sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
Duh basi wana balaa.eeeh!! ndiyo
Duh basi wana balaa.eeeh!! ndiyo
Tena anatawaliwa na wanawakeInakuaje unatawaliwa nyumbani kwako.
Napata ukakasi, ufafanuzi please! Una maana gani unaposema hujamwoa kindoa? Watoto ni wenu? Au upo kwenye kundi la wajaribu na kuachia? Namhurumia huyo binti ulie naye.Nawasalimu!
Naomba nieleweke nyumba inayotembelewa ndo nyumba yenye baraka. Hivyo nisitafsiriwe kama mchoyo. Ipo hivi nimetembelewa na shemeji zangu wawili mmoja 15 na mwengine 17 hivi,japo nimeshangaa kwetu sio rahisi kutembelewa na shemeji kama dada yao hujamuoa kindoa,sasa kama tulivyo wengi maisha yetu mi naishi kwenye nyumba yenye vyumba vitatu ,kimoja ni stoo ya mpunga na mahindi nilihofia lock down,kwa hiyo natumia vyumba viwili kimoja w atoto na kilichobaki sisi.
Sasa kwa heshima nimeona niwahamishie w atoto sebuleni wao walale kwenye kitanda cha w atoto.
Mambo yaliyo nishangaza kwa ndugu hawa;kuangalia sinema zetu kutwa nzima hadi taarifa ya habari ya saa mbili usiku mpaka niwaombe zaidi ya mara moja ndo waniruhusu, hakuna anaenisalimia asubuhi tunatazama wakati mwingine Mimi huwasalimia,ajabu mmoja alimanusura akeshe kwenye tv bila kujali makelele pale Maana w atoto wamelala kwenye Kochi na kiufupi ni nyumba nzima , sasa kali ya mwaka dogo kagoma kushuka kutoka kiti (office chair)tulikuwa tukula nje kwenye kivuli ,nilipo jaribu kumwambia vipi dogo utakulaje uko juu hivyo kajibu "sili juu nakula chakula". Nikakaa kimyaa. Dogo kasogeza kiti juu ya jamvi. tukala hivyo hivyo.
Jamani sijui wengine mmewahi kuyapitia haya, kwa mbali natamani waondoke hata kesho. Adabu yao ipo chini sijui wamelelewaje?.N.a. dada yao anaangalia tu.
Nawasilisha
(copy &paste).
Mkuu pia umenikumbusha enzi za utoto wangu wageni wa namna hii walikuwa wananitambua hadi waliniita Gaddafi kwani sikuwa nataka mtu aniingilie uhuru wangu hii attitude imenijenga sana huwa siruhusu kabisa mtu kuniingilia kwenye utawala wangu na taratibu zake ni lazima afuate taratibu zangu hawezi asitie kongoro zake kwangu.Umenikumbusha mbali kweli mm na dogo tulikuwa tukiona mgeni anaonesha dalili za kulala tunaanza kuwaza daaah Leo tunalala chini tena.
Upo sahihi Mkuu, mimi nimekulia familia ambayo wagen walikuwa hawakatiki kila kukicha ila mim tangu utoto nilikuwa na uwezo wa kumsoma mtu kwa muda mchache sana nakumbuka siku nilimwambia mama asee hawa wageni wanatupa taabu sana sisi hata hatupati ile furaha ya nyumban, alinijibu jaribu kujifunza kuishi na watu wa kila aina na uwavumilie hayo ndo maisha. Ila baada ya mambo kugeuka nyumban wageni walikauka na wakaanza kusema vimaneno vimaneno hapo nilionekana nabii.Watajisikia vibaya wakati wewe unaumia? Na ukiumia unapata stress na hata kuhudumia watoto vizuri unashindwa na maendeleo yanarudi nyuma. Wajisikie vibaya kabisaaaa. Africa ni mambo kama haya yanaturudisha nyuma. Watu wajifunze kuwa wapambanaji. Hao vijana 15 and 17, wana wazazi. Walipowazaa walikuhusisha kwamba utakaa nao na kupata mateso juu yao? Wanatakiwa wawe na wazazi wao huko walipo. Mtoto ni jukumu la wazazi na sio shemeji. Simama imara kwa nyumba yako aisee.
Mi nipo kwenye kundi la wanaojaribu na kuachia.Napata ukakasi, ufafanuzi please! Una maana gani unaposema hujamwoa kindoa? Watoto ni wenu? Au upo kwenye kundi la wajaribu na kuachia? Namhurumia huyo binti ulie naye.
Wanamharibia ndugu yao nahis hii heshima anayonipa niyakuigizaHahaha ujaoa bado wanakupa adivataiz ukioa itakuwaje![]()
Umenikumbusha mbali kweli mm na dogo tulikuwa tukiona mgeni anaonesha dalili za kulala tunaanza kuwaza daaah Leo tunalala chini tena.
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuwalaza watoto sebuleni. Kisaikolojia utawafanya watoto wachue wageni maisha yao yote.. mgeni akija kwako kama huna chumba cha wageni walaze Guest au Sebuleni.. kamwe usiwalaze watoto na wageni.. au kuwahamisha watoto.. take my wordNawasalimu!
Naomba nieleweke nyumba inayotembelewa ndo nyumba yenye baraka. Hivyo nisitafsiriwe kama mchoyo. Ipo hivi nimetembelewa na shemeji zangu wawili mmoja 15 na mwengine 17 hivi,japo nimeshangaa kwetu sio rahisi kutembelewa na shemeji kama dada yao hujamuoa kindoa,sasa kama tulivyo wengi maisha yetu mi naishi kwenye nyumba yenye vyumba vitatu ,kimoja ni stoo ya mpunga na mahindi nilihofia lock down,kwa hiyo natumia vyumba viwili kimoja w atoto na kilichobaki sisi.
Sasa kwa heshima nimeona niwahamishie w atoto sebuleni wao walale kwenye kitanda cha w atoto.
Mambo yaliyo nishangaza kwa ndugu hawa;kuangalia sinema zetu kutwa nzima hadi taarifa ya habari ya saa mbili usiku mpaka niwaombe zaidi ya mara moja ndo waniruhusu, hakuna anaenisalimia asubuhi tunatazama wakati mwingine Mimi huwasalimia,ajabu mmoja alimanusura akeshe kwenye tv bila kujali makelele pale Maana w atoto wamelala kwenye Kochi na kiufupi ni nyumba nzima , sasa kali ya mwaka dogo kagoma kushuka kutoka kiti (office chair)tulikuwa tukula nje kwenye kivuli ,nilipo jaribu kumwambia vipi dogo utakulaje uko juu hivyo kajibu "sili juu nakula chakula". Nikakaa kimyaa. Dogo kasogeza kiti juu ya jamvi. tukala hivyo hivyo.
Jamani sijui wengine mmewahi kuyapitia haya, kwa mbali natamani waondoke hata kesho. Adabu yao ipo chini sijui wamelelewaje?.N.a. dada yao anaangalia tu.
Nawasilisha
(copy &paste
Pole sana Mkuu. Mtoto wa shemeji yangu kaja kukaa kwangu ili asome. Eti naye akajifanya "mwenye nyumba". Hanisalimii asubuhi wala mchana wala jioni. Siku moja anarudi toka shule alikuta vitu vyake vipo barabarani. Akapitilizia huko huko. Ila wewe wavumilie tu.Nawasalimu!