Wageni wengine bwana du!

Wageni wengine bwana du!

Haya maisha ku-enjoy ni kuwa na kazi unayoifanya kwa bidii na inakuingizia kipato kizuri cha kukuwezesha kufanya mambo yako mengine mengi. Kuangalia Tv siku nzima ndio inawafundisha kuwa wachapa kazi au inawadumaza?
Ushauri: Watafutie kazi hapo kwako za kutosha, waambie kwa masaa 6 utawapa hata kahela fulani. Wapangie ratiba. Kazi masaa x, Tv masaa X nk. Na tv waangalie program ya maana sio kuwaangalia wasanii tu wanatingisha vikoki vyao siku nzima. Na kama hakuna kazi basi WAONDOKE. Wakakae na ndg mwenye kazi au kwa wazazi wao.
Noted
 
Kosa namba moja ni kuhamishia wanao sebuleni ili tu kina shem walale chumbani, inakera mno hii kitu,

Kuumia ili kuwafurahisha wengine niliacha maana hupati thawabu yoyote sababu ni unafiki na Mungu hajihangaishi na mnafiki

Familia ulikooa nidhamu yao iko chini sana, cha kufanya kwa vile ni viburi tafuta shamba wapeleke huko washinde huko mpaka jioni hakikisha wanarudi hoi, kwa muda wa wiki 1 halafu wape nauli wao na dada yao waende kwao kupumzika, ni dharau moja konki na watajifunza

Usijilegeze mbele ya mkeo Sasa vaa uso wa mbuzi ukilegea utajuta ukoo wote utahamia hapo
Kiangazi hakuna s hughuli za shamba,hata Mimi mwenyew huwa nalimisha
 
Sio copy n paste. Huyu yamemtokea mwenyewe. Ameoa kutoka familia duni isiyokua na malezi Bora. Yeye kaangalia sura na makalio. Acha ale mavi.
Bro kama umeniona kabisa yaani hata ukweni sijawahi fika, na kwa tabia niliyoiona inakatisha tamàa
 
Duh jaman mbona n umri ambao unaweza kuongea nao na kuwapangia vya kufanya maana bado watto hao ukizid kuwaendekeza watakupanda kichwan kwanza hyo tv Kama vp chomoa nyaya zote ili hata wakija na flash wasiweze kufanya lolote au peleka chumban kwako then tafuta cku panga na wife mnawaita mnawapa mashart atakae shindwa awe huru kuondoka ama ukute Dada yao ashaenda kukusema vbaya kijijin ssa ndo maana wanakudharau
Yeye nahis anaogopa wasimseme vibaya kwao.
 
Nani amekuambia chumbani hata kukuwa na mkeka anajikunja vizuri anauchapa usingizi, mgeni mwenye dhamira ya kukaa kwa munda asie ba malengo ya kuondoka leo anakomaa eneo lolote utakalo mpa, as long anakula bure, anaangalia tv bure nk
Tena huenda wakakesha kabisa
 
Hao watoto wana malezi mabobvu huko watokako na walikua hawamuheshimu dada yao tangu huko kwao, sababu heshima hakuna kwa dada usitegemee wewe shemeji utapata,
Hofu yangu ni kuwafundisha hizo tabia mbaya watoto wenu na pengine hata kuwa abuse nyie msipokuwepo,

Cha msingi ni kuongea na mke wako kua sasa inatosha watoto kulala kwenye makochi, wapatie nauli warudi kwao haraka iwezekanavyo, na next time mgeni yoyote akija kwako usiwatoe watoto wako walale kwenye kochi wala kulala chini, bali huyo mgeni ndie anapaswa kulala kwenye kochi au chini.
 
Sawa
 
Ukitaka kuwa kiongozi imara shart ni moja tu USIOGOPE LAWAMA
 
Usiwasumbue watoto wako kisa wageni, labda kwa shida sana wawe wazazi.

Hao wahuni mlitakiwa muda wa kulala muwape shuka na muwaambie walale sebleni.

Kumbe una stock ya mchele na mahindi mwaya, hongera.
Lakini hao ni watoto miaka 15 na 17 nafikiri ni kuwaelekeza tu.
 
Bro kama umeniona kabisa yaani hata ukweni sijawahi fika, na kwa tabia niliyoiona inakatisha tamàa

Ndo tatizo la kuokota mwanamke na kuamua kuishi nae.Sasa utaishije na mwanamke ambaye hata kwao hupajui?.
Mkuu hayo matatizo umeyataka wewe mwenyewe usitafte mchawi.
Ushuri wangu kama hao shrmu zako ni wakike watongoze,wakimwambia ndugu yao kua umewatongoza atawafukuza mwenyewe.
 
Yeye nahis anaogopa wasimseme vibaya kwao.
Hlo ndo linatesa weng hasa kweny ndoa pale n kwake lazma aweke Sheria ilimrad iwe za haki asimkandamize mtu Mambo ya kufa na tai shingon achie wazungu mtu atakujaje kukupelekesha kweny himaya yako jaman dah
 
Ndo tatizo la kuokota mwanamke na kuamua kuishi nae.Sasa utaishije na mwanamke ambaye hata kwao hupajui?.
Mkuu hayo matatizo umeyataka wewe mwenyewe usitafte mchawi.
Ushuri wangu kama hao shrmu zako ni wakike watongoze,wakimwambia ndugu yao kua umewatongoza atawafukuza mwenyewe.
Hiz ndo zle akili wanasema za kuambiwa changanya na zako
 
Kamuoe dada yao heshima iwepo.. Ukioa utakuwa hata na kauli ya kuwakoromea na watakuheshimu zaidi kuwa hapa kwa shem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom