning and GIS... wao wanatuimia MapInfo, ArcGIS etc.... Hawa ni kwa ajili ya zile images za satelite mambo ya digitizing and updating especially in town planning etc!!

Nzoka.... nimejaribu kukuwekea kile amabocho ninafahamu... Swala ni kama nilivyouliza mwanzoni, hapa mjini inategemea ni nini unahitaki kufanya kama ni biashara au kusoma ili uitumie.... Kuhusu output file format bahati nzuri au mbaya siku hizi naona kuna so many packages that most producers wameweka a certain interface system (by add on in the package or something) to ensure data transfer wih other products!!! Pia kuna in-house packages ambazo ni upgrade of existing packages done within a certain firm to allow more functions depending on needs!!

Naomba kuwakilisha!!
 
Nzoka..., regarding the other issues ni kama ifuatavyo:1
1. Architects siku hizi wanatoa a complete package iliyo kwenye Adobe ambapo unapata picha halisi ya final product including colors selection. Pia wana ile kitu ya 3d Studio Max amabpo unapata hata walk in tour ya nyumba yako for decission making - so hawa target yao ni real estate clients to get!!

2. Road Engineers kama kawaida wao wengi ni consultants na hutumia michoro yenye details za pavement and materials including quantities - hapa sihitaji kusema target group sababu ni serikali, TANROADS nk

3. Watu wa GIS naona wao kazi yao ipo a bit slow sababu town planning hapa nymbani ni a bit slow.... Lakini karibuni wamekuwa wanapata kazi kutoka kwa consultants wa barabara through surveying firms sababu town planners and surveyors hawako mbali sana especially kwenye new road projects and new towns developments

Sijui kama nipo on track based on your maswali...... nimejitahidi kuweka some few cents!!!
 
Morani,

Najaribu kufahamu vitu gani tunatengeneza Tanzania, maana najua vitu kama machinery sisi ni wanunuzi.

Asante sana kwa input yako. Nina interest ya end-product ili nitengeneze common ground halafu nilete teknolojia mpya itakayo fanya u-improve end-product yako. So hapa naangalia 3D products.

Kitu relevant sana hapo ulichosema ni Architecture. Hiyo 3DstudioMax ninayo ofisini ila sijapata muda kuitumia maana inatoa 3D tu image tour na haisadii real issues.

Kwenye Architecture, end product ni nyumba. Interest hapa inakuwa kama kuangalia ventilation system na labda forces/stresses katika kuta/misingi za majengo etc kabla hata hujaanza kujenga hiyo nyumba (Vitu hivi vingi ma-Architects na Engineers wanapiga mahesabu kwa mkono au wanafanya maamuzi through experience......ndio mambo ya majengo kuanguka huko China). Wajenzi wenye pesa kubwa wanaweza ku-justify hii teknolojia. Pia katika njia hii, kwamfano benki za Tanzania zinaanza kutumia tecknolojia mpya, makompyuta/servers kibao etc Je, wanajenga data centres zao vipi? Na ku-maintain vipi?

Kitu kingine, ni mfano wa 'mouldings' kama za maplastiki etc. Moulding ni final product. Basi ningependa kujua hizo final products ni nini na zimetengenezwa vipi.

Kuhusu vitu kama barabara, safi, lakini hapa naona interest zaidi itakuwa ni machine yenyewe inavyofanya kazi, kwa mfano machine ya kuchanganya zege au hata kukandamiza rami etc. Machinery inaweza kuwa hata hiyo ya 'Moulding', au mashine ya kupepeta mchanga kwenye madini. Lakini hatutengenezi machinery as such Tanzania, tunanunua. Lakini nikijua machine tulizonazo zinatengeneza nini na nikaelewa teknolojia inayotumika, pia naweza shauri nini kifanyike ili upate product nzuri zaidi and if possible cheaply. Main point here is, increasing efficiency of cost of production and better product.

Sijui unanipata? Nina haraka kidogo, nitarudi nisawazishe kama siko clear. Ila ishu ni kwamba nataka kujua mahitaji ya Tanzania. Teknolojia ni ghali, ila nina-negotiate njia ya kuifanya iwe accessible na bei nzuri zaidi kwa Tanzania, nikiwa kama consultant katika muda wangu. The fact natoka Tanzania, nimeweza ku-justify kwamba ni muhimu nichangie nchi ninayotoka huku nikipima affordability. Nikielewa mahitaji, inakuwa rahisi kujustify.
 
Maslahi duni yawakimbiza wahandisi...

2008-05-17 15:49:34
Na Onesmo Kapinga, Jijini

Serikali imeshauriwa kuinua pato la wahandisi nchini ili hatimaye waweze kuwavutia kwa vijana wengi kujiunga na fani hiyo ambayo kwa sasa ina uhaba wa wafanyakazi.

Aidha, vijana wengi wanaikimbia fani hiyo kutokana na ugumu wa masomo ya sayansi, pamoja na kuwa na pato dogo ambalo halina maslai mazuri kwa mfanyakazi.

Hayo yamesemwa na Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini, Bw. Steven Mlote, alipokuwa akizungumza na Alasiri ofisini kwake.

Akasema hivi sasa wanakabiliwa na uhaba wa wahandisi nchini kutokana na ukweli kuwa vijana wengi wanaikwepa fani hiyo kutokana na ugumu uliopo na maslai madogo.

``Nafikiri kama Serikali ikijaribu kuboresha maslai ya mfanyakazi, wasomi wengi watajiunga kusomea uhandisi kwa itakuwa ikiwavuti`` alisema Bw. Mlote

Alisema kwa sasa hapa nchini kuwa wahandisi 8,000 tu na makapuni yaliyopo ni 29 ya kigeni na ya ndani 106.

Aidha, akaongeza kuwa Bodi ya Usajili wa Wahandisi imeanza kampeni ya kukagua makampuni ya wahandisi na makandarasi wote wa daraja la kwanza hadi la tano, kwa kuhakikisha kuwa utendaji kazi wao unalingana na viwango vya usajili walivyopatiwa.

Akasema ukaguzi huo pia utahusisha makampuni yote yanayotoa ushauri wa kihandisi na kuhakikisha kama wanawahandisi wenye uwezo wa kutoa ushauri bora.

Akasema makampuni mengi ya makandarasi nchini hayana wahandisi wenye sifa na wamekuwa wakitumia vigezo mbalimbali ili weweze kusajiliwa, huku wakiwa hawana sifa za kutosha katika ngazi za madaraja wanayoombea usajili.

Bw. Mlote akasema hali hiyo inasababisha wahandisi wengi kufanya kazi zao pasipokuwa na kiwango kizuri na kuleta hasara ya kubomoka kwa majengo mengi, ama uchakavu wa barabara kwa haraka.

Aidha, Bw. Mlote akasema makampuni yote ya makandarasi na wahandisi yatakayobainika kuwa hayafikii viwango, yatafutiwa usajili na kuchukuliwa hatua zaidi kwa mujibu wa sheria.

Akasema hadi sasa, makampuni matano yamefutiwa usajili kutokana na kutokuwa na wahandisi wenye viwango bora ambapo kati ya hayo, manne ni ya kigeni na moja ni la hapa nchini.

Akayataja makampuni yaliyofutiwa kuwa ni pamoja na BKS Global LTD lenye usajili wa namba 026 la Dar es Salaam, Wgs Consultants N0.009 toka Arusha, Japan Engineering Consultants N0.022 lililopo Mto wa Mbu, Parkman N0.023 Dar es Salaam, na Tangroup N0.024 la Dar es Salaam.

Akasema kutokana na mujibu wa sheria ya usajili wa wahandisi ya mwaka 97 na kama ilivyolekebishwa mwaka 2007 , inasema kampuni zote za kihandisi zikifutwa, pia wahandisi wao washauri hufutwa.

Bw. Mlote amesema kutokana na sheria hiyo, wahandisi watatu waliokuwa wakitoa ushauri katika makampuni hayo walifutwa ambo ni Suleiman Rashid, Testuro Izawa na Stuart Herderson.

http://www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2008/05/17/114609.html
 
Morani,

Najaribu kufahamu vitu gani tunatengeneza Tanzania, maana najua vitu kama machinery sisi ni wanunuzi.

Asante sana kwa input yako. Nina interest ya end-product ili nitengeneze common ground halafu nilete teknolojia mpya itakayo fanya u-improve end-product yako. So hapa naangalia 3D products.

Kitu relevant sana hapo ulichosema ni Architecture. Hiyo 3DstudioMax ninayo ofisini ila sijapata muda kuitumia maana inatoa 3D tu image tour na haisadii real issues.

Kwenye Architecture, end product ni nyumba. Interest hapa inakuwa kama kuangalia ventilation system na labda forces/stresses katika kuta/misingi za majengo etc kabla hata hujaanza kujenga hiyo nyumba (Vitu hivi vingi ma-Architects na Engineers wanapiga mahesabu kwa mkono au wanafanya maamuzi through experience......ndio mambo ya majengo kuanguka huko China). Wajenzi wenye pesa kubwa wanaweza ku-justify hii teknolojia. Pia katika njia hii, kwamfano benki za Tanzania zinaanza kutumia tecknolojia mpya, makompyuta/servers kibao etc Je, wanajenga data centres zao vipi? Na ku-maintain vipi?

Kitu kingine, ni mfano wa 'mouldings' kama za maplastiki etc. Moulding ni final product. Basi ningependa kujua hizo final products ni nini na zimetengenezwa vipi.

Kuhusu vitu kama barabara, safi, lakini hapa naona interest zaidi itakuwa ni machine yenyewe inavyofanya kazi, kwa mfano machine ya kuchanganya zege au hata kukandamiza rami etc. Machinery inaweza kuwa hata hiyo ya 'Moulding', au mashine ya kupepeta mchanga kwenye madini. Lakini hatutengenezi machinery as such Tanzania, tunanunua. Lakini nikijua machine tulizonazo zinatengeneza nini na nikaelewa teknolojia inayotumika, pia naweza shauri nini kifanyike ili upate product nzuri zaidi and if possible cheaply. Main point here is, increasing efficiency of cost of production and better product.

Sijui unanipata? Nina haraka kidogo, nitarudi nisawazishe kama siko clear. Ila ishu ni kwamba nataka kujua mahitaji ya Tanzania. Teknolojia ni ghali, ila nina-negotiate njia ya kuifanya iwe accessible na bei nzuri zaidi kwa Tanzania, nikiwa kama consultant katika muda wangu. The fact natoka Tanzania, nimeweza ku-justify kwamba ni muhimu nichangie nchi ninayotoka huku nikipima affordability. Nikielewa mahitaji, inakuwa rahisi kujustify.

Nzoka....., hapo sasa nimeweza kuona unachotaka Mkuu, unataka kuangalia zaidi kwenye 3D products!!! Well hapo sasa nadhani wakuu wenye interest zaidi kwenye "MAJENGO" watakuwa na mwanga zaidi...

Kuhusu hilo la kutengeneza models, kwa kweli ukweli ni kwamba hapa nyumbani tumeanza kufanya hayo muda mrefu tu uliopita Mkuu.... Ileweke kuwa hizi "models" mara nyingi hutengenezwa kwa miradi mikubwa na sio kwa small projects (nadhani hata kwa wenzetu pia ni vivi hivi).

Hilo la ununuzi wa vifaa vya ujenzi kidogo sijaelewa vizuri lakini sidhani kama ulinielewa my referencing ya various fields of engineering manake swali lako kidogo lilikuwa generalized.....

Mkuu, tunakukaribisha sana kwenye field huku nyumbani ila nadhani nikutahadharishe tu kuwa inaonekana haupo updated sana na maendeleo ya IT kwenye Engineering Field in Tanzania, utashangaa sana ukifika manake kuna vijana wapo hapa wanafanya wonders na hizi programs za engineering. Kuna waliofikia mpaka hatua ya kuweza kufanya cross-linking and upgrades using some programs depending on as I said before "Compatibility and User Requirements"!!!

Karibu nyumbani Mkuu tuendeleze libeneke!!
 
Asante sana,
Ishu ya majengo, hiyo nina uhakika kabisa, soko lipo (ishu ni pesa tu. teknolojia nzuri zaidi inaweza kufaa, ila mtu akakwambia, if i can get away with it, kwanini nitumie). Tena hata ukitaka, nipe mchoro wa ofisi au chumba chako na ventilation systems (kama madirisha na fan zipo etc) nikufanyie kitu chap chap for today au kesho.

Ya models hiyo najua. Sio ishu, ishu ni je unaweza ku-improve unavyotengeneza hizo models? Hata huku kila siku makampuni yanashangaa jinsi wanavyoweza kusave hela na muda kutengeneza products etc.

Prototyping-YouTube

Watu wa miradi mikubwa ndio poa kabisa, yaani hawahitaji kuwa na mtu anayejua kutumia technology hii, wanachukua consultancy tu.

Mkuu kuhusu IT-in Engineering hapo TZ, kitu unachosema watu kutengeneza linking packages, hivyo ni vitu simple sana, hata makampuni huku yanafanya. Ishu ni hi vitu vingi vinakua haviko under International Standards, kama tunapata vitu vibovu kutoka China kila siku, chances are, hata sisi tunatengeneza vitu chini ya international standards (tena naamini kabisa nikikaa nika-analyse huo Uwanja wetu mpya, nitakuta madudu mengi). Angalia hizi video uniambie, au mtu yeyote aniambie hii technologia inatumika wapi hapo Tanzania. Nchi inayotumia kwa Africa ni SA, na hawa wanatumia kwenye vifaa vya kijeshi (return yake nzuri ndio maana wanajustify kutumia teknolojia hii).

Mfano mwingine huu hapa (by the way, hawa jamaa package wanayoitumia nawafunika anytime na package ninayotumia kwa huu mfano wao).
Oil drilling

Ndio maana, zaidi ya majengo, nina-struggle ku-pinpoint teknolojia zinazotumika Tanzania.
 
. Ishu ni hi vitu vingi vinakua haviko under International Standards, kama tunapata vitu vibovu kutoka China kila siku, (tena naamini kabisa nikikaa nika-analyse huo Uwanja wetu mpya, nitakuta madudu mengi). .

mh, nimesoma nukta kwa nukta mwisho nkagoma.
 
mh, nimesoma nukta kwa nukta mwisho nkagoma.

Kilongwe, sijaelewa unamaanisha nini. usije ukanielewa vibaya ninachotaka kusema.

kwa mfano, baada ya mechi ya kwanza, kuna viti viliharibika uwanja wa taifa. Sasa huo unaonekana unaweza kuwa uhuni wa watu tu, au aina ya utumiaji uliharibu viti (yaani structure ya viti ni mbovu). Sasa vile viti vimetengenezwa through moulding. Ambapo unaweza kutengeneza moulding kama kawaida mhandisi alivyozoea (procedures of experience)......au anaweza ku-analyse zaidi, what if...kitu hiki kikitokea (ndio unatumia package kama hizi)? Haya matatizo yanatokea hata ulaya. Mfano mzuri uliwakuta wajenzi wa 'Millenium Bridge' London. Soma zaidi hapa (au google utapata interesting threads tu);

http://www.arup.com/MillenniumBridge/challenge/#

Kuhusu uwanja wa taifa, inawezekana kabisa umejengwa kwa high standards (wachina wana uwezo huu), lakini pia jinsi ya kupenda short-cut, inawezekana mambo mengine yakawa yamepuuziwa tukaja kulipa mbeleni.

Angalia hii;

Tacoma Bridge Video
 
Kwa mara ya mwisho nimetumia software kama AutoCard na Solidworks nikiwa COET kuchora design drawings kwa ajili kutengeneza machine kama final project. By the way i was studying Mech. Eng.
Tatizo la bongo ni upatikanaji wa kazi na aina za kazi wanazofanya hawa Engineers wetu. Nikijaribu kujiangalia mimi mwenyewe sasa hivi nafanya kazi kama airworthiness inspector na sio mech. eng. tena kwa hiyo siwezi kutumia tena hizo software. Nikiangalia jamaa tuliograduate pamoja wengi wao wanauza magari na vifaa mjini hapo yaani ni salesmen.
Thus why is too difficult to get vivid examples of the final products manufactured thru these nice helping software.
Be patient may be you shall get some crues later on.
 
Wahandisi wa kibongo msilaze damu, wageni wanachukua nafasi zenu kwa tofauti ndogo sana ya CAD knowledge, nafahamu kuna kakampuni fulani kapo hugo hugo House Kinondoni Dar, Kanaitwa Kasumo Hebu watembeleeni, I attended a training at their office and had time to look at other packages they are fantastic, Building(Arch, Str and MEP), Infrastructure(Civil, Highway, Maps, town planning and the like), Manufacturing and processing. All works in 3D modelling

Nendeni mkajifunze na kufunguliwa macho, watembelee watakujulisha kwa ufasaha.
 
Back
Top Bottom